Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Dagaa unapika bila kuweka nyanya wala mafuta si bora upike bamia na dona.Dagaa fungu1, 300 na kitunguu cha mia nanunua dona nusu 300 naenda kununua kuni za mafungu za 300 na maji ya kandolo ya mia, ya kushushia msosi wetu.
Natandika jamvi namsubiri baba watoto aje tukamue nguna.
Sent using Jamii Forums mobile app