Swali la Kizushi; WanajamiiForums wa sasa mbona hatuchangii mada fikirishi/Mada ngumu na tu Wepesi Kuchangia Mapenzi, Mipira, Uchawi na ushirikina

the power

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
407
Reaction score
799
Moja kwa moja kwenye mada husika

Mimi nilichogundua hii jamii forums ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikirishi, mada makini zingepata machangio/reactions lukuki na hoja mbadala za kupinga au kusupport hoja. Nakwambia kwenye mada fikirishi zilikua zinatolewa references , analytical comparisons na tafsida na correlation, uhakika zilikua zinatolewa mifano pingamizi au supporting kuhusu hoja zote makini, hoja fikirishi zilizokuwa kwenye motion.

Cha kushangaza, kwa jamii (community) ya jamii forums ya sasa, ukitaka watu wachangie mada yako, toa mada/topics pendwa, toa mada za mapenzi, toa mada za mipira, toa mada laini za CHADEMA au CCM, Toa mada ya machawa, toa mada za Simba na Yanga. Tena ukitaka zaidi toa mada za kuongelea matukio ya juzijuzi kama kifo cha Dida, Diamond kuachana na Zuchu, yaani mada pendwa mada Laini. mada za mitaani , mada za vijiwe vya kahawa. Itabidi uelewe kwamba mada za uchawi, ulozi na mambo ya giza giza kama freemanson, mada za kupididdypiddiana ndizo zitakupa wachangiaji lukuki.

Nakwambia ukitaka chapisho/andiko/mada yako ibaki tupu miezi miwili bila kuchangiwa tafuta mada ya kufikirisha, mada inayohusu siasa za ndani za nchi yetu, maamuzi mabaya na mazito yonayohatarisha hatma ya uchumi na usalama wa nchi yetu. Nakuhakikishia hutapata mchangiaji hata mmoja, na sio kwamba hawasomi, wanasoma na kupita tu.

Mimi nimekwisha kujaribu kutoa mada pendwa zimepata wachangiaji mpaka nikashangaa, lakini nilipotaka kutumia ubongo wangu, elimu yangu, uzoefu wangu nchini na nchi zingine kutoa mada fikirishi. Nakuhakikishia sikupata comment hata moja kusupport au kupinga au kuongezea kwenye hoja. Hapo ndipo nikagundua kuna tatizo kubwa ndani ya wanajamii wa jamii forums yetu ya sasa. Inawezekana mimi ndiye niliyepitwa na wakati.

Nakwambia ukitaka usipate mchangiaji hata mmoja, Nenda mbali kwa kutoa mada fikirishi, mada inayomuhitaji msomaji atumie ubongo kuelewa complex narration yako. Mada inyomtaka msomaji kucorrelate variables na issues mbalimbali na kuzilink together.

Kwa mfano nimesoma mada fikilishi nzuri ya bwana Synthesizer isemayo "Hivi, inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na raisi wao, raisi wa Tanzania, kimsingi, ni raisi wa bara?". Mada hii imehusisha watanzania kutoandaa wosia kama mfano rejea na kutotambua kuna siku Rais aliyetoka bara anaweza kufariki na akachukua nchi makamu wake kutoka visiwani Zanzibar.Hapa nakuhakikishia hupati wachangiaji kamwe. Nimecheki hakupata changi lolote ingawa topic yake ni fikirishi na mifano yake inamake a lot of sense positively and negatively.

Suala la kujiuliza sasa ni je hawa wanajamii forum wa sasa ndio walewale wa zamani? kama ndio wale wale ni shetani gani wa woga amewaingia na kuathili mbongo zao?, je kimeingia kizazi dhaifu chenye critical thinking pungufu au kizazi kilicho na analytical capabilities tofauti. Au kuna onyo magwiji wetu wamepewa au kuchukuliwa na wasiojulikana ili kutisha wachangiaji mahili wengine au watoa mada mahili? Moderators na wanaforum wa Zamani mnaweza kutupatia majibu? WHAT EXACTLY HAPPENED, THE OBSERVED CONTROVERSY CAN NOT HAPPEN BY CHANCE.
 
STRESS WATU WANA STRESS YANI MTU VICOBA, MADENI,MREJESHO VYOTE VIPO KWENYE KICHWA CHA MTU MMOJA AFU UNATAKA ACHANGIE MADA FIKIRISHI YESU KRISTO ANAKUONA MTOA MADA KWANINI HUNA HURUMA

WATU WENYE STRESS HUCHAGUA THREADS ZINAZO WATOA STRESS

(NAISUBIRIA JERUSALEM MPYA YA KRISTO)
 
Jamii forums ya sasa haiwezi kufanana na ya zamani, watu wa wazani wamepungua mno, na wengi wao wanaingia kwa kuchungulia. Hawatumii muda wao mwingi kuwepo hapa.
 
Moja kwa moja kwenye mada husika

Mimi nilichogundua hii jamii forum ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikilishi, mada makini zingepata machangio/reactions lukuki na hoja mbadala za kupinga au kusupport hoja. Nakwambia kwenye mada fikilishi zilikua zinatolewa references , analytical comparisons na tafsida na correlation, uhakika zilikua zinatolewa mifano pingamizi au supporting kuhusu hoja zote makini, hoja fikilishi zilizokuwa kwenye motion.

Cha kushangaza, kwa jamii (community) ya jamii forum ya sasa, ukitaka watu wachangie mada yako, toa mada/topics pendwa, toa mada za mapenzi, toa mada za mipira, toa mada rahini za chadema au CCM, Toa mada ya machawa, toa mada za Simba na Yanga. Tena ukitaka zaidi toa mada za kuongelea matukio ya juzijuzi kama kifo cha Dida, Diamond kuachana na Zuchu, yaani mada pendwa mada rahini. mada za mitaani , mada za vijiwe vya kahawa.Itabidi uelewe kwamba mada za uchawi, ulonzi na mambo ya giza giza kama freemanson, mada za kupididdypiddiana ndizo zitakupa wachangiaji lukuki.

Nakwambia ukitaka chapisho/andiko/mada yako ibaki tupu miezi miwili bila kuchangiwa tafuta mada ya kufikilisha, mada inayohusu siasa za ndani za nchi yetu, maamuzi mabaya na mazito yonayohatarisha hatma ya uchumi na usalama wa nchi yetu. Nakuhakikishia hutapata mchangiaji hata mmoja, na sio kwamba hawasomi, wanasoma na kupita tu.

Mimi nimekwisha kujaribu kutoa mada pendwa zimepata wachangiaji mpaka nikashangaa, lakini nilipotaka kutumia ubongo wangu, elimu yangu, huzoefu wangu nchini na nchi zingine kutoa mada fikilishi . Nakuhakikishia sikupata comment hata moja kusupport au kupinga au kuongezea kwenye hoja.Hapo ndipo nikagundua kuna tatizo kubwa ndani ya wanajamii wa jamii forum yetu ya sasa. Inawezekana mimi ndiye niliyepitwa na wakati.

Nakwambia ukitaka husipate mchangiaji hata mmoja, Nenda mbali kwa kutoa mada fikilishi, mada inayomuhitaji msomaji atumie ubongo kuelewa complex narration yako. Mada inyomtaka msomaji kucorrelate variables na issues mbalimbali na kuzilink together.

Kwa mfano nimesoma mada fikilishi nzuri ya bwana Synthesizer isemayo "Hivi, inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na raisi wao, raisi wa Tanzania, kimsingi, ni raisi wa bara?". Mada hii imehusisha watanzania kutoandaa wosia kama mfano rejea na kutotambua kuna siku rais aliyeotoka bara anaeweza kufariki na akachukua nchi makamu wake kutoka visiwani Zanzibar.Hapa nakuhakikishia hupati wachangiaji kamwe.

Suala la kujiuliza sasa ni je hawa wanajamii forum wa sasa ndio walewale wa zamani? kama ndio wale wale ni shetani gani wa woga amewaingia na kuathili mbongo zao?, je kimeingia kizazi dhaifu chenye critical thinking pungufu au kizazi kilicho na analytical capacbilities tofauti. Au kuna onyo magwiji wetu wamepewa au kuchukuliwa na wasiojulikana ili kutisha wachangiaji mahili wengine au watoa mada mahili? Moderators na wanaforum wa Zamani mnaweza kutupatia majibu? WHAT EXACTLY HAPPEN, THE OBSERVED INCIDENCE CAN NOT HAPPEN BY CHANCE.
Nchi ikiwa ipo mikononi mwa viongozi wasio na mvuto ndiyo utokea hali hiyo ...siyo serikalini siyo upinzani kote ni upuuzi tu
 
Kwani mada kwenye maeneo pendwa kama mapenzi hakuna zinazofikirisha? Au wewe tafsiri yako ya kufikirisha ni ipi?
 
Huenda ni kwa vile hata uwe serious vipi mambo Bado yako vile vile. Yaani Hovyo hovyo, vululu vululu...
 
Kwa mfano nimesoma mada fikilishi nzuri ya bwana Synthesizer isemayo "Hivi, inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na raisi wao, raisi wa Tanzania, kimsingi, ni raisi wa bara?". Mada hii imehusisha watanzania kutoandaa wosia kama mfano rejea na kutotambua kuna siku rais aliyetoka bara anaweza kufariki na akachukua nchi makamu wake kutoka visiwani Zanzibar.Hapa nakuhakikishia hupati wachangiaji kamwe. Nimecheki hakupata changi lolote ingawa topic yake ni fikilishi na mifano yake inamake a lot of sense positively and negatively.

Suala la kujiuliza sasa ni je hawa wanajamii forum wa sasa ndio walewale wa zamani? kama ndio wale wale ni shetani gani wa woga amewaingia na kuathili mbongo zao?, je kimeingia kizazi dhaifu chenye critical thinking pungufu au kizazi kilicho na analytical capabilities tofauti. Au kuna onyo magwiji wetu wamepewa au kuchukuliwa na wasiojulikana ili kutisha wachangiaji mahili wengine au watoa mada mahili? Moderators na wanaforum wa Zamani mnaweza kutupatia majibu? WHAT EXACTLY HAPPENED, THE OBSERVED CONTROVERSY CAN NOT HAPPEN BY CHANCE.
HAYO NI MATOKEO YA TAIFA KUONGOZWA NA MJALAANA ALIYE LAANIKA
 
Usalama umekua mdogo. Max akibanwa kidogo anatoa data akikaza sana yeye mwenyewe anafinywa.

Hatuko salama... usishangae hata hii comment ikafutwa au nikala ban
 
STRESS WATU WANA STRESS YANI MTU VICOBA, MADENI,MREJESHO VYOTE VIPO KWENYE KICHWA CHA MTU MMOJA AFU UNATAKA ACHANGIE MADA FIKIRISHI YESU KRISTO ANAKUONA MTOA MADA KWANINI HUNA HURUMA

WATU WENYE STRESS HUCHAGUA THREADS ZINAZO WATOA STRESS

(NAISUBIRIA JERUSALEM MPYA YA KRISTO)
Kwa kweli jibu lako linamake a lot of sense; Ni kweli mtu mwenye stress hana muda wa kufikilia mabo makubwa, mabo ya kujenga, mabo ya manufaa ya kesho. Yeye anafikilia afanye nini sasa aondokane na stress, kama ni chakula basi apate chakula, kama ni kusoma asome kitu kitakachompa faraja na kuondoa stress. Hii sababu inamake sense . Nimeikubali
 
Huenda ni kwa vile hata uwe serious vipi mambo Bado yako vile vile. Yaani Hovyo hovyo, vululu vululu...
Na hii pia sababu ina-make sense. Kama mambo ni yale yale hata baada ya watu kutoa mirejesho na testimonial nzuri , inafika mahali wanapita tu kama hawaoni kitu........
 
Usalama umekua mdogo. Max akibanwa kidogo anatoa data akikaza sana yeye mwenyewe anafinywa.

Hatuko salama... usishangae hata hii comment ikafutwa au nikala ban
Kwa hapa napo nimeandika mwishoni, inawezekana watu wamebonyezwa " Bwana ehh, mkono mrefu umeeza kuingia hata ndani ya jamii forum yetu, kuwa makini. Ni muhimu na macritical thinkers waliobakia wataalifiwe hata kwa DM ili wae makini mwenzetu" Response imepokelewa tunategemea jibu (reassurance) toka kwa wahusika.
 
Kwani mada kwenye maeneo pendwa kama mapenzi hakuna zinazofikirisha? Au wewe tafsiri yako ya kufikirisha ni ipi?
Ahhh.. yes zinafikilisha lakini sio mada ngumu. Nimesema zinazofikilisha na ngumu.......uko sahihi lakini nimependa contrast urgument yako....umetisha
 
Nchi ikiwa ipo mikononi mwa biongozi wasio na mvuto ndiyo utokea hali hiyo ...siyo serikalini siyo upinzani kote ni upuuzi tu
Eh.... kumbe eh....watu wamekata tamaa kwa hiyo kulia,kushoto utoporo tu hakuna tumaini
 
Back
Top Bottom