Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Sijacomment chochote,
Nasoma tu comments zenu wakuu [emoji4]
IMG_20220228_154956.jpg
 
Kuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?
Hamchekani kwamba huyu ni flat screen, chogo, kitambi, mitindi etc??
 
Mkuu kama ulikuwa hujui hakuna jinsia ambayo ni "gay" (wenye mahusiano ya jinsia moja na wasiooneana aibu) kama wanawake.

Ndio maana kukuta wanawake kukumbatiana hovyo, kubusiana, kutomasana ni kawaida sana kwao.

Mfano mwingine majina wanayoitana wenyewe kwa wenyewe. Dear, mpenzi, sweetheart n.k. Sasa wewe jichanganye umuite mwanaume mwenzako hayo majina uone.

Sasa sembuse la kuvaa nguo mbele ya mwenzake.
Ungesema lesboo tyuuh, gay ni maana nyingne kabisaa, na hakukuwa na ulazima wa kutaja hilo, mbna ungeeleweka vizuri tyuuh. Lol
 
Back
Top Bottom