britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Walishiriki kutuombeaWakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere,
Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia imewaweka kando?
Britanicca
Correct..Wanajeshi wa kike zamani walikuwa hawashiriki vita kutokana na mazingira y kivita kuwa magumu zaidi na ufinyu wa teknolojia na pia walikuwa wachache sana. Haikuwa rahisi mwanamke kuwa na cheo cha juu kama uliowataja hapo.
Siku hizi tuna marubani pia wa kike jeshini. Askari wa kike hawastahimili milipuko mizito ya makombora, mizinga na vifaru kutokana na bailojia ya kimaumbile.
They are there as cheerleaders!!
enzi hizo shetani alikuwa hajaibuka na ajenda ya "haki sawa kwa wote"Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere,
Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia imewaweka kando?
Britanicca
Walishiriki kwa namna nyingine hasa ya Kibaiolojia kwa Wanajeshi wa Kiume ili wawe Wepesi, wawe na Furaha katika Uwanja wa Vita, Morali yao iongezeke na wawe Stress Free hali ambayo ilichangia kwa 99% Wao Kushinda Vita na hatimaye Despot Idi Amin Dada kutoka Baru / Kukimbia.Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere,
Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia imewaweka kando?
Britanicca
Popoma unawaza ngono tu,hivi unaijua Vita kweli,huo muda wa kuwaza kunyanduana wataitoa wapi ,mida yote mnakaa ,mnawazia kifo kipo muda wote,harufu za damu za watu tu,mkuyange utasimama kweliWalishiriki kwa namna nyingine hasa ya Kibaiolojia kwa Wanajeshi wa Kiume ili wawe Wepesi, wawe na Furaha katika Uwanja wa Vita, Morali yao iongezeke na wawe Stress Free hali ambayo ilichangia kwa 99% Wao Kushinda Vita na hatimaye Despot Idi Amin Dada kutoka Baru / Kukimbia.
Wataalam wa Saikolojia ya Mapenzi wanasema mkiwa Mnatiana / Mnabanduana mkiwa katika Tension Mtiano / Mbanduano ndiyo hunoga na huwa mtamu hakuna mfano.Popom
Popoma unawaza ngono tu,hivi unaijua Vita kweli,huo muda wa kuwaza kunyanduana wataitoa wapi ,mida yote mnakaa ,mnawazia kifo kipo muda wote,harufu za damu za watu tu,mkuyange utasimama kweli
Syria kusingekuwa na watoto wadogo wa miaka 10 kwenda chini, the same to SomaliaPopom
Popoma unawaza ngono tu,hivi unaijua Vita kweli,huo muda wa kuwaza kunyanduana wataitoa wapi ,mida yote mnakaa ,mnawazia kifo kipo muda wote,harufu za damu za watu tu,mkuyange utasimama kweli
Mfano wako ni tofauti na ninachosema,kwani wanaziliana wakiwa msituni kwenye mapigano ?au raia ,Syria kusingekuwa na watoto wadogo wa miaka 10 kwenda chini, the same to Somalia
maeneo yenye ndio kuna ngono zaid
Kwani unadhani Askari wetu walioenda Uganda na Mozambique kupigana na hatimae kupata watoto na wanawake wa kule waliwapata baada ya vita kuisha?Mfano wako ni tofauti na ninachosema,kwani wanaziliana wakiwa msituni kwenye mapigano ?au raia ,
True, wenyezimungu katuletea raha ya jimai pamoja na mambo mengine ni kutuburudisha, kutuondolea msongo n.kWataalam wa Saikolojia ya Mapenzi wanasema mkiwa Mnatiana / Mnabanduana mkiwa katika Tension Mtiano / Mbanduano ndiyo hunoga na huwa mtamu hakuna mfano.
Mnauliza haya mambo kwa sababu dunia hii imetulia.Hata kwenye Biblia ni wapi ulisoma wanawake wameenda kupigana vita?Leo hii ni mshahara watu wanapata na ikitokea bahati mbaya(hatuombei iwe hivyo) vita vikitokea ni wanaume wengi watakaopotea au kufa wakati wanawake wakiendelea kula raha.Shetani wa dunia hii anamthamini mwanamke kuliko mwanamume na matokeo yake tutayaona miaka ijayo.Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere,
Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia imewaweka kando?
Britanicca
Sikupingi mkuu nina experience fulani kuna mambo ni ya kuyasikia tu.Mnauliza haya mambo kwa sababu dunia hii imetulia.Hata kwenye Biblia ni wapi ulisoma wanawake wameenda kupigana vita?Leo hii ni mshahara watu wanapata na ikitokea bahati mbaya(hatuombei iwe hivyo) vita vikitokea ni wanaume wengi watakaopotea au kufa wakati wanawake wakiendelea kula raha.Shetani wa dunia hii anamthamini mwanamke kuliko mwanamume na matokeo yake tutayaona miaka ijayo.
Shetani na mwanamke walifanya maridhiano pale bustanini Eden, ndio maana shetani uwa anamtumia mwanamke katika kufanikisha mission mbalimbali.Mnauliza haya mambo kwa sababu dunia hii imetulia.Hata kwenye Biblia ni wapi ulisoma wanawake wameenda kupigana vita?Leo hii ni mshahara watu wanapata na ikitokea bahati mbaya(hatuombei iwe hivyo) vita vikitokea ni wanaume wengi watakaopotea au kufa wakati wanawake wakiendelea kula raha.Shetani wa dunia hii anamthamini mwanamke kuliko mwanamume na matokeo yake tutayaona miaka ijayo.
Ukweli ndiyo huo mkuu.Shetani na mwanamke walifanya maridhiano pale bustanini Eden, ndio maana shetani uwa anamtumia mwanamke katika kufanikisha mission mbalimbali.