Swali: Kwenye vita ya Kagera maafisa wanajeshi wa kike hawakushiriki? Mbona huwa hawatajwi?

Swali: Kwenye vita ya Kagera maafisa wanajeshi wa kike hawakushiriki? Mbona huwa hawatajwi?

Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere,

Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia imewaweka kando?

Britanicca
Sidhani Kama walishiriki maana kwa kipindi hicho ule u 50 kwa 50 na mkutano wa Beijing ilikuwa bado
 
Nyapu zinaliwa sana, Kuna mwamba kamla mrembo kwenye mkesha wa mazishi ya baba wa mrembo
 
Wanajeshi wa kike zamani walikuwa hawashiriki vita kutokana na mazingira y kivita kuwa magumu zaidi na ufinyu wa teknolojia na pia walikuwa wachache sana. Haikuwa rahisi mwanamke kuwa na cheo cha juu kama uliowataja hapo.

Siku hizi tuna marubani pia wa kike jeshini. Askari wa kike hawastahimili milipuko mizito ya makombora, mizinga na vifaru kutokana na bailojia ya kimaumbile.

They are there as cheerleaders!!
Sijui hii mada ilinipitaje! Kwamba maumbile ya kike mlipuko ukitokea yanakuwaje! Fafanua!
 
Back
Top Bottom