Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaniHata chai na mihogo dada mkubwa?
Kivipi yaniMbona kanatosha
God save us
Hivi unga robo na dagaa za kutosha watu wawili ni shingapi?Kivipi yani
Na gg kama zote huko AustraliaHilo buku mbona tutakula na kusaza.
Nawekeza kwa Australia wangu watatu @ over 2.5
* Sydney VS Brisbane roar
*Melbourne victory VS Phoenix
*New castle jets VS Adelaide United.
Ashindwe kula tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Elfu kumi inatosha bhana labda kama una familia kubwa sana.Hahah buku labda awamu ya 3 ndio iliweza tosha ila awamu ya 5 hata elfu 10 yenyewe labda muwe bush!
Hamli nyama nyie kwenu? Maana kwa sisi Washana nyama ni kama ibada, deile lazma iwepo kwenye mlo.Elfu kumi inatosha bhana labda kama una familia kubwa sana.
Ila familia ya kawaida vya vyakula vyetu hivi vya kimasikini inatosha sana tu na change inabaki ya kibati ha!ha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamli nyama nyie kwenu? Maana kwa sisi Washana nyama ni kama ibada, deile lazma iwepo kwenye mlo.
Hilo buku mbona tutakula na kusaza.
Nawekeza kwa Australia wangu watatu @ over 2.5
* Sydney VS Brisbane roar
*Melbourne victory VS Phoenix
*New castle jets VS Adelaide United.
Ashindwe kula tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa binafsiDagaa fungu1, 300 na kitunguu cha mia nanunua dona nusu 300 naenda kununua kuni za mafungu za 300 na maji ya kandolo ya mia, ya kushushia msosi wetu.
Natandika jamvi namsubiri baba watoto aje tukamue nguna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ndo upo hvyo mkuu ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo buku mbona tutakula na kusaza.
Nawekeza kwa Australia wangu watatu @ over 2.5
* Sydney VS Brisbane roar
*Melbourne victory VS Phoenix
*New castle jets VS Adelaide United.
Ashindwe kula tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app