Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

Tena na kuoga tunaoga wote...[emoji1]hostel/boarding nyingi kuna bafu za cube(private) na za hall....ss we unachagua wapi unataka[emoji3]
Pale kwenye hall sasa ndo mnajikuta weengii kila mtu na ndoo yake mnapigaa story ...mnachekaaa....mnajitawaza,.yn no one cares...na mnaweza mkawa km mtu 10

Once nilivyoingia hostel niliona tabu na aibu..ila khaaa kumbe kila kitu ni mazoea tu..just in fewdays nika adapt.....

Wenye wezele
Wenye viflat
Wenye saa 6,
Wenye ndala...
Wenye makovu..
No one cares[emoji850][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan hapo ndo imesema kwa wanawake? Na ukaenda hadi Google kucheki, woiiiiiiiiiiiih hahahahah

Hata hivyo hakukuwa na haja ya kutaja hiyo "gay" na ungeeleweka vizuri tyuuh.
Sidhani kama upo kwenye position ya kunifundisha mimi kiingereza mkuu. Gay ni gay tu awe wakike au wakiume. Jua hivyo.

Literally gay is homo.
 
Watu tumesoma boading / chuo mbona hayo maisha yalikuwa kawaida? Chumbani kuna deka mbili wengine juu wengine chini sehem ya kuvalia ni pale kati unavaa vizuri tu kuanzia chupi hadi nguo ya mwisho.

Tuachane na maisha ya chuo, naishi mwenyewe hadi sasa. Mfano nipo naoga shoga yangu agonge mlango labda kuna kitu anafata anaenda moja kwa moja chumbani, nikitoka bafuni naendelea kujifuta hata kama kakaa hapo kitandani, napaka lotion navaa kila kitu tunaondoka kawaida yaani, kwani kuna shida unaanzaje muogopa mwanamke mwenzako?
 
Sidhani kama upo kwenye position ya kunifundisha mimi kiingereza mkuu. Gay ni gay tu awe wakike au wakiume. Jua hivyo.

Literally gay is homo.
Sipo ktk position ya kukufundisha, ila Gay n kwa Me, na Lesbos n kwa ke.

Nijue mie au we ndo ujue? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishajua zaidi ya hiyo.

Nwei relaaaax.
 
Kuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?
Au ndo ww😂😂 nilikufumaga
 
And who is a tribade?

Tatizo la kukariri.

Wewe ni gay. Everybody knows.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] prove?
Nikariri nini wee niggah? Nlikua nakupa challenge ili ufunguke zaidi, na wengine wapate kuelewa,

Najua kuhusu hayo masuala kuliko hata ninavyojijua mwenyewe.
Relaaaax bhas.
 
Wewe tunajua unaweza maana ni mkorofi waache wapole waje wajibu..😂
Hivi mie ni mkorofi ama mpole?

Manake sina ubavu wa kukaa uchi mbele ya kiumbe chochote duniani

Nahisi hata akiwekwa mtoto mchanga hapo nibaki nae room moja nitavaa kwa kujificha
 
Hivi mie ni mkorofi ama mpole?

Manake sina ubavu wa kukaa uchi mbele ya kiumbe chochote duniani

Nahisi hata akiwekwa mtoto mchanga hapo nibaki nae room moja nitavaa kwa kujificha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno, ko babee wako huwa inakuaje sasa? Huwa mnazima taa? Hahahah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno, ko babee wako huwa inakuaje sasa? Huwa mnazima taa? Hahahah

Babe yupi?si tulikubaliana namtunzia mume?
 
Hivi mie ni mkorofi ama mpole?

Manake sina ubavu wa kukaa uchi mbele ya kiumbe chochote duniani

Nahisi hata akiwekwa mtoto mchanga hapo nibaki nae room moja nitavaa kwa kujificha
Mpole anabeti..🤣
We ni mkorofi sema aibu zimekuzidi vipi sasa ukiwa na nyonga mkalia ini huwa inakuwaje..?
 
Back
Top Bottom