Dagaa unapika bila kuweka nyanya wala mafuta si bora upike bamia na dona.Dagaa fungu1, 300 na kitunguu cha mia nanunua dona nusu 300 naenda kununua kuni za mafungu za 300 na maji ya kandolo ya mia, ya kushushia msosi wetu.
Natandika jamvi namsubiri baba watoto aje tukamue nguna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuni fungu Mia 500 kuni tatu 🤣🤣🤣sasa sijui atapikaje.unaishi mkoa gani? usifuraishe jamvi😀😀
donna kilo ni buku,nusu jero
dagaa fungu ni jero,zle za pakti ni buku
hakuna kuni za bei iyo kwa jiji lolote apa tz, hata uko mikoani sdhani
Anatudanganya tu hapaKuni fungu Mia 500 kuni tatu 🤣🤣🤣sasa sijui atapikaje.
Labla buku kuwe na kila kitu ndani.anatudanganya tu hapa
Kwa hiyo hiyo chai ya rangi unapikia mwanga wa jua? Au hiyo mia mbili ndio umejumlisha nishati, sukari, majani na maji
Hahahaha wanawake tunaweza kubajeti ila kwa buku hapanaKwa hiyo hiyo chai ya rangi unapikia mwanga wa jua? Au hiyo mia mbili ndio umejumlisha nishati, sukari, majani na maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha wanawake tunaweza kubajeti ila kwa buku hapana
Mnnnh.
Hupati hata mmoja. Ka buku haka haka?
Nawe unafaa kuwa mke wa ndoa umechanganua vyemaaaDagaa fungu1, 300 na kitunguu cha mia nanunua dona nusu 300 naenda kununua kuni za mafungu za 300 na maji ya kandolo ya mia, ya kushushia msosi wetu.
Natandika jamvi namsubiri baba watoto aje tukamue nguna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni baba wa familia bila shaka,.😊unaelewa...Hahah buku labda awamu ya 3 ndio iliweza tosha ila awamu ya 5 hata elfu 10 yenyewe labda muwe bush!
Kwa ela iyo utatombewa mpaka kufa kwakoMwanamke unaweza pika chakula gani cha Tsh 1000 mkashiba wewe na mumeo?
Wanaume tuangalieni majibu hapa ndo pa kupata Wa kuoa.
Mpaka sasa we ndio mwanamke wa pekee uliefafanua vema matumizi ya buku.....hongera sana