Swali la kizushi kwa Kiranga.

Swali la kizushi kwa Kiranga.

Mi naona tuseme tu kwamba we are not yet able to explain the miracles just like u said.
So, are we existing by chance(accident), why?
Is there any general purpose for living?

Have you considered that we might exist neither by chance nor by non-chance?

Why should there be a "general purpose of living"?
 
Sina majibu ndiyo maana nikauliza mkuu.
 
Have you considered that we might exist neither by chance nor by non-chance?

Why should there be a "general purpose of living"?

we Kiranga kwa nini unamchukia hivyo Mungu??
Sometime uwa natengeneza picha labda kuna mapungufu ya kimaumbile Mungu alikupatia basi unamchukia kiasi hicho.
 
we kiranga kwa nini unamchukia hivyo mungu??
Sometime uwa natengeneza picha labda kuna mapungufu ya kimaumbile mungu alikupatia basi unamchukia kiasi hicho.

kweli wewe ni matumbo,..yaani hii hoja ni full utumbo mkuu.
 
sijakusoma mkuu,izi ni hasira za ile thread nyingine ama??
Nionyeshe utumbo uko wapi??mtu anamchukia Mungu tusimwambie..anahoji utukufu wa Mungu,unafikiri hii inakuja hivihivi bila msukumo flan!!

Vipi wewe unampenda Mungu??
Au na wewe ni mpagani??

Swaggafhijo!!ooo sorry ndagafhijo!!
 
we Kiranga kwa nini unamchukia hivyo Mungu??
Sometime uwa natengeneza picha labda kuna mapungufu ya kimaumbile Mungu alikupatia basi unamchukia kiasi hicho.

Weka vizuri kauli yako.
 
ahahahhaaaaaaaaaa_umenichekesha sana mkuu,..sina hasira zozote mkuu hasa kuhusu kale ka..thread ketu ka kilugha kako poa tu mbona,..

Btw..mwanzo wa maarifa yoyote ni kuhoji mkuu_hivyo sidhani kama kuhoji kwa kiranga kama ni chuki dhidi ya Mungu...mimi sio mpagani...ni mkristo kwa kuzaliwa na wazazi wakristo(si unajua mambo ya mbeya tena_full makanisa)..ila Kiranga have a point kwenye argument zake nyingi..so to speak.

Nb:..wewe sidhani kama unafanya haki kwa kumhukumu Kiranga kuwa anamchukia Mungu(ambaye hata haamini kama yupo)....hebu sisi waamini tujenge hoja za uwepo wa Mungu ili kina Kiranga watuelewe....tusikimbilie hoja dhaifu za kusema eti wanamchukia mungu(God hater)
 
Kiranga anamchukia Mungu hana kingine..unapoamua kuondoa kwa makusudi uwepo wa Mungu ili hali unajua yupo, uko ni kumchukia...yani kisaikolojia ni kwamba kwake uwepo wa Mungu unamsumbua unamgasi na unamnyima uhuru wa kufanya maouvu yake,au kuna kitu ambacho anahisi Mungu kamuonea haswa kwenye maumbile..sasa ili kujipa uhuru bandia wa kufanya maovu yake anajiaminisha Mungu hayupo..au kumkomesha kutokana na mapungufu aliyompa anakomaa kwamba hayupo..kwaio kama Mungu hayupo ata zile sheria zake hazina maana sana kwake..

Sijui umeiona hoja agnostic(wewe sio mkristo)???
 
we Kiranga kwa nini unamchukia hivyo Mungu??
Sometime uwa natengeneza picha labda kuna mapungufu ya kimaumbile Mungu alikupatia basi unamchukia kiasi hicho.

Simchukii mungu, nitamchukiaje mungu wakati siamini kwamba yupo?

Hakuna binadamu asiye na mapungufu ya kimaumbile, even more evidence that a perfect god could hardly exist.
 
na wewe unamchukia Mungu??

mi natamami kujifunza zaidi kuhusu mungu kutoka kwa waaminio na wasioamini bila upendeleo, kwahiyo simchukii ila nahitaji kumfahamu zaidi.
 
Simchukii mungu, nitamchukiaje mungu wakati siamini kwamba yupo?

Hakuna binadamu asiye na mapungufu ya kimaumbile, even more evidence that a perfect god could hardly exist.

unaweza nipa evidence ya kutokuwepo kwa Mungu??
 
Kiranga anamchukia Mungu hana kingine..unapoamua kuondoa kwa makusudi uwepo wa Mungu ili hali unajua yupo, uko ni kumchukia...yani kisaikolojia ni kwamba kwake uwepo wa Mungu unamsumbua unamgasi na unamnyima uhuru wa kufanya maouvu yake,au kuna kitu ambacho anahisi Mungu kamuonea haswa kwenye maumbile..sasa ili kujipa uhuru bandia wa kufanya maovu yake anajiaminisha Mungu hayupo..au kumkomesha kutokana na mapungufu aliyompa anakomaa kwamba hayupo..kwaio kama Mungu hayupo ata zile sheria zake hazina maana sana kwake..

Sijui umeiona hoja agnostic(wewe sio mkristo)???

ahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_matumbo kwa kuhukumu ni kiboko..nimekuambia mimi ni mkristo kama wewe lakini huamini unaniita agnostic...i call you human hater.
 
namchukia shetani ndiyo,na maovu yake yote..

acha uongo utamchukiaje shetani wakati matendo yako yanadhihirisha wazi ni ya kiovu i.e unahukumu kila mtu kitu ambacho maandiko yamekataza..unaita watu agnostic mara god hater.
 
mi natamami kujifunza zaidi kuhusu mungu kutoka kwa waaminio na wasioamini bila upendeleo, kwahiyo simchukii ila nahitaji kumfahamu zaidi.

sawa sawa mkuu
 
Back
Top Bottom