Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

Nje ya mada; Una unga wa ugali, maji, sufuria, mkaa ,jiko la mkaa, mwiko wa kuongea ugali na banio. Lengo ni kupika ugali.

Umewasha jiko la mkaa kisha ukatenga sufuria la ugali, umeweka maji na unga kiasi ili uandae uji ambao ukichemka ipasavyo utaweka unga halafu kwa kutumia mwiko utasonga ugali.

Swali; Ni kwanini ukiweka unga kabla maji / uji haujachemka vizuri ugali hautaiva (utakuwa mbichi) hata kama utaongeza moto mwingi ?

Niliwahi kuuliza swali hili kwa mwalimu wangu wa physics, badala ya kunijibu alinichapa kwa madai kwamba nauliza maswali ya ajabu ajabu
 
Hili tulipeleke food science 😆😆
 
Shubamiti yako Bazazi Mkuu wa mabazazi wewe
 
Nithibitishe kwa kipi zaidi ya maandishi??

Na tayari nimeandika kwamba asilimia 75 ya dunia ni maji, na maji hayawezi kupinda au kuwa na mkunjo, hivyo kwa kutumia common sense unapata majibu.
Nyongeza: kama dunia ni tambarare, watuoneshe jinsi maji yanavyoweza kuninginia katika uhalisia
 
Nithibitishe kwa kipi zaidi ya maandishi??

Na tayari nimeandika kwamba asilimia 75 ya dunia ni maji, na maji hayawezi kupinda au kuwa na mkunjo, hivyo kwa kutumia common sense unapata majibu.
Bahari?
 
Jibu ndege nazo zinaruka zipo kwenye atmosphere ya dunia. Mipaka ya dunia nikwenda juua n kwenda chini atmosphere ipo ndani.ikizunguka dunia na atmosphere yake inazunguka pamoja pia mwezi ni wa hii dunia
 
Yaan ulivyopiga bit hapo juu na maswali uliyoweka hapa unaonekana uwezo wako ni mdogo sana. Umeshindwa hata kutumia simu yako vema ukapata msingi.
 
Fanya experiment ndogo !!chukua apple au chungwa halafu panda kwenye gari inayotembea then lirushe juu halafu uangalie kama utaliacha nyuma au utalidaka

baada ya hayo utapata jibu lako
 
🤣🤣🤣
 
Nithibitishe kwa kipi zaidi ya maandishi??

Na tayari nimeandika kwamba asilimia 75 ya dunia ni maji, na maji hayawezi kupinda au kuwa na mkunjo, hivyo kwa kutumia common sense unapata majibu.
Wangekuwa wanatumia common sense kwenye kila kitu mpaka leo tungekuwa tunasafiri kwa farasi
 
Kwahiyo kumbe hawatumii common sense?

Sasa wanatumia nini?
Yaani common sense ni kwa average minds hao inventors wana sense beyond yours ndo maana hata ueleweshwe vipi huwezi kuelewa kamwe.
Nyie mnaosemaga earth ni flat huwa hamna uthibitisho ....ila ni wazuri kubishana
 
Sawa mkuu, lakini kama mtu hatumii common sense, huyo ni sawa na mwendawazimu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣......
duh..!
 
Dadadeki
 
Sawa mkuu, lakini kama mtu hatumii common sense, huyo ni sawa na mwendawazimu.
Ndo ivo kwa kutumia common sense utaona vitu kikawaida kawaida.......achia watu wanaoreason wagundue gunduzi hizi unazoziona halafu wewe ununue 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…