Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Shida yote ya nini hii?Tangu mifuko ya nylon ipiwe narufuku ,basi tunapata tabu sana, maana ilikua inasaidia sana ,unavaa mfuko miguuni then unaivuta Suruali kulee ishatoka[emoji3] [emoji3]
Kwasasa tunatumia hadi dk 10 Suruali haijavuka aisee ,unazunguka chumba kizima huku ukijitahidi itoke ,yaani hatarii[emoji3]