Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Kwa akili yako kisoda Mwanaume hugombana kwa Maneno? Kama wewe ni "ke" uko sawa.
Mwanaume ukishaniambia tusi
Kifuatacho ni kukuvujisha maji ya rangi tu
We ndo dhaifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako kisoda Mwanaume hugombana kwa Maneno? Kama wewe ni "ke" uko sawa.
Mwanaume ukishaniambia tusi
Kifuatacho ni kukuvujisha maji ya rangi tu
HahaWe ndo dhaifu.
hahaha tena humuachii nafasi hata kidogodakika moja tu inatosha!, hapo inabidi niwe naongea kabla yake 🤣
Mi kwanza hua na pigo la kucheka+ kigugumizi naona kabisa 20 sekunde sitamalizaSwali la kizushi: Kwa hiyo english yako unayojivunia unaweza kugombana na mzungu masaa mangapi?
Yaan mfano imetokea mmekwaluza kidogo labda kakuovertake kibabe,kakuchukulia dem wako baa,au labda kakupakazia mbovu kwa bosi wako, demu au mwana.
Sasa yeye ni mzungu na lugha ya english ndo kazalwa nayo...na wewe ndio umejifunzia tu darasani.
Je, unaweza kufokeana/kubishana/kutukana nae kwa dk ngapi?
NB: Raha ya ugomvi/ubishi mmoja aumie kwa maneno yatakayomuuma (yaani aelewe tusi hilo lina maana gani)
Swali la kizushi: Kwa hiyo english yako unayojivunia unaweza kugombana na mzungu masaa mangapi?
Yaan mfano imetokea mmekwaluza kidogo labda kakuovertake kibabe,kakuchukulia dem wako baa,au labda kakupakazia mbovu kwa bosi wako, demu au mwana.
Sasa yeye ni mzungu na lugha ya english ndo kazalwa nayo...na wewe ndio umejifunzia tu darasani.
Je, unaweza kufokeana/kubishana/kutukana nae kwa dk ngapi?
NB: Raha ya ugomvi/ubishi mmoja aumie kwa maneno yatakayomuuma (yaani aelewe tusi hilo lina maana gani)
Lakini nyie wote si old schoolunajifanya unaijua sana jf sio....wote tumeingia mwak mmoja humu afu saiv unajifanya unaleta za akina sadala
nimemsameheLakini nyie wote si old school
hahahaha sipati pichaAkigonga ngeli nagonga kilugaa mbwai mbwai