Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Wewe hauwezi kufahamuHakuna shahidi aliyeongea mambo ya msingi
Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...Ni wazi kesi ilikwisha amuliwa, lakini pia wananchi tunapata funzo kuhusu elimu na uwezo wa walio kwenye madaraka...
Kwa sababu Upinzani hautakiwi Nchi hii Watawala wanatafuta kila Njia ya kuufuta ikiwa ni pamoja na Kuwabambikizia KesiHuwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Watu wanaangalia msingi wa kesi. Kwani ni kuongozi gani wa upinzani aliwahi kushundwa?Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Kama ulivo wew ni mshabiki wa jamhuri pia nao wana haki kushabikia kunakowapendezaHapo vip!!
Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi...
Na mfano wao wa ujinga ni km wew tajirHuwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Kuulizwa vile ni kutaka kumchallenge Shahidi na kuonesha kuwa ushahidi wake ni wa uongo, hajafanya uchunguzi na report hakuandaa yeye, maana huwezi shindwa kujua kitu ambacho umekiandaa mwenyewe.Tatizo neno"terrorism" ila tatizo ni mtu kuandika lugha asoijua. Hoja hapa ilikuwa ni kutanabahisha watu kuandika lugha wanayoifahamu; au mimi ndo sikufahamu.
Mungu ndiye anajua ukweli wote, lakini hii kesi ni ya kubuni. Aliyeengua wagombea wooote wa upinzani bila woga hawezi kushindwa kubuni kesi kama hii.Hapo vip!!
Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi...
Uwepo wa nyuzi kama hizi ndipo ambao inaonyesha kuna haja ya kuongeza kitufe cha "dislike" [emoji107] kifanye kazi sambamba na kile cha "like" [emoji106] ili kutendea haki mleta mada.Hapo vip!!
Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wa
Wana makosa yao but mostly ni the way serikali inabeba hizi kesi. Wako so aggressive, wako tayari kutunga au ku plant mashahid wa uwongo ili kesi iende upande wao.Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Shahidi kilaza ,Hapo vip!!
Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi...