Swali la kizushi: Hebu tutajie jina moja tu la X wako aliyewahi kukuacha lakini bado unampenda

Swali la kizushi: Hebu tutajie jina moja tu la X wako aliyewahi kukuacha lakini bado unampenda

Janeth ni binti mrefu kidogo model shepu kama mobeto ana vimacho mahaba 👌 yani basi tu popote ulipo salamu zako.
 
Sijambo Noelia, Ila hujanijibu haha!
Vizuri Kama hujambo, hebu litamke kifupi Hilo jina, mi nikilisikia kwa kifupi kutokea kwenye libesi besi hivi Basi nalegea kabisaaa
 
Back
Top Bottom