Hivi mie ni mkorofi ama mpole?
Manake sina ubavu wa kukaa uchi mbele ya kiumbe chochote duniani
Nahisi hata akiwekwa mtoto mchanga hapo nibaki nae room moja nitavaa kwa kujificha
Hata mie nilihisi hii kituUtakuwa na shimo sio la nchi hii
vp chura lipo?Kuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo u expert ulinipa wee? Msieeeew
Hostel za chuo muda wote midume inarandaranda au ya kwenu walikuwa wanakatazwa?Kuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?
Walikuwa wanaruhusiwa kwanzia saa nne asubuhi na mwisho ni saa 4 usiku.Hostel za chuo muda wote midume inarandaranda au ya kwenu walikuwa wanakatazwa?
ππππππ akili zako unazijua mwenyeweKuvaa? Watu tunakaa kabisa uchi wa mnyama na tunazunguka zunguka na unakuta wapo watano[emoji23][emoji23] au zaidi.
Mimi kipindi nipo hostel nilikuwa natoka na chupi tu hadi room nyingine kunyoosha nguo halafu wewe unauliza kuvaa?