a wanasema jua lipo mamilioni ya kilometre kutoka duniani. Inakuwaje kuna picha pia zinalionyesha jua likionekana kuwa na mawingu kwa upande wa nyuma yake?Well, jua lina zunguka kutoka upande mmoja kwenda mwingine, watu wa zamani walikuwa hawana saa, hivyo walitumia kivuli cha jua kutambua muda.
View attachment 3114343
Pia wanaambiwa jua ni kama moto, yani linawaka sambamba na joto kali, huu ni uongo mkubwa.N
a wanasema jua lipo mamilioni ya kilometre kutoka duniani. Inakuwaje kuna picha pia zinalionyesha jua likionekana kuwa na mawingu kwa upande wa nyuma yake?
Huu ndio uhalisia wenyeweLinarudi kama lilivyo enda, jua linapishana na mwezi. Upande wa jua ndyo huwa mchana, na upande wa mwezi huwa usiku.
View attachment 3114428
WanazinguaPia wanaambiwa jua ni kubwa kuliko dunia, huu ni uongo mkubwa.
Na wewe kwanini usisimame tu hapo nje kisha ufike unapopataka?"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Eti jua ndio asili ya majiPia wanaambiwa jua ni kama moto, yani linawaka sambamba na joto kali, huu ni uongo mkubwa.
Au eti jua linawaka moto 😂Eti jua ndio asili ya maji
Wasomi wa vitabu vya dini mna kazi hawa wanaoend na kupiga picha za Dunia Huwa Wana, hauwaamini?Linarudi kama lilivyo enda, jua linapishana na mwezi. Upande wa jua ndyo huwa mchana, na upande wa mwezi huwa usiku.
View attachment 3114428
Nakuwa kitandani nimelala, nafika hadi kijijini kwetu. Unabisha?Na wewe kwanini usisimame tu hapo nje kisha ufike unapopataka?
Ukweli ni upiPia wanaambiwa jua ni kubwa kuliko dunia, huu ni uongo mkubwa.
Sibishi.Nakuwa kitandani nimelala, nafika hadi kijijini kwetu. Unabisha?
SawaSibishi.
Ukweli upo, ukitaka kujua fanya tafiti mwenyewe, tumia akili ya asili sio akili ya shuleni.Ukweli ni upi
😄 Mfano mzuri wape hii!! Tuonavyo linapochomoza mashariki kwenda magharibi ni kama tunaona kama linazama chini. Je linazungukia chini Ili liibukie tena mashariki? Jibu ni hapana! Itoshe kusema linazunguka clockwise. Hivyo dunia imesimama tuli kama plate ya saa na jua linazungukia juu ya Dunia kama mshale wa saa unavyozunguka juu ya plate ya saa yenyewe.Likitoka mashariki kwenda magharibi na Dunia ni tamarare haizunguki je asubuhi ukiamka unakuta linatokea magharibi si ndio ?
Kuna wkt tunaliona jua kama lipo karibu kabisa na round yake ilivyo wkt wa mawio yake. Likiwa na muonekano kama mbalamwezi ulivyo. Na pia mabandiko yanakinzana na sayansi jinsi Dunia na vinginevyo vilivyoumbwa. Je ni kweli watu hawaamini kwamba maelezo ya biblia ni sahihi kuhusu uumbaji wa Mungu? Je hawaamini juu ya anga kuna maji? Na jua lipo katikati ya anga lililotenganishwa katikati ya maji?Pia wanaambiwa jua ni kubwa kuliko dunia, huu ni uongo mkubwa.
Watu wanajiita waumini, au wana imani, lakini wanachagua sayansi na sio imani zao.Je ni kweli watu hawaamini kwamba maelezo ya biblia ni sahihi kuhusu uumbaji wa Mungu? Je hawaamini juu ya anga kuna maji? Na jua lipo katikati ya anga lililotenganishwa katikati ya maji?
Yanashikiliwa na kitu gani kuwa hapo yalipo ?asilimia 75 ya uso wa dunia ni maji.
Tena waambie kile tunachoambiwa ni bara la barafu(Antactica) ni ukuta wa barafu aliouweka Mungu kuzuia maji yaliyo tambarare yasi over flow. Na kule hakufikiki tungeweza kufahamu kilichopo mbele zaidi. Ila tubaki tu kuamini uumbaji wa Mungu alioufanya,ambao unakinzana kabisa na sayansi tuliyokaririshwa mashuleni. Dunia ni flat na haizunguki.Malizia vizuri hii point ya mwisho
Yapo juu ya ardhi, kama ambavyo ukifika kina cha bahari unakutana na udongo.Yanashikiliwa na kitu gani kuwa hapo yalipo ?