zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ingekua hivi Afrika tusingekua maskini, hata hayo mahindi bila mbegu au viwatilifu na madawa shambani au mashine ya kugeuza mahindi yawe unga unategemea ununue kwa mwingine hakunaga closed economy iliowahi fanikiwa maana hakuna nchi inayojitosheleza kwa vyote.kwa lugha rahisi hapo, tajiri ni mwenye mahindi (maana akipandisha bei au akigoma kuuza wewe mwenye milioni utahangaika sana kupata mbadala, au pengine ukipata itakua bei juu mno,
ndipo ile nadharia kwamba ulaya magharibi ni maskini (pengine kuliko afrika) inapoingia,..... leo tukisema kila mtu aishi kwa kutegemea alichonacho, basi wale wenzetu wanaweza kufa sana,
na hii ndiyo inayombeba Urusi, ana bidhaa ambazo ulaya wanazihitaji ili waendelee kuishi na uchumi wao usitetereke pakubwa,......
Having said that, soko la chakula halipo Russia pekee so hii assumption sijui inatoka wapi. Na unaposema atauziwa chakula kwa bei ghali kivipi wakati dollar ni superior kuliko currency nyingi sana duniani ikiwemo hiyo ya Urusi so kwa namna yoyote there's nothing expensive to a dollar.
Kingine food reserve ya USA inaweza sustain crisis sio wajinga kiasi wasubiri crisis ya vita ifike eti hawana chakula. Tanzania tu Tuna stock ya chakula inayoweza sustain miezi zaidi ya 6 bila kuzalisha ndio sembuse USA au Eurozone?
Narudia Tena ulimwengu wa Sasa what matters ni money sio bidhaa otherwise barter trade ingekua inatumika mpaka leo. Ukibisha fuatilia nchi zote zinazotegemea extractive industry kama dhahabu au mazao yakishuka thamani kwenye soko la kimataifa basi na nchi inaporomoka kiuchumi.
Uchumi is all about value addition which money is the attached value on any product ikicheza hiyo hata uwe na chakula matani na matani tutaishia (kumbuka hatugaiwi Bure) tutauziwa Mchele kilo kwa elfu 5 ilihali tunalima Mpunga wa kutosha hapa Tanzania kuliko hata huko Ulaya.
CC The Boy Wonder