T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hizo data unazikataa au unazikubali?yani wewe unajiona unaelewa mahitaji ya warusi kuliko warusi wenyewe?
mrusi amekuwepo kabla US haijakuwepo, alafu leo useme US ndio kaisaidia Urusi kiviwanda? hizi propaganda unakolishwa pole sana!
Umeandika nini hapa sasa.Ndyo maana nakwambia uchumi halisi haudanganyi iyoo GDP, na mengine yote haijafika robo ya kile Russia anacho, Leo hii Italy ingekulaaa sanction mabenk, masoko ya hisa vyote vingesambaratika ila vipi Russia na mtoa mada ameleta mada nzuri tu kwanini pamoja na vikwazo vyote bado Russia ameonekana ngangari
Alafu kila nchi ni mjivuni kwa vitu vyake na uhalisia wa nchi yake Russia ana rasilimali nyingi kuliko west Russia kupata kile ambachho hhana kutoka west siyo kkosa na vilevile ni salama kkwa dunia ya Leo maana anggekuwa na teknolojia kubwa na wingi wa rasilimali alionawoo sidhani kama asinggetamani kuitawala dunia.
Ndyo maana tunawaita pro NATO vilaza matajiri wa west ambao mnawaita mabilione mnawaona wanahaki ya kumiliki utajiri walionawo ila nchi nyingine awoo ni majambazi wa rasilimali za nchi zao.
Na pessa nyingi za matajiri wa Russia ndizo zilizungushhwa kwenye biashara nyingi zilizopo ulaya maggharibi hassa UK na German Leo hii ili kubariki ujambazi wenu wa pesa zao mnawaita majina mabaya
USA na West hawajawahi tarajia uchumi wa Urusi uanguke. Lengo lao kwenye sanctions ni kuilazimisha Urusi iwe na options kwenye harakati zake za expansionism. Ijue wakati inaendelea kufanya uvamizi itaendelea kupoteza mazingira ya kiuchumi na hao wanaoweka vikwazo, isiwe na uhuru wa kuvamia ikijisikia.
Kama West na US zingetaka kuiua kiuchumi Urusi basi zingeanzia kwenye machine tools na precision machinery ambako Urusi haijiwezi
Importation ya mitambo muhimu ya uzalishaji ingesitishwa yote na Urusi wangeishia kutegemea black market au kutegemea machine tools za China ambazo huwa haizipendelei.
Kwanza Marekani inahusika kwenye kuisaidia Soviet Union kukua kiviwanda mwanzoni mwa utawala wao, Volgograd tractor plant ilijengwa na Wamarekani pale Soviet Union iko busy kukua kwenye kilimo. Walikuja kupishana na Marekani walivyoanza kujitutumua na kujishindanisha na Marekani. Na technology transfer wakawa wanaitumia kutengeneza silaha, mfano hiyo Volgograd plant ilitengeneza vifaru, infantry fighting vehicles na artillery.
Sasa nchi gani itakubali ikupe teknolojia uunde silaha alafu uitunishie misuli, wakaachana nayo.
Hata China wanamfanyia hivi Warusi na Wamarekani, unamuuzia licence ya helicopter kutoka Sikosrky ya Marekani yeye anatumia kutengeneza attack helicopter. Sasa unaamua kumpa teknolojia chache zisizo na dual use na sometimes unagoma kumuuzia baadhi ya vitu asiige.
Marekani iliwahi kuwashawishi Germany na Japan baada ya WW2 kustaariba na kuishi kama waungwana duniani wakati kwenye vita walipigana. Leo hizo ni nchi za tatu ya nne kiuchumi duniani, South Korea waliopambaniwa na Marekani ni nchi inazidi Urusi kiuchumi. Hizo nchi tatu ni almost hazina kitu kwenye rasilimali wala ukubwa wa ardhi kama Urusi. Kama Urusi wangekuwa serious na vitu vya msingi hizo nchi tatu hazikutakiwa ziikaribie kiuchumi.
Una rasilimali za kutosha madini mengi kuanzia aluminium, gold, bauxite, iron ore, copper, diamond hadi rare earth metals, gesi ni wa kwanza duniani, mafuta ya kutosha mpaka unaitwa OPEC wakati sio mwanachama, unalima ngano, una mbao, una ardhi kubwa sana wakati idadi ya watu milioni 144 ukitaka kutenga eneo kubwa la kilimo unaweza, una uvuvi. Bado unazidiwa na Italy kwa GDP. Sasa wewe upewe nini hapa duniani?
Malcom LumumbaKwahiyo unataka kusema kwamba G7 wangeiwekea vikwazo Urusi kwenye mashine, basi uchumi wa Urusi ungeanguka na wao wenyewe wasingekutwa na madhara yoyote yale, si ndiyo ?economy?
Hii hoja sijaielewa hata kidogo, labda unifafanulie kwa zaidi. Kwamba unataka kusema, Urusi ya kisovieti ilikuwa lilikuwa taifa imara kwasababu ya teknolojia ya Marekani iliyotolewa kule Volgograd? Hivi kuna nchi hapa duniani ambayo imetumia teknolojia yake peke yake kukua ?
Ila nachokishangaa kwenu ni kushindwa kufahamu kwamba, teknolojia zote muhimu ambazo Marekani anazitumia karne ya ishirini na moja siyo zake bali za Ujerumani. Wanasayansi 1500 wa Ujerumani waliopelekwa Marekani na Bwana Allen Dulles kupitia Operation Paperclip, ndiyo walilipa Marekani teknolojia kama Fission-Technology (Atomic), Sonar, Rocket-Science, Genetic-Engineering, Satellite Engineering, n.k
Sasa turudi kwenye uchumi. Tutumia mawazo ya baba wa uchumi wa kibeberu, Bwana Adam Smith. Hivi kuna taifa ambalo lina ABSOLUTE ADVANTAGE kwenye kila kitu hapa duniani ? Kwamba leo hii Marekani anaweza kuwawekea vikwazo vya kiuchumi mataifa makubwa bila yeye kupata hasara ? Hebu tueleweshane
Unaandika mambo mengi sana. Hapa napo nayaweka mawazo yako katika kurunzi ya kiuchumi. Hivi unahisi taifa la Marekani lina Absolute-Advantage in every sphere of the
Hii mifano yako inanishangaza kidogo, nadhani hujafanya utafiti wa kutosha kwenye historia ya uchumi wa dunia.
Wasomi wakubwa duniani kama Professor Joseph Nye wanasema kwamba Ujerumani lilikuwa ndiyo taifa tajiri kwenye uzalishaji (World's Largest Manufacturer) kuliko hata Uingereza mnamo mwaka 1900. Kipindi hiki Marekani alikuwa ni taifa tajiri zaidi duniani katika ulinganisho wa manunuzi (Purchasing Power Parity).
Kingine ambacho kinanishangaza ni kwamba unasahau kwamba kabla ya vita ya pili ya dunia, taifa la Japan lilikuwa ni moja kati ya mataifa tajiri duniani. Hizi hoja za kusema kwamba Marekani ndiyo aliwashawishi wajerumani na wajapan wastaarabike ndiyo wakawa matajiri umezitoa wapi ?
Aidha unayaangalia mambo kisiasa, au hujasoma uchumi. Kitaalamu, Marekani lilikuwa taifa tajiri zaidi duniani mwaka 1872 (Gilded Age), lakini siyo katika kipimo cha Gross Domestic Product (GDP). Ukitumia kipimo (Metric) cha GDP, kutoka mwaka 1872 Marekani alikuwa na uchumi mdogo mno kulinganisha na mataifa kama Ufalme wa Uingereza na Ufalme wa Ujerumani.
Kipimo kilichotumika kusema Marekani ndiyo tajiri ni kile cha manunuzi, Purchasing Power Parity (PPP). Nakubaliana na baadhi ya wachumi kwamba GDP ni kipimo sahihi, lakini ukizingatia vipimo vingine kama GNP na PPP utafahamu kwamba kwanini mataifa yenye GDP ndogo kuliko yale ya G7 bado yanafanya vizuri.
Sasa mtaalamu, hebu tufahamishane. Kwamba Marekani na chama chake cha G7 leo hii wanaweza kupambana vita ya kiuchumi na mataifa kama Urusi, OPEC au Uchina bila wao kukumbwa na madhara makubwa kiuchumi ?
Mkuu huyu anayejiita The Boy Wonder namfananisha na mkuu Malcom Lumumba kiuanzishaji mada.Kwa vile hii mada inahusu uchumi mim sitoweza kuchangia kwa koment bali nitadondosha laik kwa Kila mchangiaj
Kuna dogo anajiita Malcom Lumumba jamaa noma kwa mijadala ya aina hii ila tangu special operation ing'oe nanga hachangii kabisaaaaaaa mijadala ya kisiasa sasa sijui nae kaenda front kuongezea nguvu au kaamua kususa tu
Hakuna niliposema hawatoumia ila nani ataumia zaidi.Kwahiyo unataka kusema kwamba G7 wangeiwekea vikwazo Urusi kwenye mashine, basi uchumi wa Urusi ungeanguka na wao wenyewe wasingekutwa na madhara yoyote yale, si ndiyo ?
Nimekupa mfano kwamba Marekani ilichangia ukuaji wa kiuchumi wa Urusi. Tena sio hapo tu, Marekani kwenye WW2 ilitoa zaidi ya ndege 10,000 vifaru maelfu na trucks zaidi ya elfu mia tatu. That time Soviet Union hawana uwezo kabisa wa kutengeneza heavy trucks na nchi yao ikija winter na udongo wao ule inajaa matope. Hapohapo wana vifaru kina T-34 vina uzito tani kadhaa, namna ya kuvipeleka frontline hawana ndipo usiyemtaka akaja na hizo trucks.
Hii hoja sijaielewa hata kidogo, labda unifafanulie kwa zaidi. Kwamba unataka kusema, Urusi ya kisovieti ilikuwa lilikuwa taifa imara kwasababu ya teknolojia ya Marekani iliyotolewa kule Volgograd? Hivi kuna nchi hapa duniani ambayo imetumia teknolojia yake peke yake kukua ?
Nani kaizuia Urusi kupeleka wanasayansi kwake?
Ila nachokishangaa kwenu ni kushindwa kufahamu kwamba, teknolojia zote muhimu ambazo Marekani anazitumia karne ya ishirini na moja siyo zake bali za Ujerumani. Wanasayansi 1500 wa Ujerumani waliopelekwa Marekani na Bwana Allen Dulles kupitia Operation Paperclip, ndiyo walilipa Marekani teknolojia kama Fission-Technology (Atomic), Sonar, Rocket-Science, Genetic-Engineering, Satellite Engineering, n.k
Marekani haina absolute advantage kwenye kila kitu ndio maana inaishi vizuri na washirika wake. Urusi mshirika wake mkuu ni China, miaka ya 1960s waligombania mipaka.economy?
Sasa turudi kwenye uchumi. Tutumia mawazo ya baba wa uchumi wa kibeberu, Bwana Adam Smith. Hivi kuna taifa ambalo lina ABSOLUTE ADVANTAGE kwenye kila kitu hapa duniani ? Kwamba leo hii Marekani anaweza kuwawekea vikwazo vya kiuchumi mataifa makubwa bila yeye kupata hasara ? Hebu tueleweshane
Unaandika mambo mengi sana. Hapa napo nayaweka mawazo yako katika kurunzi ya kiuchumi. Hivi unahisi taifa la Marekani lina Absolute-Advantage in every sphere of the
Tunarudi palepale, Urusi hayupo kwenye kuongoza lolote kiuchumi. Taja hao Ujerumani sijui Japan ila Urusi hayupo, atakuja kwenye list ya nchi ambazo walizaliwa wakajikuta wanakalia gesi na mafuta ndio hapo utawakuta Urusi, Nigeria, Angola, Venezuela na wanachama wa OPEC.
Hii mifano yako inanishangaza kidogo, nadhani hujafanya utafiti wa kutosha kwenye historia ya uchumi wa dunia.
Wasomi wakubwa duniani kama Professor Joseph Nye wanasema kwamba Ujerumani lilikuwa ndiyo taifa tajiri kwenye uzalishaji (World's Largest Manufacturer) kuliko hata Uingereza mnamo mwaka 1900. Kipindi hiki Marekani alikuwa ni taifa tajiri zaidi duniani katika ulinganisho wa manunuzi (Purchasing Power Parity).
Unajua madhara iliyopata Ujerumani baada ya vita? Unajua allied concentrated bombing runs za Ruhr industrial city, Dresden na miji yote ya viwanda ilivyofanya uharibifu kwa kutumia bombers kama B-29, Lancaster, Mosquito. Unajua jinsi Red Army ilivyokuwa inatumia artillery kubomoa miji yote ililosimama njiani kuelekea Berlin?
Kingine ambacho kinanishangaza ni kwamba unasahau kwamba kabla ya vita ya pili ya dunia, taifa la Japan lilikuwa ni moja kati ya mataifa tajiri duniani. Hizi hoja za kusema kwamba Marekani ndiyo aliwashawishi wajerumani na wajapan wastaarabike ndiyo wakawa matajiri umezitoa wapi ?
Kutosoma kwangu uchumi hakuifanyi Urusi iwe giant kiuchumi, au kusoma kwako uchumi hakuifanyi Urusi kuwa angalau ya tano kiuchumi duniani. Facts ni zilezile, hayo yote uliyotaja Gilded Age, PPP, GDP, G7 kote Russia anabaki palepale kwamba hana maajabu kiuchumi. Na hapo sanctions zimeanza 2014 kuja sasa
Aidha unayaangalia mambo kisiasa, au hujasoma uchumi. Kitaalamu, Marekani lilikuwa taifa tajiri zaidi duniani mwaka 1872 (Gilded Age), lakini siyo katika kipimo cha Gross Domestic Product (GDP). Ukitumia kipimo (Metric) cha GDP, kutoka mwaka 1872 Marekani alikuwa na uchumi mdogo mno kulinganisha na mataifa kama Ufalme wa Uingereza na Ufalme wa Ujerumani.
Kipimo kilichotumika kusema Marekani ndiyo tajiri ni kile cha manunuzi, Purchasing Power Parity (PPP). Nakubaliana na baadhi ya wachumi kwamba GDP ni kipimo sahihi, lakini ukizingatia vipimo vingine kama GNP na PPP utafahamu kwamba kwanini mataifa yenye GDP ndogo kuliko yale ya G7 bado yanafanya vizuri.
Sasa mtaalamu, hebu tufahamishane. Kwamba Marekani na chama chake cha G7 leo hii wanaweza kupambana vita ya kiuchumi na mataifa kama Urusi, OPEC au Uchina bila wao kukumbwa na madhara makubwa kiuchumi ?
Kutosoma kwangu uchumi hakuifanyi Urusi iwe giant kiuchumi, au kusoma kwako uchumi hakuifanyi Urusi kuwa angalau ya tano kiuchumi duniani. Facts ni zilezile, hayo yote uliyotaja Gilded Age, PPP, GDP, G7 kote Russia anabaki palepale kwamba hana maajabu kiuchumi. Na hapo sanctions zimeanza 2014 kuja sasa
SahihUmeandika mambo mengi sana, lakini jambo muhimu kiuchumi ambalo nimeliona ni lile la wewe kukubali kwamba Marekani hana ABSOLUTE ADVANTAGE. Kiufupi hakuna taifa ambalo ni kisiwa. Hii ndiyo kanuni ya Uchumi, kwamba kuna vita utaweza, lakini vingine hutaweza. Urusi kutegemea teknolojia ya Magharibi ndiyo uchumi wenyewe, kama alivyosema mchumi nguli David Ricardo, kuhusu RELATIVE ADVANTAGE THEORY.
Mifano mingi uliyoitoa ni ya kisiasa, hivyo sintaijibu, labda tuanzishe mada yake. Ninachotaka ni tujikite kwenye uchumi, maana uchumi ni sayansi na kama wazungu wasemavyo, MEN LIE BUT NUMBERS DO NOT LIE. Hebu tusaidiane kujibu maswali yafuatayo ambayo yako kwenye uti wa mgongo wa huu mgogoro....
Mosi, nini kimesababisha mfumuko mkubwa wa bei (Inflation) nchi za Magharibi ?
Pili, kwanini nchi za Ulaya kama Ujerumani zimeingia kwenye mdororo mkubwa uwa wa Uchumi (Recession) mwaka 2023, ???
Tatu, kwanini mabenki ya nchi za Magharibi yameanguka sana mwaka huu, Mabenki zaidi ya 1000 ya Marekani peke yake yako mufilisi. ara ya mwisho matatizo kama haya yalitokea mwaka 2008. Nini kimepelekea haya mwaka huu, ???
Nne, unadhani G7 wanaweza kupata mbadala wa Urusi kwenye rasilimali na masoko. Kwamba wanaweza kabisa kulitenga soko la Urusi lenye rasilimali za bei rahisi na soko la watu zaidi ya milioni 100, ???
Tano, kwanini Federal Reserve imepandisha riba kutoka 1% hadi 6% ndani ya mwaka, kitu ambacho mara ya mwisho kilifanyika miaka ya 90's, ???
Sita, kwanini mashirika ya nishati ya Urusi yamepata faida kubwa mno mwaka 2022, hadi mengine kutoa gawio (Dividend) mara tatu, ilhali kuna vikwazo vya uchumi dhidi ya Urusi visivyopungua 12,000, ???
Saba, Kwanini Uchumi wa India haujaathirika na mfumuko wa bei kama Ulaya na Marekani, hadi kupelekea IMF kufanya makadirio kwamba uchumi wake utakua kwa asilimia 7% (India has a trade surplus), ???
Nane, kikawaida hakuna uwekezaji unaoaminika kama kwenye masoko ya mitaji na dhamana (Capital Markets) kama ule wa hati-fungani (Bonds). Lakini kwanini kule Ulaya soko la hati-fungani lilianguka vibaya katikati ya mwaka 2022 hadi kufka sasa 2023, ???
Tisa, kwanini serikali nyingi za duniani zikiwemo Marekani na Japani, zimeingia kwenye uchapishaji mkubwa pesa (Money Printing) kupitia mbinu za kibenki kama Quantitative Easing (QE), ili kuweza kukudhi mahitaji ya bajeti zao, ???
Kumi, dola ya Marekani ndiyo fedha ya akiba ya kigeni ya dunia (Foreign Currency Reserve), ambayo hutumika kwenye mikopo mikubwa, biashara ya kimataifa na uwekezaji. Kwanini tangu mwaka 2022 imapungua thamani ya mzunguko (Trade Volume) kutoka asilimia 75% hadi 55%, jambo ambalo mara ya mwisho kutokea ni mwaka 2001. Hapa namaanisha mpaka sasa, dola ya Marekani inatumika kwa asilimia 55% duniani kote. Nini chanzo cha hali hii kutokea, ???
Nadhani tukiyajibu haya maswali, ndiyo tutaweza kuzungumza hali ya kisiasa na kiulinzi ya duniani kote. Maana uchumi ndiyo uti wa mgongo wa kila kitu duniani. Uchumi umeshikilia na kuathiri moja kwa moja mambo diplomasia, ulinzi, tamaduni na siasa za mataifa. Hebu tujuzane zaidi, nasubiri majawabu..
Chige Mchambuzi Nguruvi3 Mwalimu YEHODAYA Proved Galip Vrl ChencheleUmeandika mambo mengi sana, lakini jambo muhimu kiuchumi ambalo nimeliona ni lile la wewe kukubali kwamba Marekani hana ABSOLUTE ADVANTAGE. Kiufupi hakuna taifa ambalo ni kisiwa. Hii ndiyo kanuni ya Uchumi, kwamba kuna vita utaweza, lakini vingine hutaweza. Urusi kutegemea teknolojia ya Magharibi ndiyo uchumi wenyewe, kama alivyosema mchumi nguli David Ricardo, kuhusu RELATIVE ADVANTAGE THEORY.
Mifano mingi uliyoitoa ni ya kisiasa, hivyo sintaijibu, labda tuanzishe mada yake. Ninachotaka ni tujikite kwenye uchumi, maana uchumi ni sayansi na kama wazungu wasemavyo, MEN LIE BUT NUMBERS DO NOT LIE. Hebu tusaidiane kujibu maswali yafuatayo ambayo yako kwenye uti wa mgongo wa huu mgogoro....
Mosi, nini kimesababisha mfumuko mkubwa wa bei (Inflation) nchi za Magharibi ?
Pili, kwanini nchi za Ulaya kama Ujerumani zimeingia kwenye mdororo mkubwa uwa wa Uchumi (Recession) mwaka 2023, ???
Tatu, kwanini mabenki ya nchi za Magharibi yameanguka sana mwaka huu, Mabenki zaidi ya 1000 ya Marekani peke yake yako mufilisi. ara ya mwisho matatizo kama haya yalitokea mwaka 2008. Nini kimepelekea haya mwaka huu, ???
Nne, unadhani G7 wanaweza kupata mbadala wa Urusi kwenye rasilimali na masoko. Kwamba wanaweza kabisa kulitenga soko la Urusi lenye rasilimali za bei rahisi na soko la watu zaidi ya milioni 100, ???
Tano, kwanini Federal Reserve imepandisha riba kutoka 1% hadi 6% ndani ya mwaka, kitu ambacho mara ya mwisho kilifanyika miaka ya 90's, ???
Sita, kwanini mashirika ya nishati ya Urusi yamepata faida kubwa mno mwaka 2022, hadi mengine kutoa gawio (Dividend) mara tatu, ilhali kuna vikwazo vya uchumi dhidi ya Urusi visivyopungua 12,000, ???
Saba, Kwanini Uchumi wa India haujaathirika na mfumuko wa bei kama Ulaya na Marekani, hadi kupelekea IMF kufanya makadirio kwamba uchumi wake utakua kwa asilimia 7% (India has a trade surplus), ???
Nane, kikawaida hakuna uwekezaji unaoaminika kama kwenye masoko ya mitaji na dhamana (Capital Markets) kama ule wa hati-fungani (Bonds). Lakini kwanini kule Ulaya soko la hati-fungani lilianguka vibaya katikati ya mwaka 2022 hadi kufka sasa 2023, ???
Tisa, kwanini serikali nyingi za duniani zikiwemo Marekani na Japani, zimeingia kwenye uchapishaji mkubwa pesa (Money Printing) kupitia mbinu za kibenki kama Quantitative Easing (QE), ili kuweza kukudhi mahitaji ya bajeti zao, ???
Kumi, dola ya Marekani ndiyo fedha ya akiba ya kigeni ya dunia (Foreign Currency Reserve), ambayo hutumika kwenye mikopo mikubwa, biashara ya kimataifa na uwekezaji. Kwanini tangu mwaka 2022 imapungua thamani ya mzunguko (Trade Volume) kutoka asilimia 75% hadi 55%, jambo ambalo mara ya mwisho kutokea ni mwaka 2001. Hapa namaanisha mpaka sasa, dola ya Marekani inatumika kwa asilimia 55% duniani kote. Nini chanzo cha hali hii kutokea, ???
Nadhani tukiyajibu haya maswali, ndiyo tutaweza kuzungumza hali ya kisiasa na kiulinzi ya duniani kote. Maana uchumi ndiyo uti wa mgongo wa kila kitu duniani. Uchumi umeshikilia na kuathiri moja kwa moja mambo diplomasia, ulinzi, tamaduni na siasa za mataifa. Hebu tujuzane zaidi, nasubiri majawabu..
Huyo jamaa utapoteza muda wako tu ndugu,ukiiongelea Marekani negatively ni kama umegusa kende zake. Ataokoteza vijisababu hata visivyotakikana ilimradi akuhamishe kwenye hoja ya msingi.Umeandika mambo mengi sana, lakini jambo muhimu zaidi ni lile la kiuchumi. Wewe kukubali kwamba Marekani hana ABSOLUTE ADVANTAGE. Kiufupi hakuna taifa ambalo ni kisiwa. Hii ndiyo kanuni ya Uchumi, kwamba kuna vitu utaweza, lakini vingine hutaweza. Urusi kutegemea teknolojia ya Magharibi ndiyo uchumi wenyewe, kama alivyosema mchumi nguli David Ricardo, kwenye RELATIVE ADVANTAGE THEORY.
Mifano mingi uliyoitoa ni ya kisiasa, hivyo sintaijibu, labda tuanzishe mada yake. Ninachotaka ni tujikite kwenye uchumi, maana uchumi ni sayansi na kama wazungu wasemavyo, MEN LIE BUT NUMBERS DO NOT LIE. Hebu tusaidiane kujibu maswali yafuatayo ambayo yako kwenye uti wa mgongo wa huu mgogoro....
Mosi, nini kimesababisha mfumuko mkubwa wa bei (Inflation) nchi za Magharibi. Unadhani hili tatizo mataifa ya G7 yatalimaliza kwa kupandisha tu thamani ya riba (Hiking Interest Rates) peke yake, bila kutegemea rasilimali za kimkakati kutoka nchi kama Urusi na zile za OPEC, ???
Pili, kwanini nchi za Ulaya kama Ujerumani zimeingia kwenye mdororo mkubwa wa wa Uchumi (Economic Recession) mwaka 2023. Unadhani huu mdororo utaisha hivi karibuni, ???
Tatu, kwanini mabenki ya nchi za Magharibi yameanguka sana mwaka huu, Mabenki zaidi ya 1000 ya Marekani peke yake yako mufilisi (Insolvent). Mara ya mwisho matatizo kama haya yalitokea mwaka 2008. Nini kimepelekea haya mwaka huu, ???
Nne, unadhani G7 wanaweza kupata mbadala wa Urusi kwenye rasilimali na masoko. Kwamba wanaweza kabisa kulitenga soko la Urusi lenye rasilimali za bei rahisi na soko la watu zaidi ya milioni 100, ???
Tano, kwanini Federal Reserve imepandisha riba kutoka 1% hadi 6% ndani ya mwaka, kitu ambacho mara ya mwisho kilifanyika miaka ya 90's, ???
Sita, kwanini mashirika ya nishati ya Urusi yamepata faida kubwa mno mwaka 2022, hadi mengine kutoa gawio (Dividend) mara tatu, ilhali kuna vikwazo vya uchumi dhidi ya Urusi visivyopungua 12,000, ???
Saba, Kwanini Uchumi wa India haujaathirika na mfumuko wa bei kama Ulaya na Marekani, hadi kupelekea IMF kufanya makadirio kwamba uchumi wake utakua kwa asilimia 7% (India has a trade surplus), ???
Nane, kikawaida hakuna uwekezaji unaoaminika kama kwenye masoko ya mitaji na dhamana (Capital Markets) kama ule wa hati-fungani (Bonds). Lakini kwanini kule Ulaya soko la hati-fungani lilianguka vibaya katikati ya mwaka 2022 hadi kufika sasa 2023, ???
Tisa, kwanini serikali nyingi za duniani zikiwemo Marekani na Japani, zimeingia kwenye uchapishaji mkubwa pesa (Money Printing) kupitia mbinu za kibenki kama Quantitative Easing (QE), ili kuweza kukudhi mahitaji ya bajeti zao, ???
Kumi, dola ya Marekani ndiyo fedha ya akiba ya kigeni ya dunia (World's Reserve Currency), ambayo hutumika kwenye mikopo mikubwa, biashara ya kimataifa na uwekezaji. Kwanini tangu mwaka 2022 imapungua thamani ya mzunguko (Dollar's Circulation Volume) kutoka asilimia 75% hadi 55%, jambo ambalo mara ya mwisho kutokea ni mwaka 2001. Hapa namaanisha mpaka sasa, dola ya Marekani inatumika kwa asilimia 55% duniani kote. Nini chanzo cha hali hii kutokea, ???
Nadhani tukiyajibu haya maswali, ndiyo tutaweza kuzungumza hali ya kisiasa na kiulinzi ya duniani kote. Maana uchumi ndiyo uti wa mgongo wa kila kitu duniani. Uchumi umeshikilia na kuathiri moja kwa moja mambo diplomasia, ulinzi, tamaduni na siasa za mataifa. Hebu tujuzane zaidi, nasubiri majawabu ili nijifunze zaidi..
Uchumi hautenganishwi na siasa. Sera za uchumi zinatolewa na wanasiasa na uchumi unaongozwa kwa mlengo wao. Mambo ya kiuchumi kama industrialization, trade, treaties, kujenga Panama na Suez, uwepo wa Fed, gold standard na kila kitu cha kiuchumi kinaanzia kwenye siasa. Wanasiasa wana uwezo wa kuharibu au kukuza uchumi, siasa haiachi kitu kwenye nchi. Ndio maana wanapiga kura kwa wanasiasa, hawapigi kwa wakuu wa majeshi ili waongoze jeshi wanavyotaka, hawapigi kwa Chairman wa Central bank au Governor wake.Umeandika mambo mengi sana, lakini jambo muhimu zaidi ni lile la kiuchumi. Wewe kukubali kwamba Marekani hana ABSOLUTE ADVANTAGE. Kiufupi hakuna taifa ambalo ni kisiwa. Hii ndiyo kanuni ya Uchumi, kwamba kuna vitu utaweza, lakini vingine hutaweza. Urusi kutegemea teknolojia ya Magharibi ndiyo uchumi wenyewe, kama alivyosema mchumi nguli David Ricardo, kwenye RELATIVE ADVANTAGE THEORY.
Mifano mingi uliyoitoa ni ya kisiasa, hivyo sintaijibu, labda tuanzishe mada yake. Ninachotaka ni tujikite kwenye uchumi, maana uchumi ni sayansi na kama wazungu wasemavyo, MEN LIE BUT NUMBERS DO NOT LIE. Hebu tusaidiane kujibu maswali yafuatayo ambayo yako kwenye uti wa mgongo wa huu mgogoro....
Baada ya kusababisha mfumuko wa bei kwa Magharibi, Russia imekuwa ya ngapi kiuchumi ambayo haina mfumuko?
Mosi, nini kimesababisha mfumuko mkubwa wa bei (Inflation) nchi za Magharibi. Unadhani hili tatizo mataifa ya G7 yatalimaliza kwa kupandisha tu thamani ya riba (Hiking Interest Rates) peke yake, bila kutegemea rasilimali za kimkakati kutoka nchi kama Urusi na zile za OPEC, ???
Sababu walijiweka kwenye utegemezi wa gesi ya Urusi. Na Urusi ambavyo haina siasa za akili (jambo unalopinga kwamba tusizungumzie siasa) wameamua kuihakikishia Ulaya kwamba wao sio dependable kwenye nishati, muda wowote wanazira na kutishia kuzima mara kupunguza flow. Alternatives hata kama ni expensive zinatafutwa, subiri miaka kadhaa uone watishia gesi wataiweka wapi. Russia wanatumia gesi kama silaha, Western wanatumia uchumi kama silaha.
Pili, kwanini nchi za Ulaya kama Ujerumani zimeingia kwenye mdororo mkubwa wa wa Uchumi (Economic Recession) mwaka 2023. Unadhani huu mdororo utaisha hivi karibuni, ???
Kwani huo mwaka 2008 mabenki yalikuwa insolvent sababu ya nini au nayo ni Urusi. Urusi kwa maamuzi ya kiuchumi na kisiasa ina uwezo mdogo kuharibu uchumi wa dunia. Marekani kwa sera mbovu za siasa inaweza poromosha uchumi wa dunia, China nayo inaweza fanya jambo ikaharibu. Urusi atatumia nguvu nyingi kuharibu uchumi duniani, labda aamue naye kujiua kiuchumi.
Tatu, kwanini mabenki ya nchi za Magharibi yameanguka sana mwaka huu, Mabenki zaidi ya 1000 ya Marekani peke yake yako mufilisi (Insolvent). Mara ya mwisho matatizo kama haya yalitokea mwaka 2008. Nini kimepelekea haya mwaka huu, ???
Mbadala ila wa gharama kubwa upo, unahitaji miaka kadhaa ya kujiandaa. Hata hivyo Urusi haitoi gesi bure, kama haitaki hiyo hela basi ifunge mabomba tuione itaishije. More than 15% ya mapato yao yanategemea gesi na mafuta, wafunge kwa wengine wote waiachie China na India pekee. Wakati huo China ina mikataba na nchi kama Saudi Arabia, haiwezi chukua kiasi kikubwa zaidi kwa Russia wala haiwezi chukua kila flow kutoka kwao.
Nne, unadhani G7 wanaweza kupata mbadala wa Urusi kwenye rasilimali na masoko. Kwamba wanaweza kabisa kulitenga soko la Urusi lenye rasilimali za bei rahisi na soko la watu zaidi ya milioni 100, ???
Tufanye sababu ni Russia. Sasa imekuwa ya ngapi kiuchumi baada ya kuifanya Fed ipandishe interest hadi asilimia 6?
Tano, kwanini Federal Reserve imepandisha riba kutoka 1% hadi 6% ndani ya mwaka, kitu ambacho mara ya mwisho kilifanyika miaka ya 90's, ???
Lini Gazprom au Rosneft imeacha kuuzia Ulaya gesi?
Sita, kwanini mashirika ya nishati ya Urusi yamepata faida kubwa mno mwaka 2022, hadi mengine kutoa gawio (Dividend) mara tatu, ilhali kuna vikwazo vya uchumi dhidi ya Urusi visivyopungua 12,000, ???
Hiyo ni India. Wapi imeandikwa kwamba Urusi ikiwekewa vikwazo India ishuke kiuchumi? Yani Yanga ichukue kombe, uulize kwanini TP Mazembe haifanyi usajili.
Saba, Kwanini Uchumi wa India haujaathirika na mfumuko wa bei kama Ulaya na Marekani, hadi kupelekea IMF kufanya makadirio kwamba uchumi wake utakua kwa asilimia 7% (India has a trade surplus), ???
Alafu soko la hisa la Urusi likawa la ngapi kwa thamani ya makusanyo ya mitaji baada ya masoko ya Ulaya kuanguka?
Nane, kikawaida hakuna uwekezaji unaoaminika kama kwenye masoko ya mitaji na dhamana (Capital Markets) kama ule wa hati-fungani (Bonds). Lakini kwanini kule Ulaya soko la hati-fungani lilianguka vibaya katikati ya mwaka 2022 hadi kufika sasa 2023, ???
Ni maamuzi ya kiuchumi ya nchi hizo. Au hizo phenomena zimeanza leo baada ya Urusi kuwekewa vikwazo?
Tisa, kwanini serikali nyingi za duniani zikiwemo Marekani na Japani, zimeingia kwenye uchapishaji mkubwa pesa (Money Printing) kupitia mbinu za kibenki kama Quantitative Easing (QE), ili kuweza kukudhi mahitaji ya bajeti zao, ???
Sababu kuna sarafu nyingine nyingi zenye kuwa mbadala wake kama GBP, CAD, Swiss Franc, RMB, Euro, Yen na nyinginezo. Lakini katika hizo usitarajie kuiona RUB maana haina maana kwenye exchange duniani.
Kumi, dola ya Marekani ndiyo fedha ya akiba ya kigeni ya dunia (World's Reserve Currency), ambayo hutumika kwenye mikopo mikubwa, biashara ya kimataifa na uwekezaji. Kwanini tangu mwaka 2022 imapungua thamani ya mzunguko (Dollar's Circulation Volume) kutoka asilimia 75% hadi 55%, jambo ambalo mara ya mwisho kutokea ni mwaka 2001. Hapa namaanisha mpaka sasa, dola ya Marekani inatumika kwa asilimia 55% duniani kote. Nini chanzo cha hali hii kutokea, ???
Narudi palepale. Russia hakuna anayetaka kuiua kiuchumi, hivyo haijawa survival wa kitu ambacho hakipo. Kila siku ukiwa unajihisi unafuatwa na majambazi alafu unafika salama nyumbani utaamini wewe ni bingwa wa kujilinda kumbe wasiwasi wako.
Nadhani tukiyajibu haya maswali, ndiyo tutaweza kuzungumza hali ya kisiasa na kiulinzi ya duniani kote. Maana uchumi ndiyo uti wa mgongo wa kila kitu duniani. Uchumi umeshikilia na kuathiri moja kwa moja mambo diplomasia, ulinzi, tamaduni na siasa za mataifa. Hebu tujuzane zaidi, nasubiri majawabu ili nijifunze zaidi..
Mkuu kwa maelezo haya tunaweza kusema Putin na serikal yake haina tofauti na serikali za Kiafrika?USA na West hawajawahi tarajia uchumi wa Urusi uanguke. Lengo lao kwenye sanctions ni kuilazimisha Urusi iwe na options kwenye harakati zake za expansionism. Ijue wakati inaendelea kufanya uvamizi itaendelea kupoteza mazingira ya kiuchumi na hao wanaoweka vikwazo, isiwe na uhuru wa kuvamia ikijisikia.
Kama West na US zingetaka kuiua kiuchumi Urusi basi zingeanzia kwenye machine tools na precision machinery ambako Urusi haijiweziView attachment 2698026View attachment 2698027
Importation ya mitambo muhimu ya uzalishaji ingesitishwa yote na Urusi wangeishia kutegemea black market au kutegemea machine tools za China ambazo huwa haizipendelei.
Kwanza Marekani inahusika kwenye kuisaidia Soviet Union kukua kiviwanda mwanzoni mwa utawala wao, Volgograd tractor plant ilijengwa na Wamarekani pale Soviet Union iko busy kukua kwenye kilimo. Walikuja kupishana na Marekani walivyoanza kujitutumua na kujishindanisha na Marekani. Na technology transfer wakawa wanaitumia kutengeneza silaha, mfano hiyo Volgograd plant ilitengeneza vifaru, infantry fighting vehicles na artillery.
Sasa nchi gani itakubali ikupe teknolojia uunde silaha alafu uitunishie misuli, wakaachana nayo.
Hata China wanamfanyia hivi Warusi na Wamarekani, unamuuzia licence ya helicopter kutoka Sikosrky ya Marekani yeye anatumia kutengeneza attack helicopter. Sasa unaamua kumpa teknolojia chache zisizo na dual use na sometimes unagoma kumuuzia baadhi ya vitu asiige.
Marekani iliwahi kuwashawishi Germany na Japan baada ya WW2 kustaariba na kuishi kama waungwana duniani wakati kwenye vita walipigana. Leo hizo ni nchi za tatu ya nne kiuchumi duniani, South Korea waliopambaniwa na Marekani ni nchi inazidi Urusi kiuchumi. Hizo nchi tatu ni almost hazina kitu kwenye rasilimali wala ukubwa wa ardhi kama Urusi. Kama Urusi wangekuwa serious na vitu vya msingi hizo nchi tatu hazikutakiwa ziikaribie kiuchumi.
Una rasilimali za kutosha madini mengi kuanzia aluminium, gold, bauxite, iron ore, copper, diamond hadi rare earth metals, gesi ni wa kwanza duniani, mafuta ya kutosha mpaka unaitwa OPEC wakati sio mwanachama, unalima ngano, una mbao, una ardhi kubwa sana wakati idadi ya watu milioni 144 ukitaka kutenga eneo kubwa la kilimo unaweza, una uvuvi. Bado unazidiwa na Italy kwa GDP. Sasa wewe upewe nini hapa duniani?
Urusi sio kwamba hawaipendi, ni yenyewe inalazimisha kujipanbanisha na kuishi kama karne ya 20. Marekani haina haja ya kupambana na Urusi, na inachofanya ni kilekile tena pungufu ya ambacho superpower yeyote kwa timeline yoyote hapa duniani huwa anafanya.
Ubongo ungekuwa unauzwa nngekwambia huu wako ukauuze ili ununue mwingine utakaoweza kukusaidia.tatizo jingine unapima uchumi wa nchi kwa kuangalia utajiri unaoelea, usio na mizizi...... na hiki ndio kipimo west wanakipenda, kwa sababu kinawafariji kwamba nchi zao ni tajiri.....
uchumi wa Urusi haujaanguka kwa sababu haupo kama uchumi wa ulaya na marekani (uchumi fake), unajisifu kwa utajiri wa makaratasi? masoko ya hisa hewa? mabenki?....
huu ndio uchumi unaosema afrika ni bara maskini zaidi duniani, lkn tukisema kila mtu aishi kwa kujitegemea ulaya sijui kama wataweza!
Umemjibu kimahabaNitajibu swali lako kama ifuatavyo:
Uchumi wa Russia haujateteleka kwa sababu zifuatazo
1. Russia ni Superpower Halisi: unavyodeal na nchi kubwa kama Russia inakupasa uwe na Plan B au C. West walishindwa kutambua Stage alokuwa amefikia Russia ilikua ni stage kubwa sana. Sababu Russia alizifanya nchi za ulaya kuwa dependent kwake kwenye suala la Nishati na ili kuwakamata zaidi alijenga pipes “strems” za kusuply gas na mafuta kwa cheap price.
2. Nature of economic system: Russia ni socialist state hivo major means of production ziko under the government. Zile sector zinazobeba uchumi wa nchi bhasi kuna mkono wa Serikali. Ndomana unaona hizi Gazprom na Rosatam bado ziliendelea kufanya vizuri licha ya vikwazo.
3. Strong leadership
4. Russia ni moja ya nchi ambazo zinajitegemea kiuchumi hawa jamaa karibu 90% wanajitegemea ni asilimia ndogo sana ambazo wana import.
5. Russia wana intelejensia hatari sana ambayo inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa (FSB).
6. Russia is Rich in natural resource ($75 trillion approximately)
Afrika isilinganishwe na nchi ya Ulaya. Kitendo cha kuwa Ulaya tu utalazimishwa kuwa na maendeleo na mwenendo fulani hata ukipungukiwa si sawa na Afrika nchi nyingi. Afrika nzima ukiiunganisha yote impact yake kwenye dunia si ajabu haizidi impact ya RussiaMkuu kwa maelezo haya tunaweza kusema Putin na serikal yake haina tofauti na serikali za Kiafrika?
Ndyo tatizo lakko mada inahusu uchumi wewe unaleta stori za miakaa ya 80 kuusu teknolojia alafu ujue tu makampuni mengi ya teknolojia ya west hawawezi likimbia soko la russia kirahisi wameweka vikwazo baadhi hasa kwenyee maswala ya huduma ila kwenye teknolojia wamelegeza na hawajakaza saa siyo kwamba hawajui wafanyalo kwani macdonald wamepunguza nini Russia na imekuwa replaced chapu kama ilivyo Pepsi na cocacola ilivyofanyika.Hakuna niliposema hawatoumia ila nani ataumia zaidi.
Kwani Boeing na Airbus zilipoweka sanctions kwa Russia nani anaumia zaidi, Russia ina zaidi ya Boeing 70, umeona Boeing inapata hasara kisa imefunga biashara pale Russia? Je umefuatilia hali ilivyo kwenye Russian airlinesz service wanazitafuta hadi Iran. Au DGM Mori ya Japan & Germany ikigoma kuuza CNC lathes kwa Kalashnikov Concern nani atafanya cuttings za silaha na zile precision ngumu ambazo Warusi hawana.
Au vipi Thales ya Ufaransa ilipositisha kuuza imaging devices kwa Uralvagonzavod kutengenezea sensors za T-90 main battle tanks nani aliumia zaidi. Huyu kakosa hela na hajatetereka kwa lolote, huyu kakosa thermal imaging katumia za makampuni yake hafifu.
Umeona McDonald's inafirisika baada ya kuondoka Russia na mali zake kutaifishwa na serikali? Hata shares zao umeona zimeshuka?
Siemens ikiamua kutofanya service ya gas turbines za Gazprom, pipeline zikaharibika na zilivyo very expensive nani ataumia zaidi. Urusi ikisitisha gesi kwa Ulaya wanaingia gharama kubwa kutafuta mbadala kwingine, Urusi inabaki na mabomba yake ya gesi na miundombinu inakufa na hela ya mauzo wanakosa.
Ukiwa na biashara ya kuuza unga mjini, nina mashine za kusaga nauza mjini na nikagoma kukuuzia wewe tu na ndio mimi the best kwenye quality na serviceability nani ataumia zaidi kati yetu?
Nimekupa mfano kwamba Marekani ilichangia ukuaji wa kiuchumi wa Urusi. Tena sio hapo tu, Marekani kwenye WW2 ilitoa zaidi ya ndege 10,000 vifaru maelfu na trucks zaidi ya elfu mia tatu. That time Soviet Union hawana uwezo kabisa wa kutengeneza heavy trucks na nchi yao ikija winter na udongo wao ule inajaa matope. Hapohapo wana vifaru kina T-34 vina uzito tani kadhaa, namna ya kuvipeleka frontline hawana ndipo usiyemtaka akaja na hizo trucks.
Kazi za kina Ford, tena nimekumbuka Ford mwenyewe kahusika kuiendeleza Soviet Union. Ford kahusika pakubwa kufanya establishment ya Soviet automobile industry, kiwanda alijenga mji wa Gorky. Marekani hakimbiwi!
Nani kaizuia Urusi kupeleka wanasayansi kwake?
Kwani unajifanya hujui kwamba Marekani haina watu maalum, nchi huru ile hata wewe unatamani kwenda.
Ni kwamba hujui kwamba Marekani ina mazingira mazuri ya wanasayansi? Elon Musk angebaki South Africa usikute angekuwa anauza simu. Nawewe leta wageni waliohamia Urusi wakafanikiwa, au huwa wanaenda walevi tu kule.
Na kama Marekani imeendelea sababu ya wanasayansi 1500 wa Ujerumani, Ujerumani ina wanasayansi laki ngapi waliobaki kipindi kile mpaka sasa mbona haijaizidi Marekani? Vyuo vilevile vilivyowatoa si bado vipo, jamii, asili ya kizazi, nchi. Kila kitu ni kilekile, waizidi Marekani basi ambayo hao 1500 walishafariki kabla hajazaliwa.
Na kwanini utaje Wajerumani si ungeanza na Warusi. Baba yake Sergei Blin alikuwa lecturer chuo kimoja Urusi, maisha ya kipuuzi akaondoka nchini kwao akaenda Marekani na mke wake kufundisha chuo na kujiendeleza. Mtoto Sergei Blin akajifunza kwenye shule za Kimarekani akasoma chuo na kukutana na Larry Page, mambo mengi yakatokea na sasa tuna Google na Alphabet Inc. Blin angekuwa Urusi angeambulia njaa, sasa ni bilionea hakuna Mrusi anamzidi hela.
Leonardo DiCaprio ana asili ya Kirusi upande wa bibi yake, nani mwigizaji Mrusi wa Urusi anamzidi?
Steven Seagal ni asili ya Urusi anafanyia uigizaji Marekani, nani mwigizaji wa Urusi anamzidi? Pamoja na Seagal kuwa wa kawaida sana pale Hollywood na kutoipenda Marekani ila hawezi acha maisha pale eti aende sijui uko Vladivostok vichochoroni mwa dunia uko ukitoa movie unatazama na jirani zako.
Au Sikorsky asingeamia Marekani helicopter nzuri duniani tungepataje, maana kule Urusi alikosa funding sababu za kishamba za ujamaa.
Marekani haina absolute advantage kwenye kila kitu ndio maana inaishi vizuri na washirika wake. Urusi mshirika wake mkuu ni China, miaka ya 1960s waligombania mipaka.
Na kwanini Marekani iwekee vikwazo washirika, kwanini China iiwekee vikwazo Urusi.
Tunarudi palepale, Urusi hayupo kwenye kuongoza lolote kiuchumi. Taja hao Ujerumani sijui Japan ila Urusi hayupo, atakuja kwenye list ya nchi ambazo walizaliwa wakajikuta wanakalia gesi na mafuta ndio hapo utawakuta Urusi, Nigeria, Angola, Venezuela na wanachama wa OPEC.
Unajua madhara iliyopata Ujerumani baada ya vita? Unajua allied concentrated bombing runs za Ruhr industrial city, Dresden na miji yote ya viwanda ilivyofanya uharibifu kwa kutumia bombers kama B-29, Lancaster, Mosquito. Unajua jinsi Red Army ilivyokuwa inatumia artillery kubomoa miji yote ililosimama njiani kuelekea Berlin?
Sasa baada ya vita kuisha Ujerumani ilikuwa imechakaa vibaya. Na sio Ujerumani pekee, Marekani ilitoa Marshall Plan kwa nchi za Ulaya.
Japan yenyewe Marekani alikaa miaka kadhaa akisaidia kujenga nchi, chini ya General Douglas MacArthur. Kutoka hapo mpaka 1950s Korean wars bado Marekani ilikuwepo Japan haijamaliza mission.
Kutosoma kwangu uchumi hakuifanyi Urusi iwe giant kiuchumi, au kusoma kwako uchumi hakuifanyi Urusi kuwa angalau ya tano kiuchumi duniani. Facts ni zilezile, hayo yote uliyotaja Gilded Age, PPP, GDP, G7 kote Russia anabaki palepale kwamba hana maajabu kiuchumi. Na hapo sanctions zimeanza 2014 kuja sasa
Uchumi hautenganishwi na siasa. Sera za uchumi zinatolewa na wanasiasa na uchumi unaongozwa kwa mlengo wao. Mambo ya kiuchumi kama industrialization, trade, treaties, kujenga Panama na Suez, uwepo wa Fed, gold standard na kila kitu cha kiuchumi kinaanzia kwenye siasa. Wanasiasa wana uwezo wa kuharibu au kukuza uchumi, siasa haiachi kitu kwenye nchi. Ndio maana wanapiga kura kwa wanasiasa, hawapigi kwa wakuu wa majeshi ili waongoze jeshi wanavyotaka, hawapigi kwa Chairman wa Central bank au Governor wake.
Baada ya kusababisha mfumuko wa bei kwa Magharibi, Russia imekuwa ya ngapi kiuchumi ambayo haina mfumuko?
Baada ya Waarabu kuiwekea Marekani oil embargo mwaka 1973 kama adhabu ya kuisadia Israel kwenye Yom Kippur war, Marekani ikafeli uchumi sio?
Finland mwaka jana imefungiwa gesi kabisa kabisa na Urusi, umeona wamepungukiwa nini cha ajabu?
Urusi yenyewe imepandisha interest rate mwaka jana. Na kwani hizo rasilimali za OPEC ni za Urusi? Yaani Iran, Qatar, Saudi Arabia au Kuwait waache kuuza mafuta kukuza uchumi wao wamsikilize mtu kaamua kuanzisha ugomvi?bUnategemea watu wana oil-dependet economy wazime visima ili kuikomesha Western ambao ndio wateja wao, wamsikilize Russia ambaye ni mshindani? Sababu za OPEC kusitisha kuuza rasilimali kwa West ni zipi, yani Russia wenyewe hawajasitisha sembuse OPEC.
Sababu walijiweka kwenye utegemezi wa gesi ya Urusi. Na Urusi ambavyo haina siasa za akili (jambo unalopinga kwamba tusizungumzie siasa) wameamua kuihakikishia Ulaya kwamba wao sio dependable kwenye nishati, muda wowote wanazira na kutishia kuzima mara kupunguza flow. Alternatives hata kama ni expensive zinatafutwa, subiri miaka kadhaa uone watishia gesi wataiweka wapi. Russia wanatumia gesi kama silaha, Western wanatumia uchumi kama silaha.
Je, Russia haijapata recession?
Kwani huo mwaka 2008 mabenki yalikuwa insolvent sababu ya nini au nayo ni Urusi. Urusi kwa maamuzi ya kiuchumi na kisiasa ina uwezo mdogo kuharibu uchumi wa dunia. Marekani kwa sera mbovu za siasa inaweza poromosha uchumi wa dunia, China nayo inaweza fanya jambo ikaharibu. Urusi atatumia nguvu nyingi kuharibu uchumi duniani, labda aamue naye kujiua kiuchumi.
Je data za mabenki ya Urusi zinasemaje, mabenki yao yanakua au yako insolvent.
Mbadala ila wa gharama kubwa upo, unahitaji miaka kadhaa ya kujiandaa. Hata hivyo Urusi haitoi gesi bure, kama haitaki hiyo hela basi ifunge mabomba tuione itaishije. More than 15% ya mapato yao yanategemea gesi na mafuta, wafunge kwa wengine wote waiachie China na India pekee. Wakati huo China ina mikataba na nchi kama Saudi Arabia, haiwezi chukua kiasi kikubwa zaidi kwa Russia wala haiwezi chukua kila flow kutoka kwao.
Alafu Warusi milioni 144 ambao hawana hata purchasing power ni negligible kwenye uchumi wa dunia. Urusi mwaka jana hata magari waliyonunua hayafiki nusu ya waliyonunua Brazil.
Tufanye sababu ni Russia. Sasa imekuwa ya ngapi kiuchumi baada ya kuifanya Fed ipandishe interest hadi asilimia 6?
Ni kipi Russia imepata mpaka useme imefanikiwa kiuchumi, au ni kipi Marekani imekosa.
Lini Gazprom au Rosneft imeacha kuuzia Ulaya gesi?Ukiachana na Nord Stream 2 ambayo pipeline imelipuliwa na sidhani kama ilikuwa imekamilika, gesi inaendelea kuuzwa. Kwanini wasipate hela sasa kama bei ya soko ni nzuri.
Au ni vikwazo gani vilisema ni marufuku Russia kuuza nishati, sanasana waliweka threshold kwenye mafuta watakaonunua. Na ni nchi chache zilifanya hivyo.
Alafu soko la hisa la Urusi likawa la ngapi kwa thamani ya makusanyo ya mitaji baada ya masoko ya Ulaya kuanguka?
Urusi soko lake la hisa hata masoko makubwa duniani halipo.
Na je ni mara ya kwanza masoko ya hisa Ulaya kuanguka, je mara zote yanaangushwa na Urusi?
Ni maamuzi ya kiuchumi ya nchi hizo. Au hizo phenomena zimeanza leo baada ya Urusi kuwekewa vikwazo?
Sababu kuna sarafu nyingine nyingi zenye kuwa mbadala wake kama GBP, CAD, Swiss Franc, RMB, Euro, Yen na nyinginezo. Lakini katika hizo usitarajie kuiona RUB maana haina maana kwenye exchange duniani. Na huoni aibu kabisa unataja USD inatumika 55% duniani. Si unajua inayofuata kwa kutumika zaidi inatumika kwa asilimia ngapi?Wakati huo Russia hizo sio level zake, imekalia kuchimba ardhi na kuuza maliasili.