Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

Ndo ivo kwa kutumia common sense utaona vitu kikawaida kawaida.......achia watu wanaoreason wagundue gunduzi hizi unazoziona halafu wewe ununue 😅😅
Wana reason bila kitumia akili?

Mkuu, hivi unaelewa unacho kisema?
 
Dunia inazunguka pamoja na kilichopo juu ya ardhi, ni sawa na kusema nzi akiwa ndani ya ndege akataka kuruka kutoka siti ya nyuma kwenda siti ya mbele atashindwa kufika kwa vile ndege inakimbia kwa kasi sana, Hapana si kweli huyo nzi atafika vizuri tu sababu ndege inayembea na yeye anatembea hayupo excluded. Ndivyo ilivyo kwa helikopta hiyo uliyoitolea mfano. Ngoja wanafizikia waje wakufafanulie kitaalamu zaidi.
vipi nzi aliekaa juu ya bawa la hiyohiyo ndege. akitaka kuruka kutoka bawa moja kwenda lingine?.. mruko wa kuikatiza ndege inayosafiri uelekeo tofauti na nzi.

au
nzi huyo huyo akiwa hukohuko nje ya ndege akiamua kuruka uelekeo huohuo wa ndege kitambo cha mita moja kufikia anapotaka. atafanikisha lengo?
 
Bado hujanijibu swali mkuu, kwamba Satellite zinauona mwisho wa Dunia Au haziwezi kuona ?
Haziwezi!

Dunia ni kubwa satellite ni ndogo! Wanatumia camera na camera ni kama macho yetu yana kiwango cha mwisho cha kuona.

Kama ukitazama kwa macho na ukaona sehemu fulani ndipo mwisho wa anga hali ya kuwa ukipafikia bado macho yataona sehemu fulani ya mbele napo ndipo mwisho hali ya kuwa sivyo! Uhakika ni mwisho wa uwezo wako wa macho kuona.

Hali ya namna hii ndivyo camera zilizopo kwenye satellite zinavyoona kwenye uso wa dunia. Zina ukomo, palipoishia ndipo panapoonekana kama curve ya dunia.

Hata ramani zinazochorwa kwa kuonekana kwenye mfano wa matufe ya dunia au mfano wa image ya dunia kiuhalisia zile ramani zimeunganishwa. Vimechukuliwa vipande pande kutoka sehemu moja na ilipoishia vikainganishwa tena na kuendelea na ndipo ikapatikana ramani. Ni jitihada ya binadamu katika kujitafuta.
 
Dunia inazunguka pamoja na kilichopo juu ya ardhi, ni sawa na kusema nzi akiwa ndani ya ndege akataka kuruka kutoka siti ya nyuma kwenda siti ya mbele atashindwa kufika kwa vile ndege inakimbia kwa kasi sana, Hapana si kweli huyo nzi atafika vizuri tu sababu ndege inayembea na yeye anatembea hayupo excluded. Ndivyo ilivyo kwa helikopta hiyo uliyoitolea mfano. Ngoja wanafizikia waje wakufafanulie kitaalamu zaidi.
vipi nzi aliekaa juu ya bawa la hiyohiyo ndege. akitaka kuruka kutoka bawa moja kwenda lingine?.. mruko wa kuikatiza ndege inayosafiri uelekeo tofauti na nzi.

au
nzi huyo huyo akiwa hukohuko nje ya ndege akiamua kuruka uelekeo huohuo wa ndege kitambo cha mita moja kufikia anapotaka. atafanikisha lengo?

msingi wa swali nimezingatia vitu vyote vinaenda kat
Dunia inazunguka pamoja na vitu vilivyo karibu yake
tunapoambiwa na watabiri wa hali ya hewa kwamba Upepo utavuma kwa kasi ya 30km/h. huu upepo hauhusiani na hii dunia au?

iweje mabati yaezuliwe na upepo ambao haufiki hata robo ya speed ya dunia?
 
Jibu rahisi NI kama gari inatembea 80kph maanake hio speed n 80 Zaid ya speed ya dunia
jibu halisi NI newton first law of motion ukiruka juu bado unakua na same speed with earth ukianza movie ww unaongeza speed Zaid kulko dunia na hapo ndio external force itatumika yani energy
 
Zinaweza kuona, lakini hawawezi kuruhusu kutoa picha hizo.
Zinaonyesha lakini hazionyeshi dunia kama tufe bali zinaonyesha dunia ni kama umbile la chapati lililotuna hivi moja kubwa sana halafu kama kwa mbali kuna curve.

Mahali ambapo panapoonekana kama curve ndipo mwisho wa camera ya kwenye satellite uwezo wake wa kuona unapoishia.

Hata satellite inavyozunguka ukiangalia dunia bado dunia ni kubwa sana.

Kimsingi dunia ni kubwa sana hivyo satellite yote haiwezi ikapiga picha ya uso wote wa juu unavyooneka.
 
Wana reason bila kitumia akili?

Mkuu, hivi unaelewa unacho kisema?
Nimekuelewa sana. Wewe si unataka utumie common sense kueleza masuala ya sayansi? Na kwakutumia hiyo common sense ukaona dunia ni tambarare siyo? Ndo nakuambia sasa kwamba kama huzami deep utaona mambo kawaida tu! Ila wanaofanya tafiti wanakwambia kwamba hicho unachokiona kiuhalisia hakipo hivyo kipo hivi. Ila kwa kuwa ndonga ni ya kicommon common tu lazima ukaze fuvu ubishe.
 
Hata ramani zinazochorwa kwa kuonekana kwenye mfano wa matufe ya dunia au mfano wa image ya dunia kiuhalisia zile ramani zimeunganishwa. Vimechukuliwa vipande pande kutoka sehemu moja na ilipoishia vikainganishwa tena na kuendelea na ndipo ikapatikana ramani. Ni jitihada ya binadamu katika kujitafuta.
Asante sana kwa uchambuzi mzuri
 
Nimekuelewa sana. Wewe si unataka utumie common sense kueleza masuala ya sayansi? Na kwakutumia hiyo common sense ukaona dunia ni tambarare siyo? Ndo nakuambia sasa kwamba kama huzami deep utaona mambo kawaida tu! Ila wanaofanya tafiti wanakwambia kwamba hicho unachokiona kiuhalisia hakipo hivyo kipo hivi. Ila kwa kuwa ndonga ni ya kicommon common tu lazima ukaze fuvu ubishe.
Sawq mkuu
 
Thibitisha kwamba dunia ni tambarare
Kuna kuta za dunia/nguzo ambazo wazungu hawataki zifikiwe, mwezi ndio husogeza maji yaan kupwa na kujaa kwa bahari kwa sababu ya utambalale, kuzama na kuibuka kwa jua upande mwingine yaani nguzo moja na nguzo nyingine na kufanya kati kati kusiguswe na mwanga wa jua
 
Nje ya mada; Una unga wa ugali, maji, sufuria, mkaa ,jiko la mkaa, mwiko wa kuongea ugali na banio. Lengo ni kupika ugali.

Umewasha jiko la mkaa kisha ukatenga sufuria la ugali, umeweka maji na unga kiasi ili uandae uji ambao ukichemka ipasavyo utaweka unga halafu kwa kutumia mwiko utasonga ugali.

Swali; Ni kwanini ukiweka unga kabla maji / uji haujachemka vizuri ugali hautaiva (utakuwa mbichi) hata kama utaongeza moto mwingi ?

Niliwahi kuuliza swali hili kwa mwalimu wangu wa physics, badala ya kunijibu alinichapa kwa madai kwamba nauliza maswali ya ajabu ajabu

Ulimuoverload mwalimu Mkuu. Alitakiwa kukujibu hivi. Sababu kuu ya ugali kutokuwa tayari ikiwa unga umewekwa kabla ya maji au uji haujachemka vizuri inahusiana na jinsi wanga (starch) uliomo kwenye unga unavyochemka. Wanga huwa na chembe chembe ambazo zinahitaji kiwango fulani cha joto ili ziweze kuvimba na kuwa na uwezo wa kunyonya maji vizuri. Maji yanapochemka, chembechembe za wanga zinaanza kuvimba, kujifungia na kuunda muundo mzito unaowezesha ugali kuiva vizuri.

Ikiwa unga utawekwa kabla ya maji kufikia kiwango cha kuchemka, chembechembe za wanga hazitapata joto la kutosha kuvimba ipasavyo, na hivyo hazitafunga maji vizuri.

Matokeo yake ni ugali kuwa mbichi hata kama utaongeza moto mwingi, kwa sababu muundo wa wanga tayari umekosa joto la awali linalohitajika kwa kuchemka vizuri.
 
Kuna kuta za dunia/nguzo ambazo wazungu hawataki zifikiwe, mwezi ndio husogeza maji yaan kupwa na kujaa kwa bahari kwa sababu ya utambalale, kuzama na kuibuka kwa jua upande mwingine yaani nguzo moja na nguzo nyingine na kufanya kati kati kusiguswe na mwanga wa
Oya kama huu ni utafiti wako nenda pale UDSM sasa sijui department gani! Submit utafitibwako upate PhD chap na sisi Africa tujivunie kwamba tumegundua nadharia mpya ambayo wazungu wametudanganya muda mrefu😃😃😃
 
Ulimuoveload mwalimu Mkuu. Alitakiwa kukujibu hivi. Sababu kuu ya ugali kutokuwa tayari ikiwa unga umewekwa kabla ya maji au uji haujachemka vizuri inahusiana na jinsi wanga (starch) uliomo kwenye unga unavyochemka. Wanga huwa na chembe chembe ambazo zinahitaji kiwango fulani cha joto ili ziweze kuvimba na kuwa na uwezo wa kunyonya maji vizuri. Maji yanapochemka, chembechembe za wanga zinaanza kuvimba, kujifungia na kuunda muundo mzito unaowezesha ugali kuiva vizuri.

Ikiwa unga utawekwa kabla ya maji kufikia kiwango cha kuchemka, chembechembe za wanga hazitapata joto la kutosha kuvimba ipasavyo, na hivyo hazitafunga maji vizuri.

Matokeo yake ni ugali kuwa mbichi hata kama utaongeza moto mwingi, kwa sababu muundo wa wanga tayari umekosa joto la awali linalohitajika kwa kuchemka vizuri.
Siyo alimuoverload hapo aliuliza field ambayo huyo mwalimu wa physics hajabobea hapo mimi naona ni chemistry na biology
 
Kuna kuta za dunia/nguzo ambazo wazungu hawataki zifikiwe, mwezi ndio husogeza maji yaan kupwa na kujaa kwa bahari kwa sababu ya utambalale, kuzama na kuibuka kwa jua upande mwingine yaani nguzo moja na nguzo nyingine na kufanya kati kati kusiguswe na mwanga wa jua
Ni faida gani wazungu wanaioata kwa kuupotosha ulimwengu kuhusiana na haya unayoyasema?
 
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"

Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?

Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karibuni
🙋‍♂️🤔
 
Dunia haizunguki, dunia ni tambarare.

Maji hayapindi, maji hufuata level iliyo nyooka, pia asilimia 75 ya uso wa dunia ni maji.

Jua linazunguka kutoka mashariki kwenda magharibi.

Juu ya anga kuna kizuizi, hakuna anayeweza kutoka. Juu kuna maji chini kuna maji.

As above, so below.
🙋‍♂️🤔
 
Dunia inazunguka pamoja na kilichopo juu ya ardhi, ni sawa na kusema nzi akiwa ndani ya ndege akataka kuruka kutoka siti ya nyuma kwenda siti ya mbele atashindwa kufika kwa vile ndege inakimbia kwa kasi sana, Hapana si kweli huyo nzi atafika vizuri tu sababu ndege inayembea na yeye anatembea hayupo excluded. Ndivyo ilivyo kwa helikopta hiyo uliyoitolea mfano. Ngoja wanafizikia waje wakufafanulie kitaalamu zaidi.
Good Insight.......i like it.
 
Back
Top Bottom