SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Habarini wadau na heri ya pasaka kwenu.

KWAKWELI Nimeshangazwa na habari mbili leo hii zilizonifanya nije kuuliza hili swali kuwa "WANAUME WA DAR" wana utofauti gani na wa mikoani?

Ninaishi mkoani, asubuhi ya leo nikiwa na washkaji wa Car Wash center flan nimesikia mtu akimwambia mwenzie wewe mwanaume wa Dar tu wa kuvaa mnyonyo (sijui ni nini) na kunyoa kiduku huna kingine cha kiume.

Halafu kali zaidi, ni kuna thread imeanzishwa na katika maelezo kuna msisitizo hapa[emoji116]

Kuliko afe Mange Kimambi ni bora wafe wanaume wa Dar Million 1. [emoji15].

Sasa, yaani hao wanaume wa Dar ni hawana thamani kabisa kiasi hicho au ulikuwa ni utani tu?
Amorapa alithibitisha uanaume wa dar alivoona mguu wa kuku akatoka nduki,,,
 
Unakosa uhondo shost,wanaume wa Dar wana raha yake ujue! Ukimtembelea huna haja ya kubeba vipodozi,kila aina ya kipodozi unamkuta nacho wewe ni kujiremba tu tena huku mnanyang'anyana kioo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wa hivyo si jamii ya kina dida mtamu jamani? Acha nikose uhondo nishazoea wanaume wangu wa mkoani.
 
Thread aina hii zinawapa faraja watu wa aina fulani.
 
Unakosa uhondo shost,wanaume wa Dar wana raha yake ujue! Ukimtembelea huna haja ya kubeba vipodozi,kila aina ya kipodozi unamkuta nacho wewe ni kujiremba tu tena huku mnanyang'anyana kioo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya ni matusi ya kwenye nguo...
Eti wanajiremba kama dadazao
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya ni matusi ya kwenye nguo...
Eti wanajiremba kama dadazao
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ushimen usinichonganishe na habiby wangu,mwanaume wa Dar!
 
Hahaha...huyu kweli lazima awaogope Panya road
Sasa mkuu unategemea mwanaume kama [emoji116] [emoji116] anashindwa kuakimbia panyaroad!!!!
tapatalk_1484473143100.jpeg
 
Back
Top Bottom