Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Sawa mkuu ila ninaamini kuna wengine, ngoja nione kama kuna sababu fulani kwa wanaofahamu.Hii ni kwako tu, mimi siko hivyo, sencor zangu zote za mwili zinafanyakazi.
bei gani unataka?Yani njaa inifanye nisihisi chakula kimezidi chumvi! Haiwezekani hiyo ni kwako tu, Tajiri usiye na bei.
Asante mkuu japo sijuwi bwana amosi ana uhusiano kwa upande gani na hicho ulichokichanganua.Hii ni hali ya kawaida kutokana na jinsi tunavyokula na kuona ladha wakati wa kula. Wakati tunakula au kunywa, ladha inaweza kutokea kwa muda mfupi, lakini aftershocks za ladha au hisia za chakula kwenye ulimi zinajitokeza baada ya muda fulani, wakati ambapo tumeshahisi kile kilichomo kwenye chakula au kinywaji.
Hasa kwa chakula kilicho na chumvi, sukari, au viungo vingine, akili yetu inaweza kuwa inajihusisha zaidi na ladha ya msingi inayokuja haraka, na tunaweza kupuuzilia mbali ladha ya ziada. Kwa hiyo, baada ya kumaliza kula, tunapokaa na kuachilia chakula tumboni, tunaweza kugundua kuwa chakula kimekuwa na ladha isiyo ya kawaida au imejaa viambato vingi kwa sababu sasa tumezingatia kwa undani ladha hizo.
Kwa upande wa mihogo na vyakula vingine, mara nyingi tunakuwa na hisia za uchungu au ladha zingine ambazo zinachukua muda kujitokeza baada ya kula, hasa wakati tumejawa na chakula au tunapozama kwenye hisia za kushiba.
Kuhusu juisi, hali kama hii inaweza kutokea kwa sababu wakati tunakunywa, ladha inaweza kupunguzwa na hewa au vinywaji vyenye baridi, na hivyo ladha ya sukari inayozidi au kupungua itajitokeza baada ya muda fulani.
Ata amosi makalla ndivyo alivyo
Yani njaa inifanye nisihisi chakula kimezidi chumvi! Haiwezekani hiyo ni kwako tu, tajiri usiye na bei.
Sorry mkuu nilijuwa umenikejeli. sasa ndio nimegundua ulitaka kutania kwa kutumia jina langu japo umelielewa vibaya.bei gani unataka?
πππ Nimeshangaa baadhi humu wamesema hawajawahi ona hiyo hali, unaweza Dhani tunaishi kwenye dunia mbili tofauti.Tena chenye chumvi,mwsho kinaweza kukushinda kabisa
Mkuu tulia kwanza, kunywa maji halafu relax usome tena nilicho kiandika pia usome walicho kiandika member waliochangia, kisha usome ulicho kiandika.duuh! ya leo kali eti utamu wa chakula usikie baada ya kushiba..kwahiyo ww hata ukiwekewa vijiko vitano vya sukari au chumvi kwenye mboga mdomo wako hauhisi chochote ndio kusema mwezetu utamu wa chakula,uchungu,sukari chumvi eti unasikia tumboni na sio kwenye ulimi..taste sio kazi ya tumbo..mm naona hii mada yako ni feki tu umeianzisha kusudi ili kuvuta antetion na kuchangamsha jukwaa wala hauko serious.. japo utafanya member wajipinde kukushauri kumbe muhuni umeleta masihara unakuwa unawachora tu..