Hoja yako ni ya msingi sana. Waweke na hicho cha "dislike" maana watu kama huyu Tajiri Tanzanite na thread kama hii ni kugonga dislike tu.Uwepo wa nyuzi kama hizi ndipo ambao inaonyesha kuna haja ya kuongeza kitufe cha "dislike" [emoji107] kifanye kazi sambamba na kile cha "like" [emoji106] ili kutendea haki mleta mada.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kuulizwa vile ni kutaka kumchallenge Shahidi na kuonesha kuwa ushahidi wake ni wa uongo, hajafanya uchunguzi na report hakuandaa yeye, maana huwezi shindwa kujua kitu ambacho umekiandaa mwenyewe.
Cc Tajiri TanzaniteUmejibu vizuri sana mkuu mtoa mada anaweza kujihisi mpumbavu na hata wanaomtetea
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Cc Tajiri TanzaniteSio tu kumchallenge, kwenye ripoti anayodai kaandika yeye imeandikwa 'Consiparancy' to commit 'Terrolist'…. wakili msomi alihitaji kujiridhisha na utimamu wa shahidi.
View attachment 1991642
Tuombe mungu. Hakujua atendaloHapo vip!!
Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.
Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.
Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.
Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Hayo maneno yote mawili hawezi kuharibu uhalisia wa Forensic Report iliyotolewa. Report inahusu uchunguzi wa silaha yeye anauliza maana ya Terrorist na Terrorism. Ningekuwa mimi ningemuuliza maswali yanayohusiana na silaha zaidi ili kumpre-empt utaalamu wake wa silaha. Lakini wakili wa utetezi unamuuliza definition ya terrorist na terrorism ambayo haina impact kwenye utaalamu wake lakini angemuuliza maswali yanayohusiana na silaha na akashindwa kujibu then utalaamu wake ungekuwa questionable.Hilo neno lipo kwenye ripoti anayodai kuwa aliandika yeye. Wakili Kamuuliza kama anajua maana ya terrorist na terrorism ili kulinganisha kama kweli aliandika yeye,kilichofuata ni kicheko mahakamani
Hatuangalii mawazo yako binafsi tunaangalia mawazo ya kitaaluma we boya!Hapo vip!!
Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.
Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.
Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.
Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Sasa wewe hapo unajiona una akili sana au? Just a typing error inakufanya ufikirie kinyumbu hivyo?Hatuangalii mawazo yako binafsi tunaangalia mawazo ya kitaaluma we boya!
Kesi muhimu unawasilisha ripoti ya kijinga "to commit terrolist" maana yake nini?
Hujawahi fika mahakamani punguza ujuaji
Sahihi sanaKuulizwa vile ni kutaka kumchallenge Shahidi na kuonesha kuwa ushahidi wake ni wa uongo, hajafanya uchunguzi na report hakuandaa yeye, maana huwezi shindwa kujua kitu ambacho umekiandaa mwenyewe.
Maana moja ni hiyo ya kuandikiwa na nyingine ni kuwa haelewi lugha aliyoandika/aliyoandikiwa.Ina maana alipoandika terrorism kwenye ripoti alimaanisha masuala ya utalii? Hapa ni ishara kuwa aliandaliwa ripoti hakuiandaa yeye.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Wabongo ni magwiji yaani mabingwa hasa kwenye ushabiki.Hapo vip!!
Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.
Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.
Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.
Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Serikali haiaminiki kwa wananchiHuwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
[emoji106]Kisheria ina maana kubwa sana. Ni kesi nyeti hivyo inahitaji uchunguzi makini toka kwa watu makini. Neno moja linaweza umiza mtu au kuleta maana tofauti ktk report. Hivyo wakili anajaribu kuonyesha mapungufu ya ripoti na muhusika pia ili kuipunguzia credibility ya report husika .
Tanzania na Africa kwa ujumla upinzani unapigwa vita sana. Mara nyingi wanaonewa kwa kubambikiwa kesi ili tu wasikosoe serikali. Watawala wa Africa wanatumia nguvu kubwa mno kuulinda utawala waoa. Hivyo atatumia kila njia kumkandamiza mpinzani. Hii inaonesha wazi pia huyu jamaa anaonewa. Hasa alipogusia swala la katiba mpya.Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Kweli mkuuWajinga mko wengi blaza, ulidhani niwewe tuu?