Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

Hapo mbona simple tu? Jiulize kwa nini gari inayokimbia wakati wewe umekaa ndani yake ikisimama ghafla unaweza kutokea kwenye kioo cha mbele kama ipo speed sana? Jibu ni unakimbia sawasawa na speed ya hiyo gari ......sasa je kama unakimbia speed sawa na gari unawezaje kutembea taratiibu ndani ya hilo hilo gari kuhama siti moja kwenda nyingine? Au kutoka siting ya nyuma kwenda sit ya mbele taratiibu kabisa? Tena hapo tunaongea gari ambayo speed yake inabadirika badirika ......sasa dunia inaenda constant speed, vitu vyote vilivyopo ndani yake vitakimbia speed hiyo hiyo..
Hivyo basi nikitaka kuhama position moja kwenda nyingine ndani ya hii hii dunia inayokimbia lazima nianzishe speed mpya.
Ila mtu aliyepo nje ya dunia na hayupo kwenye speed yake ataniona nakimbia kuliko dunia.
Vivyo hivyo mtu akiwa ndani ya basi linalotembea na yeye anatembea halafu wewe umesimama pembeni ya barabara huwezi kumuona akitembea taratibu utaona anakimbia pamoja na basi. ( OYA SAYANSI KUIELEZA KWA KISWANGLISH NI MSALA)
 
 
Mifano mingine inayohusisha vyakula vya wanga vinavyohitaji joto maalum ili viive kwa namna inavotakiwa:

1. Kupika wali: Ukiongeza mchele kwenye maji ambayo hayajafikia kiwango cha kuchemka, mchele utakuwa mgumu kwa sababu chembechembe zake za wanga hazitakuwa na joto la kutosha kupenya ndani na kufanya mchele uwe laini. Utapata wali mbichi au mgumu hata kama utaendelea kupika kwa muda mrefu.

2. Kupika uji: Kama unga wa uji utawekwa kabla ya maji kufikia kiwango cha kuchemka, uji hautakuwa mzito ipasavyo.

Uji utabakia kuwa mwepesi na mbichi kwa sababu wanga hauna nguvu ya kuunda muundo mzito unaotarajiwa.
(kwenye hili wengi wamejikuta hawaelewi kwanini hawezi kupika uji ulioiva)

3. Kupika tambi: Tambi zikiwekwa kwenye maji yasiyo ya moto (kama hayajafika kiwango cha kuchemka), matokeo yake ni kwamba zitaiva nje lakini ndani zitabaki mbichi au zenye ugumu, hata kama utazipika kwa muda mrefu zaidi.

Kwa hivyo, katika vyakula vyote hivi, joto linalofaa la maji au mchanganyiko ni muhimu ili chembechembe za wanga ziweze kuvimba na kuiva ipasavyo. Ikiwa hatua hii itapuuzwa, chakula kinabaki na ubichi.
 
Hahahahaha
 
Wakati Joshua anapigana vita, Mungu alimwambia Joshua simamisha jua, hakumwambia asimamishe dunia.
 
Hata ndege ikiwa juu bado iko controlled na gravity ya dunia.
 
 
Wakati Joshua anapigana vita, Mungu alimwambia Joshua simamisha jua, hakumwambia asimamishe dunia.
Wakatoliko walimweka Galileo under house arrest kwa mawazo kama yako. Miaka miambili baadae wakaja kukiri hadharani kuwa jamaa alikua sahihi kwa kusema dunia ndio inazunguka sio jua.
 
Wakati Joshua anapigana vita, Mungu alimwambia Joshua simamisha jua, hakumwambia asimamishe dunia.
Ukitaka kujadili hoja za kisayansi Acha hivyo vitabu pembeni....
Ukishaingiza biblia na quran sayansi itakuwa ngumu kwako! Mfano vitu kama sigara au bangi vimeandikwa wapi kwenye hivyo vitabu?
 
Shukrani mkuu jibu sawiha kabisa.
 
Kweli kabisa. Sisimizi ukimuuliza mpira una umbo gani atasema tambarare
 
Kwa ufafanuzi wako kwa huo mfano mdogo umebeba majibu ya kisayansi kwa swali la mtoa hoja, kwa hiyo jibu hili limeifunga mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…