Swali la tafsiri ya terrorism linasaidia nini kesi dhidi ya Mbowe?

Swali la tafsiri ya terrorism linasaidia nini kesi dhidi ya Mbowe?

Hapo vip!!

Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.

Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.

Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Naamini wanajua wanachofanya, maana ni taalamu yao
 
Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
CCM ni waovu zaidi kuliko wapinzani. Huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom