Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele ‘Maslahi ya Taifa’?


Paskali nadhani unaweza kuomba kumfanyia Baba mwenye nyumba inteview ya nguvu (Honest one) najua inatafanyiwa editing lakini itakuwa na impact kubwa.
 
Mkuu Ngwasa, kwanza nisome hapa taratibu, sio lazima kuusema kila ukweli unaousikia.

Hata wachawi, wakikugundua umewabaini, watakumaliza, hivyo hata kama dalili zote zinaonyesha aliyemshambulia Lissu ni nani, lakini kama huna any solid evidence kudhibitisha ni fulani, don't point fingers, maana ukirejea ukaulizwa uthibitishe kauli zako usije kulia kuwa unaonewa. Wenzetu wazungu wametuzidi ustaarabu, wanashauri
Better be sure than sorry.
P
 
Nimesikiliza mahojiano ya Tundu Lissu kwenye kipindi cha Hard Talk cha BBC, kuna mambo ameyasema mule hakupaswa kuyasema, hivyo hili bandiko bado linamsadifu Mhe. Tundu Lissu, sio lazima kuusema kila ukweli unaousikia au unaoudhania.
P
 
Nimesikiliza mahojiano ya Tundu Lissu kwenye kipindi cha Hard Talk cha BBC, kuna mambo ameyasema mule hakupaswa kuyasema, hivyo hili bandiko bado linamsadifu Mhe. Tundu Lissu, sio lazima kuusema kila ukweli unaousikia au unaoudhania.
P
Ndio maana muuliza maswali alimuuliza zaidi ya Mara nne Kama Ana ushahidi was anayoyasema.Lissu hakuna sehemu ambayo alijibu kuwa Ana ushahidi,zaidi ya kusema amewahi kusema huko nyuma.
 
Actually ukweli unauma sana hasa unapogusa kunako. Jiwe ndomana anaupinga japo anajifanya kuungana nao

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Kumbe ukikasirika, huwa unawatukana watu wapumbavu!, hata waliokuzidi umri...?.
Inawezekana ni kweli ni wapumbavu na unawaambiaga ukweli kuwa ni wapumbavu, ila ukweli mwingine sio lazima usemwe hadi sasa kila mtu anajua kuwa kumbe fulani na fulani ni wapumbavu?.

Wito kwa viongozi wetu, sio lazima tuuseme kila ukweli tunao usikia, ukweli mwingine, we let it go.
P.
 
Dah hata mimi sikupenda Dah
 
Hivi huwa huyu kaka yako ana ona ni fahari kufanya unyanyasaji wa aina hiyo?
Au ndio asili ya kabila lake?
 


Labda tukiwa specific itasaidia mambo gani tukisema uongo yatasadia nchi?
 
Huyu mzee yupo kweli?
Yes yupo, vipi ulitaka awe Nairobi au India?. PM kaeleza Mzee yuko fit na bukheri wa afya, yuko Ikulu yetu na akiendelea kuchapa kazi zake kama kawaida
P
 
Yes yupo, vipi ulitaka awe Nairobi au India?. PM kaeleza Mzee yuko fit na bukheri wa afya, yuko Ikulu yetu na akiendelea kuchapa kazi zake kama kawaida
P

P, hapa ndio umeangusha mada yako ya mwanzo. Kama unadhani kuwa walio na ruhusa au uhalali wa kusema chochote kuhusu afya ya mgonjwa, unaweza kuthibitisha kuwa PM alipata ruhusa hiyo na tukijua sio mwana familia? Nini kinakuambia kuwa PM hawezi kusema uongo?? Mamlaka yake??

Formula ya ukweli ni moja tu - haihitaji uongo kuitetea kweli. Kama kweli ni kuwa mgonjwa ana hiari yake - sema “atajibu mgonjwa”. Kama habari hii ni restricted, haiwezi kuwa sawa ikawa unrestricted kwa sababu kuna nia njema!!

Katika yote uliyosema, si yote yana ukweli. Ukweli una tabia ya kujitenga. Ukweli upo lakini huenda sio huu tunaousikia au unaodaiwa ni ukweli. Ukweli haumilikiwi - hujimiliki kwa sababu husimama peke yake na hauhitaji utetezi wa kimaadili wala kisheria.
 
Huyu mzee yupo kweli?
Yes yupo, vipi ulitaka awe Nairobi au India?. PM kaeleza Mzee yuko fit na bukheri wa afya, yuko Ikulu yetu na akiendelea kuchapa kazi zake kama kawaida
P
Mkuu NewOrder , first thing first, tusiendelee kuzungumzia uvumi na uzushi, kama hakuna taarifa yoyote rasmi ya mgonjwa, na taarifa rasmi ni mtu yuko fit anapiga kazi, tuzungumzie taarifa rasmi tuu, tuachane na uvumi na uzushi.
P
 


Tatizo la muongo hauna kipimo. Ni kama mlevi huwezi kupima kama unavyosema. Ukweli kwa upande mwingine hauhitaji kipimo chochote. Vilevile watu kuongea bila uhakika wa habari kunaonyesha kuwa watu wanataka kujua.
 
Paschal rudia tena na leo majibu yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…