Swali la Ugomvi: Tuseme tu Hawana Uwezo?

Swali la Ugomvi: Tuseme tu Hawana Uwezo?

Kwa ufupi ni kwamba hawana uwezo. Wamefika hapo walipo kwa sababu ya mbeleko. Ukiwataka wakuonyeshe accomplishment yao angalau hata moja kwa vipindi vyao vya uongozi, kusema ukweli hawana.
Pamoja na hilo la kukosa uwezo, lipo pia la kukosa hekima. Utendaji wao wa kazi umejikita kwenye mazingira ya awamu ya nne, ambapo kila kitu kilimuwa kinafanyika bora liende. Hakuna uwajibikaji, ufisadi ndio mtindo mmoja, watu wanachekeana tu bila kuwajibishana. Wangekuwa na hekima wangejifunza baada ya kupigwa chini na JPM (rip). Hawakujua kuwa kila zama huja na kitabu chake! Vijana namna hiyo wanakosaje intelligence ya kuji-adjust kulingana na mazingira waliyomo? Hawana uwezo, na hawana hekima.
Kwanza siyo vijana! Ujana unaishia 35yrs.
 
Naunga mkono hoja
Hili la kila siku kuteua na baada ya siku mbili tatu kutengua au kutumbua, kwanza nilisema ni kosa, ila nikaitetea mamlaka ya uteuzi Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

Kisha nikauliza humu Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

Mimi nimeshauri wakati wa kuteua, sii lazima mamlaka ya uteuzi kutoa sababu, lakini kwenye kutengua na kutumbua, iwe ni lazima kutoa sababu ili hayo makosa yaliyopelekea kutumbuliwa kwao, yatumike kama shamba darasa kwa wengine hivyo kwanza nilishauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?

Kisha nikapongeza Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

P
Kuna mahala niliongea humu kwamba raisi alikosea sana kuwarudisha watu ambao mtangulizi wake aliwaondoa kwa sababu ambazo raisi wa sasa azifahamu.

Hivyo yawezekana kwa asilimia 80 raisi katambua kuwa hawa hawabebeki na watamtia gharama.

Asilimai 10 ni MSG kuhusika moja kwa moja na asilimia 10 ingine ni hao watu wa vetting kuchanganywa na maamuzi ya raisi pamoja na MSG.

Haya ni maoni tu huenda kuna sababu zingine ambazo zipo hewani.
 
Kuna mahala niliongea humu kwamba raisi alikosea sana kuwarudisha watu ambao mtangulizi wake aliwaondoa kwa sababu ambazo raisi wa sasa azifahamu.
Sisi tulisema tangu mwanzo kuwa hawa watu hawafai, hatukusikilizwa, na mwisho tukaishia kuitwa sukuma gang.
Mtu unapigwa chini na marais wawili mfululizo kwenye uwaziri, inaonyesha ni kiasi gani wewe ni hopeless na haubebeki hata kwa mbeleko ya ngozi!
 
Karibu Mzee Mwenzangu, Mkuu Mzee Mwanakijiji , maana wewe ni miongoni mwa my inspiration kujiunga jf, hivyo kila nikikuona nafarijika sana, na unapokengeuka, naumia sana!.

Inawezekana ni kweli hawana uwezo, ila pia mambo kama haya ya hire and fire kila uchao, pia yanatuonyesha uwezo wa mamlaka ya uteuzi, tukisema hizi ni early signs of incompetence tutakuwa tunamuonea?, na baada ya kuzibaini hizi early signs, bado tuu 2025 tuenende...?.

Hili la kila siku kuteua na baada ya siku mbili tatu kutengua au kutumbua, kwanza nilisema ni kosa, ila nikaitetea mamlaka ya uteuzi Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

Kisha nikauliza humu Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

Mimi nimeshauri wakati wa kuteua, sii lazima mamlaka ya uteuzi kutoa sababu, lakini kwenye kutengua na kutumbua, iwe ni lazima kutoa sababu ili hayo makosa yaliyopelekea kutumbuliwa kwao, yatumike kama shamba darasa kwa wengine hivyo kwanza nilishauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?

Kisha nikapongeza Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

P
Chamsingi tukiteuliwa tufanye kazi kwa bidii huku tukichunga kauli na matendo yetu yasilete mkanganyiko kwa jamii.
KAZI IENDELEE
 
Ingependeza kama hawa watu wangeomba na kupeleka C.V zao, pia kufanyike usahili ili kuypata watu wenye uwezo badala ya kuteua kutoka gizani. Wangefanya usahili pengine makosa/mapungufu yao wangeyaona wakati wa usahili, na wangeepuka usumbufu na gharama wanazoingia serikali kwa kuteua na kutumbua.
Waache Kuteua, badala yake watangaze hizi nafasi hata miezi sita kabla ili kuwe na file la waombaji, na inakuwa rahisi kuwa short list wenye uwezo na kukaa na fail zao standby ikiwa mmoja anayepata nafasi ku fail ku deliver/kufa/kustaafua au kufukuzwa.
 
Tukisema hawana uwezo tutakuwa tunakosea maana hatuambiwi kwa nini wanatumbuliwa. Ingekuwa vyema kama kutumbuliwa kungeenda pamoja na sababu ili tuepukane na idle speculations na wenzao wapate funzo la mambo gani hayakubaliki.

Amandla...
Wow!

Hata mimi leo nilikuwa nawaza kwa nini huwa hatuambiwi sababu za wao kutumbuliwa.
 
IMG-20240723-WA0101.jpg
 
Na. M. M. Mwanakijiji

View: https://youtu.be/R6TiVOZZZj4?si=iM4J0sv3gbtjSNmI
Waliitwa vijana...nakumbuka walipotumbuliwa nilisema ni ujana tu unawasumbua. Nikasema warudishwe labda wamejifunza. Tukaseme wapewe nafasi tena Alipokufa JPM hawakuficha hisia zao kuonesha hasimu kaondoka na wala kupima hekima walipozungumza. Tukawaangalia.

Mama alipowarudisha ni ikawa kama ni kuwaponya. Walionewa na sasa wamerudishwa ndani. Wote walipewa wizara walizozitaka sana na ambazo zilionekana zinaendana na uwezo wao. Lakini mara hizi zote wanapata shida kuongoza. Je, hawana uwezo?

Napendekeza wasipewe nafasi yoyote ya kuteuliwa tena sasa hivi. Wabaki wabunge tu ili wajipange na waoneshe wanaweza kuongoza bila kuwa mawaziri. Wabakie wabunge wa kawaida. Inawezekana upande mwingine Raisi Samia ameona siyo suala la uwezo bali kuwaondolea majaribu ya kutumia uwaziri kujijenga majimboni kuelekea 2025. Binafsi naamini kama hili ni kweli basi mawaziri wote wenye Nia ya kugombea mwakani wangetolewa ili wabakie wabunge. Mawaziri wawe wale ambao hawana Nia ya kugombea tena mwakani. Ila nadhani ni uwezo na kukosa hekima.

Maana kama kubebwa kuna watu wamebebwa bwana lakini kama mtu habebeki unang"ang'ania kumuweka mgongoni wa nini..mara akugonge konzi, mara teke, mara akufinye masikio, mara akung'ate halafu bado anataka kupanda mabegani. Kubebwa gani huko? Hata mtoto asipotulia kwenye mbeleko unamshusha bana kha!

Inawezekana kweli wa moja available mbili na aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Tukubali kuwa hawana uwezo maana kama hadi sasa bado hawajui hekima ya uongozi watajua lini? Watu wasiopima yanayotoka midomoni au matendo yao watapimiwa na nani...?

Wakubali yaishe?

Ugomvi wana uweza sana tu sema hawajataka
 
Hivyo vijamaa viwili uwezo wao ni mdogo sana.

Makamba issue za kiungozi ni kama kazigeuza za kifamilia hawa na yule dada yake Mwamvita ndio waliamua kula kwa urefu wa kamba.

Genge lake la TANESCO kina Maharage nao hawakuwa nyuma hawa si ndio walinunua software ya kugundua eti umeme ukikatika ijulikane ni wapi kwa bilion 90 wakati umeme wenyewe wa uhakika haukuwepo.
 
Karibu Mzee Mwenzangu, Mkuu Mzee Mwanakijiji , maana wewe ni miongoni mwa my inspiration kujiunga jf, hivyo kila nikikuona nafarijika sana, na unapokengeuka, naumia sana!.

Inawezekana ni kweli hawana uwezo, ila pia mambo kama haya ya hire and fire kila uchao, pia yanatuonyesha uwezo wa mamlaka ya uteuzi, tukisema hizi ni early signs of incompetence tutakuwa tunamuonea?, na baada ya kuzibaini hizi early signs, bado tuu 2025 tuenende...?.

Hili la kila siku kuteua na baada ya siku mbili tatu kutengua au kutumbua, kwanza nilisema ni kosa, ila nikaitetea mamlaka ya uteuzi Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

Kisha nikauliza humu Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

Mimi nimeshauri wakati wa kuteua, sii lazima mamlaka ya uteuzi kutoa sababu, lakini kwenye kutengua na kutumbua, iwe ni lazima kutoa sababu ili hayo makosa yaliyopelekea kutumbuliwa kwao, yatumike kama shamba darasa kwa wengine hivyo kwanza nilishauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?

Kisha nikapongeza Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

P
Upo vizuri Paskali!!

Tuombe pia Rais akubali kwamba kazi aliyoifanya na mtangulizi ilikuwa ya kutukuka!!

Hao waliogundulika ni wabovu tangu awamu iliyopita asiwabebe! Kutaka kuonekana muungwana kwenye mambo ya nchi ni hatari. Ndio hivyo tunalalamika haya mambo ya Uteuzi na Utenguzi lakini Ukweli ni Kwa sababu hakuwa makini na alitaka kuonesha kuwa mtangulizi alikuwa mbaya.

Nami nikumbushe, ile Timu ya JPM ilikuwa ni Timu yake pia, ilifanya kazi kubwa sana. Kwa maslahi ya nchi asione shida kuirudisha hiyo Timu Ili imsaidie.

Ni ushauri tu
 
Maana kama kubebwa kuna watu wamebebwa bwana lakini kama mtu habebeki unang"ang'ania kumuweka mgongoni wa nini..mara akugonge konzi, mara teke, mara akufinye masikio, mara akung'ate halafu bado anataka kupanda mabegani. Kubebwa gani huko? Hata mtoto asipotulia kwenye mbeleko unamshusha bana kha!
Very true Mwanakijiji, hawa jamaa walibebwa saaaaana lakini uwezo wao ni finyu sana na kiufupi ni watu wasioweza ku-deliver kabisa.
 
Back
Top Bottom