SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Kama mkuu wa mkoa wao anatuhuma za yale mambo sembuse hao raia anao waongoza
 
Halafu wanaume wote wanaotafuta wapenz humu JF na mashaka nao watakua wa dar mana chipsi zimewatia uvivu wa kutongoza,
 
Interesting....jana walikuwa wanajadiliwa wale wanaoandika JOMONI=JAMANI

Hizo style zao za uandishi huwa zinakera bala kabisa yaani najiuliza nini kinawafanya wasiandike neno kamili au neno fasaha??
 
Wewe ni wa mkoani?
 
hahahahah jana wamefurumshwa na polisi, nakumbuka kipindi nasoma tabora tuliwahi kuchapa polisi mpaka wakaomba assistance ya wasoja.
 
Yani mtu anajiita youngdonats

Donats si chakula?...sasa huku dar mtu akisgaitwa chakula ni maana mbaya sn
 
Interesting....jana walikuwa wanajadiliwa wale wanaoandika JOMONI=JAMANI

Hizo style zao za uandishi huwa zinakera bala kabisa yaani najiuliza nini kinawafanya wasiandike neno kamili au neno fasaha??
Akili za Dar hizo kk
 
Nyie wanaume wa mikoani mnakuwa kama team kiba bila kuwazungumzia hovyo wanaume wa dar hamjisikii vizuri
 
Back
Top Bottom