Swali la Uzalendo: What is The Magic of The Same Route? Precision Air Full Flight, ATCL Half Empty

Wanabodi,

Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.

We are talking off now itaendelea!

Paskali
Mkuu, ATCL ijitenge kabisa na kauli za kisiasa za kuandika HAPA KAZI TU. Waandike TU hata majina ya mashujaa wetu kina Mtemi Isike, Ng'wanamalundi, Mkwawa etc.
Sababu zinazoikosesha ATCL wateja:-

PW ni wazoefu wamedumu muda mrefu hewani, wana mbinu nyingi zaidi, kumbuka walianza na kandege kamoja kadogo sana in 90s na kila siku wako angani.
Good management and leadership, jamaa wanauongozi mzuri sana, wanajua kucheza na akili za wateja, wafanyakazi, na biashara kwa ujumla.

ATCL hamna possession of the business, ndege ipate hasara au faida, mishahara tutapata.

Lugha nzuri kwa wateja, hiyoo kitu ATCL haipo kabisa

Pia Bei, ATCL iko very expensive.
Screenshot_20201207-172944.png
Screenshot_20201207-173249.png
 
Wanabodi,

Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.

We are talking off now itaendelea!

Paskali
Bro Mayalla umeniwahi tu nilikuwa na mpango wa kuanzisha uzi.
ATCL wamekuwa wezi sasa hivi.
Walipoanza kutoa huduma niliwafurahia kwani walimshusha Precision air bei lakini sasa hivi ATCL wanalangua bei za kufa mtu.
Mimi kwa mwezi go and return kwa mwezi sio chini ya safari 8 hadi 10 lakini nimeachana na ATCL.
SABABU
1. ATCL uki book online let say 12/12/2020 saa 06:00 bei inasoma 188,300
But uki select hiyo price total inakuja 218,300

So kila bei wanaongeza 30k

2. Precision air same day& rime..06:00
Bei ni 150,300 na uki select total ni ile ile.

Kwanini mtu uendelee kuumia na Atcl?

Angalia mifano hapo chini
Screenshot_20201207-171825_Chrome.jpg
Screenshot_20201207-171841_Chrome.jpg
Screenshot_20201207-171859_Chrome.jpg
Screenshot_20201207-171926_Chrome.jpg
Screenshot_20201207-171943_Chrome.jpg
Screenshot_20201207-171954_Chrome.jpg
 
Wanabodi,

Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.

We are talking off now itaendelea!

Paskali
Kaka Paskali salama?
Huduma kaka... Ya ATCL any time flight insbsdilishwa muda. Halafu ukute hakuna anayesema. Kuna jamaa alikuwa anaisubilia ATCL pale Dar airport, hadi muda wa ku-board hakuna anayesema chochote..!!! Kila abiria hakujua kama kuna wenzie pia wanasubiria.

Ile mmoja alipoamua kuuliza, Ikaonekana ndege haipo hadi kesho yake... SASA HEBU FIKIRIA, ABIRIA HUYO ATARUDIA TENA KUKATA TIKETI YA ATCL WAKATI RUTI HIYO INA NDEGE NYINGINE YENYE UHAKIKA NA SAFARI? Haya kuna siku ndugu zangu walikuwa waondoke na bomardia Mwanza.. Si wote wa bombadia za siku hiyo wakakusanywa kwenye dreamliner saa 4 usiku..!!
 
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.

Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.

Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.

Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.

Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.

Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.

Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kea route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.

Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, alafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?.
P
 
Wanabodi,

Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.

We are talking off now itaendelea!

Paskali
ATCL inaongozwa kisiasa wakati precion inaongozwa kitaalamu.

ATCL inatumia ndege zilizo andikwa kauli mbiu ya ccm wakati precision hawana hayo mambo..
 
Bei zao ndio inawaponza. Mwanza kipindi cha Fastjet ilikuwa hadi 60K. Ila sasa hivi inafika hadi laki 4 one way. Kwenda tu...
Serikali ina lack on thing kwenye business. Creativity.

Hiyo idea ya kuhujumu mashirika mengine ili shirika la ndege la taifa lifaidike ni nothing but whitch hunt.

Better tuondoe static thinking. Tulete team yenye creativity kutoka kwenye mashirika binafsi.
 
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel...
Jibu ni kwamba aerikali haitakiwi kufanya biashara.
 
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel...
Mkuu wameshakujibu juu kwamba Precisionair wanafanya biashara na wako makini na biashara yao maana ndiyo survival yao.

Nami nakuongezea kuwa hata kwenye biblia kuna mfano wa mchungaji mwema anavyotofutishwa na mchungaji wa mshahara, soma Yohana 10:11-15
 
Paskali lengo lako ni kumfikishia ujumbe fudenge, ili Precision Air, afanyiwe figisu, za kodi na madeni ifutiwe kibali cha kufanya biashara!

Acha hizo! Wewe ndiyo uliyesafiri tuambie tofauti ulizoziona, siyo utuulize sisi!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel...
Precision sio private tena
Public listed company ni ya Umma pia

Waswahili mshazoea government owned Peke take kuziita za umma

Wamarekani wanaposema tuna bail out American companies.. ambazo ni public owned ni kampuni ambazo sio government owned...ni public listed

So precision
NMB
CRDB zote hizi ni public companies

Hili somo waswahili mmegoma kulielewa
 
Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, halafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?.
Paskali
Watu wa Kaskazini tunamkomesha Jiwe! Ila na wewe kwa fitina hujambo, unataka Jiwe atoe maagizo kwamba Precision air wafungiwe kuruka? Hata kwa Kabendera ulianzaga hivi hivi kuhoji mpaka kijana wa watu akabambikiziwa kesi ya utakatishaji fedha! Ipo siku na wewe utajichanganya tu utajuta siku hiyo!
 
Mkuu Paskali, watawala kwa jinsi wanavyopenda ujiko nakushauri ungetumia maneno "half full". Hii itawapendeza zaidi, kwa kuwa utawaonyesha kuna kitu fulani kimefanyika, kuliko maneno uliyoyatumia ktk "heading" yako yaani "half empty" kwa kuwa watapata hisia mbaya za kuwa umeweka hadharani ombwe lao ktk uendeshaji wa biashara hii..

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,

Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.

We are talking off now itaendelea!

Paskali
Update
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.

Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.

Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.

Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.

Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.

Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.

Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kwa route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.

Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, halafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?.
Paskali

Muendelezo
ATcl ni mradi wa kisiasa wa mshamba mmoja wa ndege, precision air ni ya watu wa kaskazini
 
Mkuu watu hawahitaji bites wala drinks kwa safari hizo fupi bali wanahitaji huduma bora. ATCL bado hawajawa tayari kwa ushindani wa kibiashara. Hakuna jipya la kushangaza maana "Air ticket AGENTS" wanaenda na wanakopata faida... labda kilichofanywa kwa fastjet kihusike...
 
Back
Top Bottom