Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Utakuwa na shimo sio la nchi hii
Hivi mie ni mkorofi ama mpole?
Manake sina ubavu wa kukaa uchi mbele ya kiumbe chochote duniani
Nahisi hata akiwekwa mtoto mchanga hapo nibaki nae room moja nitavaa kwa kujificha