Swali kwa wanawake

Swali kwa wanawake

Hebu uliza baba yako mzazi kama aliwahi fanya hivyo mama akasababisha maana buku hata mkaa hupati sembuse chakula
 
Ha!ha!
Nyama mara moja moja sana.
Sio kila siku mzee.
Kama nyie mwataka nyama kila siku hiyo hela haitoshi tena ukute hamtaki finyango mbili mnataka mle kwelikweli.


Sent using Jamii Forums mobile app
Nikizungumzia nyama sio staili ile ya finyango mbili ndogo kama punje za ubuyu, nile nyama nijiskie nimekula nyama yani. More than enough!
 
Hilo buku mbona tutakula na kusaza.
Nawekeza kwa Australia wangu watatu @ over 2.5
* Sydney VS Brisbane roar
*Melbourne victory VS Phoenix
*New castle jets VS Adelaide United.
Ashindwe kula tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahaha yani mahesabu ya buku umeona bora ukabeti, muhindi akikasirika utalala njaa aisee.
 
Back
Top Bottom