Swali kwa wenye wapenzi zaidi ya mmoja.

Swali kwa wenye wapenzi zaidi ya mmoja.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Ivi,let say kwamba una wapenzi wawili ambao hawajuani,then siku ya siku wote wanakuomba ukutane nao muda mmoja katka sehemu moja.utafanyaje?
 
Kwani sababu ya kumtosa mmoja wao itakosekana
Na wewe kwani wakati wa kuset hizo appointment zako si unajipangia bana
 
Nakubali halafu naweza ma spy eneo la tukio pengine ni mtego,mimi sitokei kwanza.
 
Ivi,let say kwamba una wapenzi wawili ambao hawajuani,then siku ya siku wote wanakuomba ukutane nao muda mmoja katka sehemu moja.utafanyaje?

Nachagua anae noga mwingine unampiga kalenda na location unahama
 
Ndio mambo ya wanaume kujadili haya. Mtoa mada uko form ngapi?
 
Kazi kweli kweli......! Unataka kula vyote......... !!!! Wewe ni mlafi sasa ngoja yakufike. Kila mmoja unampenda na wote wanakuhitaji wakati mmoja. Kujikata sehemu mbili huwezi....... !!! Sasa bora hili liwe fundisho ufanye kama mimi. Waowe wote halafu uwapangie zamu. Hii ndiyo dawa kama unashindwa ku control matamanio yako.
 
ukiona promise zote zimeangukia the same place,same time jua wamekustukia i see so change location ya kumeet na mmoja wao tena ikiwezekana postpone zote usiende
 
Cheki ati ndo nimemalza 4m4 umekazania mapenz ya kibongo kua uyaone!
 
Guys you need to relax sometime! Mapenzi hayana utuuzima na utoto. . Watu wazima haohao wanatongoza vibinti penzi linakuwa kama ndo wako eighteen! You need to relax sometime! Acheni kumshambulia mtoa mada. .Anarelax lol. .
 
Uzuri wa wapenzi wengi
Kuwapanga tu
Ni dayati tosha.
 
whats the use ya kuwa na wapenzi wawili....vijana tunajidanganya kuwa ukiwa na wengi ndo fashion.....that aint true....just have the one and only,mpendane muheshimiane siku zitasonga....for the case of the appointment with the two:meet em all and tell them your game,from thjere change your ways with the one who wills to forgive you and start afresh...
 
Ivi,let say kwamba una wapenzi wawili ambao hawajuani,then siku ya siku wote wanakuomba ukutane nao muda mmoja katka sehemu moja.utafanyaje?

Hapo longolongo zinahitajika ili kumshawishi mmoja wapo ukutane naye muda mwingine.
 
ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingie ucheze

Back
Top Bottom