britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere,
Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia imewaweka kando?
Britanicca
Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia imewaweka kando?
Britanicca