Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Hili nalo nenoKamishna jenerali wa uhamiaji ni Demu, so wapo labda Rais anaona hawataweza kusaidia kuiba uchaguzi 2025 mana wanawake c watu wa dhuluma
Tatizo havai hijabKuna mama Kaganda ambaye ndiyo kwa sasa anaweza kuwa kiongozi mzuri sana wa jeshi letu.
Mbona 2020 Wakurugenzi kibao wanawake walitangaza matokeo ya kuchonga ya Magufuli na Mahela.....!!Kamishna jenerali wa uhamiaji ni Demu, so wapo labda Rais anaona hawataweza kusaidia kuiba uchaguzi 2025 mana wanawake c watu wa dhuluma
Tatizo havai hijab
Mke wangu toka umesikia nina mchepuko unatukana ovyo. Tatizo hilo bwanga lako nimelichoka jaribu kutumia shabu ibane kidogowewe mbuzi tayari ushaanza kumgeuka bibi yako[emoji23][emoji23][emoji23].
ulidhani kaganda ndiye IGP ajaye[emoji1787][emoji1787]hopeless.
Mfumo dume tu unawasumbua! wapo wengi sana! Hasa wenye sifa za ujaji.Labda hili swali tungeliuliza hata kuhusiana na Jeshi la Wananchi. Hasa baada ya hizi teuzi. Najiuliza inawezekana kwenye majeshi yetu hakuna wanawake wenye uwezo na ufahamu wa mambo ya kazi, operesheni na mikakati ya kijeshi kuweza kushika nafasi za juu kwenye majeshi hayo?
Labda Rais yeye kwa vile anajua mengi inawezekana baada ya kuangalia akagundua kuwa bado hakuna wanawake wanauwezo wa kushika nafasi ya juu... si kwa sababu ni wanawake bali kwa sababu hawana uwezo.
Ila kama wapo wenye uwezo JWTZ au Polisi au Magereza (labda huku atateuliwa mwanamke - sijui Katherine Mwipopo anacheo gani sasa). Rais atawapa nafasi au mpaka wajioneshe vipi kuwa wanaweza kushika nafasi hizo.
Labda Jaji Mkuu Mwanamke wa kwanza.