Swali la tafsiri ya terrorism linasaidia nini kesi dhidi ya Mbowe?

Uwepo wa nyuzi kama hizi ndipo ambao inaonyesha kuna haja ya kuongeza kitufe cha "dislike" [emoji107] kifanye kazi sambamba na kile cha "like" [emoji106] ili kutendea haki mleta mada.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Hoja yako ni ya msingi sana. Waweke na hicho cha "dislike" maana watu kama huyu Tajiri Tanzanite na thread kama hii ni kugonga dislike tu.
 
Kuulizwa vile ni kutaka kumchallenge Shahidi na kuonesha kuwa ushahidi wake ni wa uongo, hajafanya uchunguzi na report hakuandaa yeye, maana huwezi shindwa kujua kitu ambacho umekiandaa mwenyewe.

Sio tu kumchallenge, kwenye ripoti anayodai kaandika yeye imeandikwa 'Consiparancy' to commit 'Terrolist'…. wakili msomi alihitaji kujiridhisha na utimamu wa shahidi.

IMG_3532.jpg
 
Linasaidia kuonyesha kuw shahidi hayo anayosema anayajua vizuri au amepikwa , hiyo ndio nafas pia ya msing ktk kesi.
 
Hapo vip!!

Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.

Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.

Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Tuombe mungu. Hakujua atendalo
 
Hilo neno lipo kwenye ripoti anayodai kuwa aliandika yeye. Wakili Kamuuliza kama anajua maana ya terrorist na terrorism ili kulinganisha kama kweli aliandika yeye,kilichofuata ni kicheko mahakamani
Hayo maneno yote mawili hawezi kuharibu uhalisia wa Forensic Report iliyotolewa. Report inahusu uchunguzi wa silaha yeye anauliza maana ya Terrorist na Terrorism. Ningekuwa mimi ningemuuliza maswali yanayohusiana na silaha zaidi ili kumpre-empt utaalamu wake wa silaha. Lakini wakili wa utetezi unamuuliza definition ya terrorist na terrorism ambayo haina impact kwenye utaalamu wake lakini angemuuliza maswali yanayohusiana na silaha na akashindwa kujibu then utalaamu wake ungekuwa questionable.
 
Hapo vip!!

Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.

Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.

Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Hatuangalii mawazo yako binafsi tunaangalia mawazo ya kitaaluma we boya!
Kesi muhimu unawasilisha ripoti ya kijinga "to commit terrolist" maana yake nini?
Hujawahi fika mahakamani punguza ujuaji
 
Sasa wewe hapo unajiona una akili sana au? Just a typing error inakufanya ufikirie kinyumbu hivyo?
 
Kisheria ina maana kubwa sana. Ni kesi nyeti hivyo inahitaji uchunguzi makini toka kwa watu makini. Neno moja linaweza umiza mtu au kuleta maana tofauti ktk report. Hivyo wakili anajaribu kuonyesha mapungufu ya ripoti na muhusika pia ili kuipunguzia credibility ya report husika .
 
Kuulizwa vile ni kutaka kumchallenge Shahidi na kuonesha kuwa ushahidi wake ni wa uongo, hajafanya uchunguzi na report hakuandaa yeye, maana huwezi shindwa kujua kitu ambacho umekiandaa mwenyewe.
Sahihi sana
 
Hapo vip!!

Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.

Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.

Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Wabongo ni magwiji yaani mabingwa hasa kwenye ushabiki.

Ila kwenye vitendo ni SIFURI.

Ukiandamana utajikuta mwenyewe
 
Umuhimu upo hasa ukizingatia kesi yenyewe ni ya Terrorism, Sasa kama mtu anaefanya uchunguzi kwenye kesi ya ugaidi haelewi hata hiyo maana yake si ni upuuzi tu
 
Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Serikali haiaminiki kwa wananchi
 
Kisheria ina maana kubwa sana. Ni kesi nyeti hivyo inahitaji uchunguzi makini toka kwa watu makini. Neno moja linaweza umiza mtu au kuleta maana tofauti ktk report. Hivyo wakili anajaribu kuonyesha mapungufu ya ripoti na muhusika pia ili kuipunguzia credibility ya report husika .
[emoji106]
 
Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Tanzania na Africa kwa ujumla upinzani unapigwa vita sana. Mara nyingi wanaonewa kwa kubambikiwa kesi ili tu wasikosoe serikali. Watawala wa Africa wanatumia nguvu kubwa mno kuulinda utawala waoa. Hivyo atatumia kila njia kumkandamiza mpinzani. Hii inaonesha wazi pia huyu jamaa anaonewa. Hasa alipogusia swala la katiba mpya.
 
Pale shahdi alikuwa anaongelea kuhusiana na taaluma yake, sasa kama taaluma yako huijui vipi unaweza kumchunga mtu, hebu chukuliwa mfano wewe ni dereva wa basi la abiria lakini haujui kuitofauti katika ya tairi la gari na la treakta, unadhani hao abiria wako utawafikisha salama wanakoenda ?
 
Back
Top Bottom