Umepigaje hapo?Ushasema habari za majini, kama ni habari z majini maana yake unaongelea tawi la uchawi. Mchawi anawezaje kukupata kwenye choo cha umma ilhali unaingia huko mara moja kwa mwaka!
Ni rahisi yeye kukupata kwenye choo chako au choo cha nyumba ya kupanga , ni rahisi kutambua ratiba yako ya kuingia chooni kwenye choo chako au choo cha nyumba ya kupanga kuliko kwenye choo cha umma (vyoo vya stendi).
Yawezekana aiseeLabda tiles za majumbani zinaterezesha sana tofauti na za choo za umma.
Kwanini iwe chooni ama bafuni???
Kweli mkuu ni sawa na ile umetoka kuulaza mwili kisha ukakurupuka kusimama ghafla ni hatari sana unaweza kwenda mazima.Asilimia kubwa ya wanaodondoka huwa ni bafuni na sio chooni, tuogapo tujitahidi kutumia maji angalau ya uvuguvugu na hata kama yakiwa ni baridi basi tuanzie kuoga miguuni kupanda juu
Mtanishukuru baadae, sio kila kitu ni ushirikina kuna mda mwili unakuwa na joto ww unatumia maji ya baridi tena unaanza kichwani, yaani ni kama vile umeipua sifuria jikoni mda huo huo ukataka kulipoza na maji