Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Hivi mie ni mkorofi ama mpole?

Manake sina ubavu wa kukaa uchi mbele ya kiumbe chochote duniani

Nahisi hata akiwekwa mtoto mchanga hapo nibaki nae room moja nitavaa kwa kujificha
Wewe sio mpole wala sio mkorofi bali wewe ni kauzu tena zaidi ya dagaa.
Ila hua naikubali sana misimamo yako.
 
Mpole anabeti..🤣
We ni mkorofi sema aibu zimekuzidi vipi sasa ukiwa na nyonga mkalia ini huwa inakuwaje..?
Kubet ni starehe kama anayekunywa pombe
Kwa sasa mie nabet mara chache for fun...napenda mpira ndio mana nabet

Hahahah kwenye aibu kweli zimenizidi
Nyonga mkalia ini anaelewa situesheni yangu
 
Kuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?
Kuoga na kujisugua kabisaa tena mwanduuu!!wanawake hatuna habari!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Tena na kuoga tunaoga wote...[emoji1]hostel/boarding nyingi kuna bafu za cube(private) na za hall....ss we unachagua wapi unataka[emoji3]
Pale kwenye hall sasa ndo mnajikuta weengii kila mtu na ndoo yake mnapigaa story ...mnachekaaa....mnajitawaza,.yn no one cares...na mnaweza mkawa km mtu 10

Once nilivyoingia hostel niliona tabu na aibu..ila khaaa kumbe kila kitu ni mazoea tu..just in fewdays nika adapt.....

Wenye wezele
Wenye viflat
Wenye saa 6,
Wenye ndala...
Wenye makovu..
No one cares[emoji850][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu mimi sijazoea mambo ya kujibana nikishinda nyumbani nafunga khanga siku mzima. Mtu akigonga mlango nasikilizia kama wa kiume ndo naenda kuvaa kama wa kike siangaiki aingie tu.
 
Kubet ni starehe kama anayekunywa pombe
Kwa sasa mie nabet mara chache for fun...napenda mpira ndio mana nabet

Hahahah kwenye aibu kweli zimenizidi
Nyonga mkalia ini anaelewa situesheni yangu
Orodgesha vitu unavyovipenda Kama vitano hivi nitajua hulka ya upole au ukali uliyonayo.
NB viwe ni tabia.
 
Tena na kuoga tunaoga wote...[emoji1]hostel/boarding nyingi kuna bafu za cube(private) na za hall....ss we unachagua wapi unataka[emoji3]
Pale kwenye hall sasa ndo mnajikuta weengii kila mtu na ndoo yake mnapigaa story ...mnachekaaa....mnajitawaza,.yn no one cares...na mnaweza mkawa km mtu 10

Once nilivyoingia hostel niliona tabu na aibu..ila khaaa kumbe kila kitu ni mazoea tu..just in fewdays nika adapt.....

Wenye wezele
Wenye viflat
Wenye saa 6,
Wenye ndala...
Wenye makovu..
No one cares[emoji850][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]mnashinda vichupichupi mpk Leo nyumbani kuvaa nguo nzito siwezi may be niwe na wageni

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mi ni watoto tu wanitia kiwingu ndani...napenda sana kukaa na kutembea ndan nikiwa uchi.Nakumbuka hostel nikitoka kuoga nilikuwa nakunja kanga naweka chini nakalia nikiwa uchi naota jua
 
Mie katika vitu sipendi kukaa bila kitu mwilini mbele ya mtu awe ke au me, hasa sipendi mtu aniangalie usawa wa matiti yani sijui naonaje...

Niliookuwa chuo nilikutana na wasichana waliosoma shule za bweni ilikuwa mtiti ile mbaya, mtu anaweka taulo begani "kibwasha " kipo wazi mie nashangaaa [emoji28]
 
Basi tuache tu manake kwa hapa JF nitakudanganya tu 😁
Uongo ni tabia za wakorofi..😂

We unaaibu ila mkorofi wastani,ukikutana na mjanja wako unakuwa mpole ila ukikutana na boya anakuona kama Tyson..🤣
 
Back
Top Bottom