MWONA MBALI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 460
- 611
TULINDE HESHIMA ZETU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pascal wewe ni zao la nchi kuwa na utawala wenye watu wa hovyo km wa ccm.Otherwise ,sijui ni kukosa maadili au ni ujinga au ni combination ya vyote. UMEANDIAK UJINGA UKIAMINI UAFANYA IBADA NZURI KABISA. NAOMBA UNIJIBU HILI. UNAAMINI VIPI KUWA KUNYAMAZA KIMYA NDIO KUNA MASLAHI MAKUBWA KWA TAIFA KULIKO KUSEMA KWELI?Km huna hicho kipimo, naomba uache kuchafua hali ya hewa kwa njaa zao zisizoisha.Miaka nenda rudi hujikomboi na kuwa na faida kwa taifa.Sasa umefanya njaa ni ajira ya kudumnu.Wanabodi.
Huu ni uzi kuhusu Swali la Morality: Jee ni Lazima Kuusema Kila Ukweli Unaousikia?. Kwenye Medani za Siasa, Kabla ya Kuusema Ukweli Tunausikia, Jee Tutangulize Mbele Maslahi ya Taifa Kwa Kuupima Kwanza, Ukweli Huo Una Matokeo Gani, au Ukisikia Lolote, Lisema Tuu kwa Sababu ni la Ukweli?.
Jee Ili Kupata Manufaa ya Kisiasa, Jee ni Lazima Wanasiasa Wetu, Tupoliticise Kila Kitu?.
Declaration of interest.
Mimi Paskali ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, na kanuni kuu ya mwana habari, (carninal rule ni " tell the truth, no matter what!", hivyo mimi mtu mkweli daima, na ni muumini wa ile ahadi ya mwana TANU " Nitasema kweli daima, fina kwangu mwiko", ila katika kuusema ukweli au kuandika ukweli, pia ninatanguliza maslahi ya taifa kwa kujiuliza jee ukweli huu ukisemwa, utajenga, au utabomoa?.
Ukiona japo ni ukweli lakini utabomoa, then ukweli huo, siusemi, kama ukweli niliousema kwenye bandiko hili
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe ...
Hii Kamata Kamata ya Kila Waompinga Magufuli, Ni Magufuli Anawatuma au Wanajipendekeza Tuu?.
My honest opinion, ingawa ni kweli rais Magufuli apendi critics, mimi nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu toka kwenye kinywa chake na sio kwa kuhadithiwa kuwa anapenda challenge, ila hizo challenge ziwe ni ukosoaji wa kweli wenye nia njema, hivyo naamini hizi kamata kamata zinazoendelea ma kuwakamata karibu kila wanasiasa wanaompinga rais Magufuli, siamini kama ni Magufuli anawatuma!, naamini hivyo ni kazi ya polisi ambao wana jikomba komba tuu ili kuonekana wanafanya kazi.
Kwenye siasa za multipasim duniani kote, kazi ya the opposition ni kuopose kila kitu kinachofanywa na chama tawala hata kiwe ni kitu kizuri namna gani!, that is their right, kupinga, ndio maana wanaitwa wapinzani. Na serikali zote zinazoheshimu demokrasia ya kweli, lazima zikubali kupingwa.
Nimeishi kidogo UK na US, na Uswiss. Uingereza pale Times Squire katibu kila ni maandamano. US ulle mtaa jirani na Capitol Hill kuna uwanja unakuwa huru kupinga chochote, Uswiss uwanja huru wa kupinga, ni pale uwanja wa wazi nje ya ukumbi wa Bunge, the The Bundes House. Hivyo sioni mantiki ya sababu zozote wanaompinga rais kubughudhiwa!, this is not demokracy, Tanzania sio nchi ya kidikiteta!.
Wito kwa IGP, Kamanda Sirro, controll vijana wako watekeleze majukumu yao kwa sheria taratibu na kanuni na sio kwa kutaka kujipendekeza au kujikomba komba!.
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako ...
Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti ...
Jee Wapinzani Kazi yao ni Kupinga Tuu Kila Kitu au Kukosoa Tuu Hakuna Kupongeza Hata kwa Mazuri?.
Japo kazi ya upinzani ni kupinga na kukosoa, lakini tunapokuja kwenye issues muhimu kwa maslahi ya taifa, maslahi yataifa ndio yanatangulizwa mbele, sisi sote kama Watanzania, we stand as one, tunakuwa watu wamoja, hakuna tena siasa za vyama, wala siasa za watu, tunaitanguliza mbele Tanzania, kila kitu kinafuatia baadae.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A ...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...Kuzuia Mchanga wa Dhahabu, Magufuli Anastahili Pongezi. Tusiishie ...
Kwenye Haki za Wanyonge, Magufuli ni Kama Khalifa Mkuu Harun El ...
Conclusion
Namalizia kwa haya maswali ya msingi, japo kuhusu ni hoja za morality kusema kweli daima, lakini Jee ni Lazima Kuusema Kila Ukweli Unaousikia?. Kwenye Medani za Siasa, Kabla ya Kuusema Ukweli Tunausikia, Jee Tutangulize Mbele Maslahi ya Taifa Kwa Kuupima Kwanza, Ukweli Huo Una Matokeo Gani, au Ukisikia Lolote, Lisema Tuu kwa Sababu ni la Ukweli?. Jee Ili Kupata Manufaa ya Kisiasa, Jee ni Lazima Wanasiasa Wetu, Tupoliticise Kila Kitu?.Sio lazima kusema kila unachosikia hata kama ni ni kweli!.
Wasalaam.
Paskali
Rejea.
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or ...
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public ...
Je, wajua amri za Rais sio final and conclusive?. Zinaweza kupigwa ...
Tusimlaumu Rais Magufuli Kwa Kila Kosa, Rais Yeye Hana Kosa Bali ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Rais Kusitisha Uzazi wa Mpango Kwa"Fyatueni Watoto wa Kutosha",Ni ...
Kitendo cha kuita nchi majirani zako kuwa ni "vinchi" ni uungwana ...
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa ...
Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais ...
Hoja ya Udikiteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi ...
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio ...
Sababu gani zinahalalisha kutolipa deni?Si kila deni ni la kulipwa! Inategemea unamlipa nani na kwa sababu gani?
Taifa litaokolewa kwa kusema ukweli tunapata hasara kwa kuficha ukweli.sio kila ukweli unausema aisee utakuja angamiza Taifa
Wanabodi.

Ukiusema ukweli chumbani unahatarisha maisha yako atakuondoa ili siku moja siri yake isije ikavuja.Nyakati fulani tuwe wa kweli, si kila ukweli ni lazima usemwe upenuni, tatizo linakuja pale ukweli unaposemwa chumbani na msema kweli, bado mtu anayeambiwa kweli hasikii wala kubadilika. Matokeo yake ni ukweli huo au siri hizo kutoka nje. Hasa hasa kama ukweli huo au siri hizo au jambo hilo linaumiza wengine ambao hawakustahili huku likiwaacha wengine wakifaidi kwa majivuno na tambo kubwa kana kwamba ni malaika, kumbe sivyo. Sasa wewe ambae ulipoambiwa ukweli mlipokuwa wawili au chumbani tena sio mara moja au mbili na ukagoma kuupokea, unatarajia mwonyaji au msema ukweli afanye nini zaidi ya kupiga panda hadharani labda utashtuka akifanya hivyo. Na kweli wabishi wengi jambo likitoka nje utawaona reactions zao tu .........! Hawajikiti kwenye kujibu hoja bali hu-deal na mtoa hoja!
Pascal Mayalla lazima tena ni lazima nasema ni lazima saana TAIFA LIWE NA MASLAHI KWANGU.Wanabodi.
Huu ni uzi kuhusu Swali la Morality: Jee ni Lazima Kuusema Kila Ukweli Unaousikia?. Kwenye Medani za Siasa, Kabla ya Kuusema Ukweli Tunausikia, Jee Tutangulize Mbele Maslahi ya Taifa Kwa Kuupima Kwanza, Ukweli Huo Una Matokeo Gani, au Ukisikia Lolote, Lisema Tuu kwa Sababu ni la Ukweli?.
Jee Ili Kupata Manufaa ya Kisiasa, Jee ni Lazima Wanasiasa Wetu, Tupoliticise Kila Kitu?.
Declaration of interest.
Mimi Paskali ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, na kanuni kuu ya mwana habari, (carninal rule ni " tell the truth, no matter what!", hivyo mimi mtu mkweli daima, na ni muumini wa ile ahadi ya mwana TANU " Nitasema kweli daima, fina kwangu mwiko", ila katika kuusema ukweli au kuandika ukweli, pia ninatanguliza maslahi ya taifa kwa kujiuliza jee ukweli huu ukisemwa, utajenga, au utabomoa?.
Ukiona japo ni ukweli lakini utabomoa, then ukweli huo, siusemi, kama ukweli niliousema kwenye bandiko hili
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe ...
Hii Kamata Kamata ya Kila Waompinga Magufuli, Ni Magufuli Anawatuma au Wanajipendekeza Tuu?.
My honest opinion, ingawa ni kweli rais Magufuli apendi critics, mimi nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu toka kwenye kinywa chake na sio kwa kuhadithiwa kuwa anapenda challenge, ila hizo challenge ziwe ni ukosoaji wa kweli wenye nia njema, hivyo naamini hizi kamata kamata zinazoendelea ma kuwakamata karibu kila wanasiasa wanaompinga rais Magufuli, siamini kama ni Magufuli anawatuma!, naamini hivyo ni kazi ya polisi ambao wana jikomba komba tuu ili kuonekana wanafanya kazi.
Kwenye siasa za multipasim duniani kote, kazi ya the opposition ni kuopose kila kitu kinachofanywa na chama tawala hata kiwe ni kitu kizuri namna gani!, that is their right, kupinga, ndio maana wanaitwa wapinzani. Na serikali zote zinazoheshimu demokrasia ya kweli, lazima zikubali kupingwa.
Nimeishi kidogo UK na US, na Uswiss. Uingereza pale Times Squire katibu kila ni maandamano. US ulle mtaa jirani na Capitol Hill kuna uwanja unakuwa huru kupinga chochote, Uswiss uwanja huru wa kupinga, ni pale uwanja wa wazi nje ya ukumbi wa Bunge, the The Bundes House. Hivyo sioni mantiki ya sababu zozote wanaompinga rais kubughudhiwa!, this is not demokracy, Tanzania sio nchi ya kidikiteta!.
Wito kwa IGP, Kamanda Sirro, controll vijana wako watekeleze majukumu yao kwa sheria taratibu na kanuni na sio kwa kutaka kujipendekeza au kujikomba komba!.
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako ...
Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti ...
Jee Wapinzani Kazi yao ni Kupinga Tuu Kila Kitu au Kukosoa Tuu Hakuna Kupongeza Hata kwa Mazuri?.
Japo kazi ya upinzani ni kupinga na kukosoa, lakini tunapokuja kwenye issues muhimu kwa maslahi ya taifa, maslahi yataifa ndio yanatangulizwa mbele, sisi sote kama Watanzania, we stand as one, tunakuwa watu wamoja, hakuna tena siasa za vyama, wala siasa za watu, tunaitanguliza mbele Tanzania, kila kitu kinafuatia baadae.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A ...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...Kuzuia Mchanga wa Dhahabu, Magufuli Anastahili Pongezi. Tusiishie ...
Kwenye Haki za Wanyonge, Magufuli ni Kama Khalifa Mkuu Harun El ...
Conclusion
Namalizia kwa haya maswali ya msingi, japo kuhusu ni hoja za morality kusema kweli daima, lakini Jee ni Lazima Kuusema Kila Ukweli Unaousikia?. Kwenye Medani za Siasa, Kabla ya Kuusema Ukweli Tunausikia, Jee Tutangulize Mbele Maslahi ya Taifa Kwa Kuupima Kwanza, Ukweli Huo Una Matokeo Gani, au Ukisikia Lolote, Lisema Tuu kwa Sababu ni la Ukweli?. Jee Ili Kupata Manufaa ya Kisiasa, Jee ni Lazima Wanasiasa Wetu, Tupoliticise Kila Kitu?.Sio lazima kusema kila unachosikia hata kama ni ni kweli!.
Wasalaam.
Paskali
Rejea.
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or ...
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public ...
Je, wajua amri za Rais sio final and conclusive?. Zinaweza kupigwa ...
Tusimlaumu Rais Magufuli Kwa Kila Kosa, Rais Yeye Hana Kosa Bali ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...
Rais Kusitisha Uzazi wa Mpango Kwa"Fyatueni Watoto wa Kutosha",Ni ...
Kitendo cha kuita nchi majirani zako kuwa ni "vinchi" ni uungwana ...
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa ...
Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais ...
Hoja ya Udikiteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi ...
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio ...
Wanabodi.
Huu ni uzi kuhusu Swali la Morality: Jee ni Lazima Kuusema Kila Ukweli Unaousikia?. Kwenye Medani za Siasa, Kabla ya Kuusema Ukweli Tunausikia, Jee Tutangulize Mbele Maslahi ya Taifa Kwa Kuupima Kwanza, Ukweli Huo Una Matokeo Gani, au Ukisikia Lolote, Lisema Tuu kwa Sababu ni la Ukweli?.
Hii Kamata Kamata ya Kila Waompinga Magufuli, Ni Magufuli Anawatuma au Wanajipendekeza Tuu?.
My honest opinion, ingawa ni kweli rais Magufuli apendi critics, mimi nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu toka kwenye kinywa chake na sio kwa kuhadithiwa kuwa anapenda challenge, ila hizo challenge ziwe ni ukosoaji wa kweli wenye nia njema, hivyo naamini hizi kamata kamata zinazoendelea ma kuwakamata karibu kila wanasiasa wanaompinga rais Magufuli, siamini kama ni Magufuli anawatuma!, naamini hivyo ni kazi ya polisi ambao wana jikomba komba tuu ili kuonekana wanafanya kazi.
Kwenye siasa za multipasim duniani kote, kazi ya the opposition ni kuopose kila kitu kinachofanywa na chama tawala hata kiwe ni kitu kizuri namna gani!, that is their right, kupinga, ndio maana wanaitwa wapinzani. Na serikali zote zinazoheshimu demokrasia ya kweli, lazima zikubali kupingwa.
Nimeishi kidogo UK na US, na Uswiss. Uingereza pale Times Squire katibu kila ni maandamano. US ulle mtaa jirani na Capitol Hill kuna uwanja unakuwa huru kupinga chochote, Uswiss uwanja huru wa kupinga, ni pale uwanja wa wazi nje ya ukumbi wa Bunge, the The Bundes House. Hivyo sioni mantiki ya sababu zozote wanaompinga rais kubughudhiwa!, this is not demokracy, Tanzania sio nchi ya kidikiteta!.
Wito kwa IGP, Kamanda Sirro, controll vijana wako watekeleze majukumu yao kwa sheria taratibu na kanuni na sio kwa kutaka kujipendekeza au kujikomba komba!.
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako ...
Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti ...
Jee Wapinzani Kazi yao ni Kupinga Tuu Kila Kitu au Kukosoa Tuu Hakuna Kupongeza Hata kwa Mazuri?.
Japo kazi ya upinzani ni kupinga na kukosoa, lakini tunapokuja kwenye issues muhimu kwa maslahi ya taifa, maslahi yataifa ndio yanatangulizwa mbele, sisi sote kama Watanzania, we stand as one, tunakuwa watu wamoja, hakuna tena siasa za vyama, wala siasa za watu, tunaitanguliza mbele Tanzania, kila kitu kinafuatia baadae.
Conclusion
Namalizia kwa haya maswali ya msingi, japo kuhusu ni hoja za morality kusema kweli daima, lakini Jee ni Lazima Kuusema Kila Ukweli Unaousikia?. Kwenye Medani za Siasa, Kabla ya Kuusema Ukweli Tunausikia, Jee Tutangulize Mbele Maslahi ya Taifa Kwa Kuupima Kwanza, Ukweli Huo Una Matokeo Gani, au Ukisikia Lolote, Lisema Tuu kwa Sababu ni la Ukweli?. Jee Ili Kupata Manufaa ya Kisiasa, Jee ni Lazima Wanasiasa Wetu, Tupoliticise Kila Kitu?.Sio lazima kusema kila unachosikia hata kama ni ni kweli!.
Wasalaam.
Paskali
Mayalla nisamee nikuite MWONGO, NA MNAFIKI. Unafundisha watu kusema uongo, huna aibu,. Tena unajiita mwanasheria, shyster lawyer! umekosa aibu kabisa.Naomba tena naomba sana paschal mayalla asifundishe watanzania kuwa wadanganyifu
sioni sababu kwanini paschal mayala anataka watanzania wawe waongo eti kwa sababu ya maslahi ya taifa, hapohapo anamlaani tundu lisu kwakufichua usiri uliopo baina ya serikali na deni hilo,hapa paschal anasahau kuwa tundu lisu ni raia halali wa tanzania na anahaki ya kueleza hisia zake hata kama hakitaifurahisha serikali iliyopo madarakani
Paschal mayala unaposema watu wawe waongo sababu ya kuficha maslahi ya serikali je unajaribu kuifumbua nini jamii?ina maana kila kitu kinachofanywa na serikali ni uongo
paschal nitaomba uniambie uchumi wa nchi gani unaondeshwa kwa kuwataka raia wake wawe waongo.
paschal umeprove failure kwelikweli, inamaana viongozi wafanye uovu huko ughaibuni na wenye nchi wakae kimya?
anadhalilisha mno tasnia yake kwa maslahi ya tumbo lakeMayalla nisamee nikuite MWONGO, NA MNAFIKI. Unafundisha watu kusema uongo, huna aibu,. Tena unajiita mwanasheria, shyster lawyer! umekosa aibu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kaka Paskali umechenganya mambo mengi mno, kiasi kwamba majibu ya maswali yako yamo humo humo kwenye maswali yako!
Kwa ku-summarize labda niiweke hoja yangu hivi; UKWELI kwanza, siasa na mengineyo baadaye.
Kanuni ya kupanda na kuvuna inahusika hapa.....yaani kama tutajenga mfumo, utamaduni, sheria, uzalendo au kanuni yoyote ile kwa uongo (au hila) basi tutavuna uongo na upuuzi tu na sio maendeleo wala haki wala ustawi wala kitu chema mbeleni.
Kwa hiyo Ukweli hauna mpinzani wala mfanani. Hujiulizi kwa nini hata mtu anaweza kuwa na wazo la ajabu kama hilo swali lako? How can you compromise with Truth (hence facts and realities) then out of whims and wishful hopes for something good/positive in the end?
Halafu tena, je! ni kwanini hasa tunajaribu kuvitenga vitu hivyo? Kwa nini tusijiweke high moral-standards kuwa lazima tuwe wakweli, wawajibikaji na wazalendo (in one package) kwa sababu ndio ninavyojua ilivyo kwa walioendelea. Lakini hapa Tanzania tunataka ku define our own (sic) patriotism "version", alas!
Kama kungekuwa na uwajibikaji wa kawaida au wa kisiasa wala Lissu asingepata fursa aliyoitumia kwa sababu Serikali aidha ingekwisha maliza matatizo yale au ingekuwa imeto taarifa na muongozo zamani sana kabla ya Lissu.