Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"

Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?

Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Na wewe kwanini usisimame tu hapo nje kisha ufike unapopataka?
 
Linarudi kama lilivyo enda, jua linapishana na mwezi. Upande wa jua ndyo huwa mchana, na upande wa mwezi huwa usiku.

View attachment 3114428
Wasomi wa vitabu vya dini mna kazi hawa wanaoend na kupiga picha za Dunia Huwa Wana, hauwaamini?

Picha za Dunia zinapigwa na satellite nipe pichaniliyopiga Dunia ikaonuesha umbo kama meza
 
Kama kusingekuwa na gravitation force pengine ingewezekana,hapo unamaanisha lazima hicho kitu kitoke nje ya dunia halafu dunia ipite kwa speed,ili kitu kitoke nje ya dunia kinahitaji escape velocity,kama bado upo kwenye hewa kimsingi unakuwa bado upo kwenye dunia,kitendo cha kuganda hewani humaanisha bado upo ndani ya dunia,dunia ni pamoja na eneo lenye angahewa,hewa hushikiliwa na gravitation force ili ziweze kukaa kwenye uso wa dunia vinginevyo tusingekuwa na atmosphere,kwa hiyo dunia ni pamoja na hewa iliyopo na haiwezi kuescaape kwenye uso wa dunia kwa kuwa molecules hazina nishati ya kutosha ya kuziwezesha ziweze kuescaape uso wa dunia.kimsingi ili uweze kufanya jambo Hilo ungehitaji kukitoa kitu kwenye dunia kwa escape velocity,hicho unachozungumza kinawezekana ila unahitaji nishati kubwa ya kukuwezesha kutoka kwenye gravitation pull ya earth na uwe nje ya dunia
 
😄
Likitoka mashariki kwenda magharibi na Dunia ni tamarare haizunguki je asubuhi ukiamka unakuta linatokea magharibi si ndio ?
😄 Mfano mzuri wape hii!! Tuonavyo linapochomoza mashariki kwenda magharibi ni kama tunaona kama linazama chini. Je linazungukia chini Ili liibukie tena mashariki? Jibu ni hapana! Itoshe kusema linazunguka clockwise. Hivyo dunia imesimama tuli kama plate ya saa na jua linazungukia juu ya Dunia kama mshale wa saa unavyozunguka juu ya plate ya saa yenyewe.
 
Pia wanaambiwa jua ni kubwa kuliko dunia, huu ni uongo mkubwa.
Kuna wkt tunaliona jua kama lipo karibu kabisa na round yake ilivyo wkt wa mawio yake. Likiwa na muonekano kama mbalamwezi ulivyo. Na pia mabandiko yanakinzana na sayansi jinsi Dunia na vinginevyo vilivyoumbwa. Je ni kweli watu hawaamini kwamba maelezo ya biblia ni sahihi kuhusu uumbaji wa Mungu? Je hawaamini juu ya anga kuna maji? Na jua lipo katikati ya anga lililotenganishwa katikati ya maji?
 
Je ni kweli watu hawaamini kwamba maelezo ya biblia ni sahihi kuhusu uumbaji wa Mungu? Je hawaamini juu ya anga kuna maji? Na jua lipo katikati ya anga lililotenganishwa katikati ya maji?
Watu wanajiita waumini, au wana imani, lakini wanachagua sayansi na sio imani zao.

Tupo katikati ya maji, as above so below, under the firmament.

IMG_20220921_230015.jpg
 
Malizia vizuri hii point ya mwisho
Tena waambie kile tunachoambiwa ni bara la barafu(Antactica) ni ukuta wa barafu aliouweka Mungu kuzuia maji yaliyo tambarare yasi over flow. Na kule hakufikiki tungeweza kufahamu kilichopo mbele zaidi. Ila tubaki tu kuamini uumbaji wa Mungu alioufanya,ambao unakinzana kabisa na sayansi tuliyokaririshwa mashuleni. Dunia ni flat na haizunguki.
 
Back
Top Bottom