Hiyo ni kweli tupu. Hata Mzee Ali Hassan Mwinyi Rais mstaafu alikiri mwenyewe kuwa vyama vya upinzani viliwekewa mizengwe na CCM tangu wakati wa uwanzisjwaji wa vyama vingi nchini. Hivyo kila awamu inakuja na mizengwe yake.Kwa sababu Upinzani hautakiwi Nchi hii Watawala wanatafuta kila Njia ya kuufuta ikiwa ni pamoja na Kuwabambikizia Kesi
Mfano Kesi ya Mdude ile ya Mbeya n.k
Hapo vip!!
Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.
Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.
Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.
Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Shida ni fisi kumshitaki swala kwa fisi mwenzie. Kuna kila viashiria vya wazi kuwa Chadema hakitakiwi nchini. Risasi kwa akina lissu na kupotea kwa wanachama wao ni mwendelezo TU wa hili. Kuna mtu alitaka kuufuta upinzani nchini kabla ya 2020.Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Ni swa, swali linapima ufahamu mdogo tu. Inaonyesha uelewa wa shahidi ni mdogo ilhali wajibu ni mkubwa. Hii ina madhara kwa wengine.Hapo vip!!
Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.
Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.
Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.
Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
hii ndiyo JF yenyewe kabisa ... asante sanaHilo neno lipo kwenye ripoti anayodai kuwa aliandika yeye. Wakili Kamuuliza kama anajua maana ya terrorist na terrorism ili kulinganisha kama kweli aliandika yeye,kilichofuata ni kicheko mahakamani
Kuwa neutral ni ngumu sana, upande uliopo umejulikana kwa hoja zako tu.Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Ni kwa sababu ni wanasiasa na siasa ni vita baina ya wanasiasa.Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Kama walio kwenye madaraka uwezo wao ndiyo huo wewe ambaye kwa kukosa uwezo huna madaraka utakuwa na uwezo wa chini sanaNi wazi kesi ilikwisha amuliwa, lakini pia wananchi tunapata funzo kuhusu elimu na uwezo wa walio kwenye madaraka.
Serikali ikikudhamiria hauta ishinda, hukumu pendekezwa itatolewa na utaambiwa rufaa iko wazi.
Mbowe aliwahi kufungwa bila kosa na mahakama ikathibitisha hilo na ikamuachia!
Umejibu vizuri sana mkuu mtoa mada anaweza kujihisi mpumbavu na hata wanaomteteaHilo neno lipo kwenye ripoti anayodai kuwa aliandika yeye. Wakili Kamuuliza kama anajua maana ya terrorist na terrorism ili kulinganisha kama kweli aliandika yeye,kilichofuata ni kicheko mahakamani
Ina maana alipoandika terrorism kwenye ripoti alimaanisha masuala ya utalii? Hapa ni ishara kuwa aliandaliwa ripoti hakuiandaa yeye.Tatizo neno"terrorism" ila tatizo ni mtu kuandika lugha asoijua. Hoja hapa ilikuwa ni kutanabahisha watu kuandika lugha wanayoifahamu; au mimi ndo sikufahamu.
Wewe umenikariri mimi na ndani ya hicho ulichkikariri nimeandika kifungo cha Mbowe ambacho alikitumikia lakini akaachiwa bila rufaa kuwa alifungwa kimakosa! Na hili lilitokea pia kwa Sugu, sasa ni mind set gani ipo au unaona hakuna uonevu. Nakushauri ujiunge Chadema kwa utafiti tu, baada ya miezi mitatu utajua Segerea ikoje ndani.Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Uwepo wa nyuzi kama hizi ndipo ambao inaonyesha kuna haja ya kuongeza kitufe cha "dislike" [emoji107] kifanye kazi sambamba na kile cha "like" [emoji106] ili kutendea haki mleta mada.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Wewe ndiyo hufahamu. Unaonekana uko too low kwenye reasoning. Logical questions zinafanya mashahidi watoe ushahidi ambao mwisho unaacha doubts (mashaka). Kumbuka mahakamani ili umpate mtu na kosa, lazima ushahidi usiache shaka yoyote (you need to prove beyond reasonable doubts). Sasa hao mashahidi wanavyojikanyaga wanaacha mashaka (doubts) ambapo mwisho Jaji atatumia rungu lake kuwaachia huru watuhumiwa. Kazi ya mawakili wa utetezi ni kuziweka wazi hizo doubts na wale wa serikali ni kuhakikisha mashahidi wao wanatoa ushahidi ulionyooka ili kuondoa hizo doubts.Wewe hauwezi kufahamu
Huyu jamaa yuko chini sana.Wewe ulipata division four ya points ngapi?
sawa ndugu jajiHapo vip!!
Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.
Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.
Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.
Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Unajua Mbowe anamiliki Hoteli... basi huyu soja akajua labda hii kesi ni Mbowe alitaka kubaka watalii waliofikia kwenye hoteli yakeIna maana alipoandika terrorism kwenye ripoti alimaanisha masuala ya utalii? Hapa ni ishara kuwa aliandaliwa ripoti hakuiandaa yeye.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Riport kaandika yeye katumia Hilo neno anaulizwa ufahamu wake kuhusu Hilo neno anaonekana hajui utaiamini hiyo ripoti?Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...s