TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Ujaona mwaka juzi tulimzika mshikaji alidonda kwenye vyoo vya umma.Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao.
Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma.
Kwanini Hali hii utokea hivi?
Hatari sanaLabda huwa wanapatwa stroke kwenye vyumba vyao wanakimbilia chooni
Hatari sanaLabda huwa wanapatwa stroke kwenye vyumba vyao wanakimbilia chooni
Hutujui Waswahili kwani?Kwani stroke ni kupigwa na majini?
Wanawake kwa kupuliza hawajamboKikulacho ki nguoni mwako
Mr. Clean alianguka nyumbani kwake Sea ViewUjaona mwaka juzi tulimzika mshikaji alidonda kwenye vyoo vya umma.
Sio kila kitu dunia hii utafahamau
Ngoja waje wajuvi😃😃😃😃. Hili swali linataka majibu haswa na ni swali gumu.Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao.
Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma.
Kwanini Hali hii utokea hivi?
Uko sahihi sana sana sana. Tatizo akili zilishalisha matango pori. Kuja kubadilika inahitaji nguvu ya ziada.Asilimia kubwa ya wanaodondoka huwa ni bafuni na sio chooni, tuogapo tujitahidi kutumia maji angalau ya uvuguvugu na hata kama yakiwa ni baridi basi tuanzie kuoga miguuni kupanda juu
Mtanishukuru baadae, sio kila kitu ni ushirikina kuna mda mwili unakuwa na joto ww unatumia maji ya baridi tena unaanza kichwani, yaani ni kama vile umeipua sifuria jikoni mda huo huo ukataka kulipoza na maji
Ushasema habari za majini, kama ni habari za majini maana yake unaongelea tawi la uchawi. Mchawi anawezaje kukupata kwenye choo cha umma ilhali unaingia huko mara moja kwa mwaka!Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao.
Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma.
Kwanini Hali hii utokea hivi?