swali kwa wanawake

swali kwa wanawake

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
3,978
Reaction score
9,841
wana jukwaa
hivi nyie wanawake mkitongozwa na mkakubali mnachuka muda gani kuanza kuomba pesa? au tuseme kunyenga au kuhonga
kuna mdada kumu kanisikitisha sana kwa kweli ata kama hali ya magu tete lakini sio kwa staili ile aliyokuja nayo.. duu!
ndio maaana nauliza hili swali kwa hapa labda siku hizi utaratibu umebadilika kwenye swala la kuhongwa
ebu tujuzane mnachukua muda gani kuanza kuomba hela baada ya kutongozwa
 
Mapenzi sio pesa ila yakikosa pesa yanapungua.
 
Mapenzi sio pesa ila yakikosa pesa yanapungua.
ndio mapenzi yakikosa pesa yanapungua na vilevile mapenzi ubunifu, sasa unakutana na mdada ata ubunifu wa kupiga mizinga hana bwana?!
 
Back
Top Bottom