Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Mmea Jr

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2016
Posts
798
Reaction score
1,871
Hello everyone , how is yr weekeeeend going ? Okay, wakati wanachadema wakiwa na furaha na shamla shamla za kiongozi wao mbowe kurudi uraiani basi na mimi bila ya kupoteza muda wala kupepesa macho ningependa niende moya kwa moya kwenye mada .

Imezoleka saaaaana katika jamii kwa sisi wanaume kutokuonea aibu kivileeee especially tunapokuwa mbele ya wanaume wenzetu lakini hali inaweza kuwa tofaaaaaauti kabisa kwa upande wa pili yani kwa wanawake , sasa basi kutoka na halii ningependa kuwauliza wanawake wote ambao mgependa kushiriki mjadala huu ndani ya jamiiforum .

JE UNAWEZA KUVAA KUANZIA NGUO YA KWANZA HADI YA MWISHO MBELE YA MWANAMKE MWENZIO( YANI MBELE YA SHOSTI AU CLASSMATE WAKO )?.
 
Kuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?
 
Naomba utoke na chupi tu toka rum hadi kwenye gari langu tafadhali😅 nimepaki nje kwako hapa!
 
Mkuu kama ulikuwa hujui hakuna jinsia ambayo ni "gay" (wenye mahusiano ya jinsia moja na wasiooneana aibu) kama wanawake.

Ndio maana kukuta wanawake kukumbatiana hovyo, kubusiana, kutomasana ni kawaida sana kwao.

Mfano mwingine majina wanayoitana wenyewe kwa wenyewe. Dear, mpenzi, sweetheart n.k. Sasa wewe jichanganye umuite mwanaume mwenzako hayo majina uone.

Sasa sembuse la kuvaa nguo mbele ya mwenzake.
 
Kuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?
Wewe tunajua unaweza maana ni mkorofi waache wapole waje wajibu..😂
 
Back
Top Bottom