Swali kwa wanawake wanaovaa jeans za kubana

Shida yote ya nini hii?
 
Reactions: amu
[emoji1] ,ndyo hivo ni kupendeza tuu
Mimi naona kama mnatushambulia vile.

Unajua kesi za "shambulio za aibu" wanazopewa wanaume wanaowashambulia wanawake kwa mfadhaiko?

Zianze kuwekwa Ki Taliban kwa wanawake wanaovaa leggings na vijinsi vya kubana.

Mnatushambulia hamshitakiwi.

Si haki hii!
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hivi hii ya kuvaa jeans na mfuko ni kweli?mie huwa nalazimisha hivyo hivyo inakubali....sikuwahi kutumia hiyo mifuko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hii ya kuvaa jeans na mfuko ni kweli?mie huwa nalazimisha hivyo hivyo inakubali....sikuwahi kutumia hiyo mifuko
Hahaa, mi mwenyewe sijawahi tumia ila nishaona ndugu yangu ร navaa mfuko kama soksi then Suruali inafata, yani fasta ishaingia [emoji1] [emoji1]
 
Saivi wanapaka lotion nyingi miguuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
SAA ya kuvua lile jinzi usiwe karibu yake aisee...vijampo vyote alivyojamba mchana kutwa huwa ndo vinapata nafasi ya kutoka vinakuwa vimejirundika kwenye suruali ...harufu yake utakimbi aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ