Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Ni 5% ya wanawake ndio hujali Sana muonekana wa mwanaume, Ila 95% wanachojali ni upendo, kuthaminiwa,uwe na pesa za kumtunza (kula)+mkojozo wa maana...(piga mbumbusi aswa).
 
Una hoja ...usikilizwe....wanatuonea wivu...mwanamke Kila kizur anataka kiwe chake...ni viumbe wenye wivu na ubinafsi kama honey burger
 
Kwani wewe ni cheupe?
Unatuonea wivu weusi?

Mbona una chuki kiasi hicho?
 
Kilichotuponza wanaume weupe ni kutaka kuendelea kuulinda weupe wetu now days imekuwa kawaida wa kiume weupe kumuuliza wakike unatumia mafuta gn nae anataka ngozi iwe nyororo hapa sasa sifa ya kiume ndio inatoka ila kiuhalisia ngozi ya mwanaume inaimarishwa na kula sana na vzuri kunywa maji mengi na mazoezi
 
Una hoja ...usikilizwe....wanatuonea wivu...mwanamke Kila kizur anataka kiwe chake...ni viumbe wenye wivu na ubinafsi kama honey burger
tushawasomaga sema tunakausha tu, huku mtandaoni anasema NO ila tukikutana kwenye chocho ye ndo anakulazimisha useme YES
 
ANaesema anapenda mweusi mrefu hajakutana na uyo mfupi mweupe akaona ana nini😎mimi pia nilikuaga ivoivo but siku niliponasa kwa kijana mfupi mweupe pee😄aah nilienjoy mapenzi tulikaa miaka 3 thow, yaan tuliendana kwa kila kitu alijua kuniloga..mimi niwakubebewa mkoba kweli? Mm wakukisiwa hadharani hahaa t wz drm cm tr.
Kutaka mtoto kabla ya ndoa kulitutenganisha.
 

Daah mfupi mweupe ukute ana chunusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hao wakaka weupe siwakubali sijui kwanini
 
Zamani nilidhani hawa dark skin nigger ndo wenyewe kwenye tendo badae nikakutana na white skin mubaba weeeeeeee acha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…