KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
lakini Kiranga wewe ungependa uzikwe kama mkristo au wakufukie tu kama kuku aliekufa kwa kideri
Unajuaje kama napenda kuzikwa?
Hajui kuna watu huwa wanachomwa na majivu kumwagwa majini (baharini, bwawani, mtoni).
Siamini katika kuamini chochote.
Nimeelezea kirefu juu hapa. Perhaps your comprehension level is wanting.
Andika lugha tunayoielewa wote.
Ivi we ukinizidi hoja afu nijitetee kwa kuandika kiluga chetu ndo ntaonekana mjanja sana?
Na wengine washatengeneza mafriji ya kuwahifadhi majumbani mwao mpaka hapo sayansi itakapoweza kujua kwa uhakika kama wanaweza kuhuishwa tena ama la!
This is the level of parochialism we have to confront here!
Kwa hiyo tatizo ni wewe kutojua kiingereza?
Inawezekana kabisa unahitaji kujifunza Kiingereza kabla ya kujua maswali ya kumuhoji Kiranga.
Mengine hayajaandikwa katika Kiswahili bado.
Hizo pia ni imani za watu.
Yako mpya ni nini?
Hizo pia ni imani za watu.
Yako mpya ni nini?
Je na wanao umewalazimisha wafuate imani yako au umewaacha free watafute ukweli.
Kiluga ndo nini?
Mara ngapi?
Unajuaje kama nina au ninataka wana?
Au una assume assume tu kwamba kwa sababu kila mtu wa kijijini kwako ana watoto saba basi na mie ntataka habari hizo hizo?
With assumptions like these, I can easily understand such a mindset believing in god by fiat. Unaamini tu bila hata kuuliza ati.
Je unaamini pasipo kuamini kuna vitu huvijui?
Ishu ya "unajuaje" huwa unaitumia sana kuzima hoja. Unajua kwe hii thredi umeitumia mara ngapi?
Mweshimiwa hakimu nimemaliza maswali.
Siamini katika kuamini.