Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Afu mimi sijazoea mambo ya kujibana nikishinda nyumbani nafunga khanga siku mzima. Mtu akigonga mlango nasikilizia kama wa kiume ndo naenda kuvaa kama wa kike siangaiki aingie tu.
Tena kanga huku ndn uko empty[emoji28][emoji28]
 
Kuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?
Huyu hajakutana na wale wanaopiga deki kabisaa na wapo Kama walivyojaliwa na mashosti wanagalagala hamuhumo geto....
 
Mi ni watoto tu wanitia kiwingu ndani...napenda sana kukaa na kutembea ndan nikiwa uchi.Nakumbuka hostel nikitoka kuoga nilikuwa nakunja kanga naweka chini nakalia nikiwa uchi naota jua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom