SWALI: Kwanini wanawake na waislamu wanakadiriwa kuajiriwa zaidi na Utumishi(PSRS)?

Nina degree bado sijaupload vyeti ajira portal
Nataka kuweka cheti cha form Four na cheti cha udereva
Niombe kama dereva kuepuka compensation ya degree baada ya hapo.
Nitafanya recategorization
Ukieka chet Cha form 4 tu inavuta na taarifa za chuo
 
Hapana sio kweli
Hii system ya ajira portal bado haina uwezo wa kufanya coordination ila ina taaarifa zako zote kama utaweka namba yako ya mtihani
Ila TCU hawana hiyo system so kama ulitaka kunikwamisha au kunikwamisha tamaa pole sana
 
Mleta mada kaongea kinyume chake sio udini ila ndio uhalisia masheikh wa uamsho waunde chama cha siasa tununue card
 
Hapana sio kweli
Hii system ya ajira portal bado haina uwezo wa kufanya coordination ila ina taaarifa zako zote kama utaweka namba yako ya mtihani
Ila TCU hawana hiyo system so kama ulitaka kunikwamisha au kunikwamisha tamaa pole sana
Weka tuone, maana nyani wabishi sana
 
Huu uzi mbona umenyolewa?
Kuna mabanzi amepigwa huyo mtoa mada na udini wake wamefuta kuulinda udini au sio, ukute mamodz wenyewe wadini wengi humu
 
Hadithi izo mi ni muislamu na nishachoma two tymes dodoma oral interview ila wwap kila mkeka simo,..
 
Hahahaha poor you mbona nishaweka kinasoma cha form Four acha wivu mku****u wewe
Huwez pata kaz subir uone unazan wai wajinga? Yan upate kaz ya udereva baada ya mwaka upeleke vyet vya vyuo unadegree unataka Kaz ñyingne 😁😁

Uliza maana ya overqualification hapo utumishi wanavodeal nazo
 
Ndio maana nasema wewe ni mpumbavu tena mjinga hujui lolote kuhusu system ya ajira portal

Nina wanangu kibao wana shahada ila walishituka wakaweka certificate za diploma sasa wanakula maisha wanasubiri 3 years wafanye recategorization

Sasa endelea na tabia zako za kike utakuja kufi****a hadharani mbwa wewe.

Sikuhizi unatakiwa kutumia ujanja punga wewe kama wewe umeweka au umeupload degree yako imekula kwako matako meusi
 
Chai, hakuna kitu kama hicho endelea kujidanganya
 
Back
Top Bottom