SWALI: Kwanini wanawake na waislamu wanakadiriwa kuajiriwa zaidi na Utumishi(PSRS)?

SWALI: Kwanini wanawake na waislamu wanakadiriwa kuajiriwa zaidi na Utumishi(PSRS)?

Habari,..swali langu linaendelea kwa kuangalia takwimu za ajira za ivi karibuni (recent placements) za sekretarieti ya ajira.

Kwa majina ya walioitwa kazini hasa uwalimu wa masomo ya Kiswahili,Kingereza,Historia (hasa Kiswahili)ambayo ndiyo nimeifatilia kwa sehemu kubwa inaonekana kundi la wanawake na waislamu wameajiriwa zaidi.

SWALI linaendelea..1.je, wanawake na waislamu ndio wanaweledi mkubwa wa kufaulu saili (interviews) za sekretarieti ya ajira?
2.Je, wanawake na waislamu ndio wameonekana watendaji wazuri kwa tafiti za kiutendaji za ivi karibuni (recent proper employees analysi)?

3.Je,ni upendeleo juu ya wanawake na waislamu,?
4.Je wanawake na waislamu ndio wanaoomba ajira kuliko makundi mengine ambayo hayajatajwa?
5.Je, ni changamoto za kimfumo pengine ajira zinatolewa randomly?
Kama akiajiriwa mkristo, ww kama mkristo unanufaikaje? Na kama akiajiriwa muislamu ww kama muislamu binafsi unanufaikaje?
 
Kwahiyo hizo shule ukiwa mkristo unasoma bure? Hakuna waislamu wanaosoma hizo sehemu?
Wanalipia ila wataweza kujisifu kwenye mitandao kuwa wana mashule, mahospital na makanisa mengi kuliko waislam kama wafanyavyo hapa jf
 
Back
Top Bottom