Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hadi kwenye ndege ukikaa siti za nyuma unarushwarushwa kama kwenye basi....just kiddingWatakujibu, Ila ninachokijua kila kampuni ina market strategy yake. Precision kwa sisi ambao hatufanyi serikalini huwa wanatuletea through travel agency package za kuridhisha including rewarding program ambako ATCL sijaona labda wanapeleka kwa mashirika yao ya umma. Kingine ni hiyo unaweza ukakuta ndege inapeleka viongozi wa serikali nyie mnawekwa Pembeni...
Wanabodi,
Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.
We are talking off now itaendelea!
Paskali
Update
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.
Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.
Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.
Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.
Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.
Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.
Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kwa route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.
Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, halafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?.
Paskali
Muendelezo
Swali la Uzalendo: What is The Magic of The Same Route? Precision Air Full Flight, ATCL Half Empty
Mkileta siasa ktk hili, mwishowe ni kuleta figisu kwa sekta binafsi.www.jamiiforums.com
Kukaa siti za nyuma sio tatizo nipale unapobadilishiwa kitu bila ustarabuKumbe hadi kwenye ndege ukikaa siti za nyuma unarushwarushwa kama kwenye basi....just kidding
Siyo kuipenda ni kujipendekeza, wanaovaa hiyo minguo ya ccm usidhani wana mapenzi na ccm bali kujipendekeza tu maisha yaendelee.Kuipenda Ccm na serikali yake
Time matters a lot kwenye air travel. Na hii ipo hata kwenye njia nyingine za usafiri, wenyewe huita seasons.Wanabodi,
Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.
We are talking off now itaendelea!
Paskali
Update
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.
Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.
Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.
Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.
Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.
Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.
Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kwa route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.
Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, halafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?.
Paskali
Muendelezo
Swali la Uzalendo: What is The Magic of The Same Route? Precision Air Full Flight, ATCL Half Empty
Mkileta siasa ktk hili, mwishowe ni kuleta figisu kwa sekta binafsi.www.jamiiforums.com
Jiulize kwa nini mtaani kwako hakuna wakala wa T-Pesa;serikali ya huyu mchunga ng'ombe mwenzako sijui lini itajua kuwa biashara haiendi hivyo wanavyotaka tuendeP
Paskali mbona unatuuliza swali hili sisi? Mwulize mwenyekiti wako maana ndiye anajua mambo ya ndege!Mkileta siasa ktk hili, mwishowe ni kuleta figisu kwa sekta binafsi.
Hongereni wenzetu, mimi tangu watuondelee ndege yetu pendwa Fastjet nimerudi kwenye mabasi.Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.
Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.
Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.
Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.
Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.
Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.
Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kea route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.
Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, alafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?.
P
Ni hali ya biasharaya siku hiyo mkuu. Hata mimi nikishakwea ATCikawa full nikarudi na Precision hatukuwa tunazidi kumi na niliumia sana. Ni biashara kwa siku na siku hubadilika. ATC wana wateja wengi kuliko precision.Wanabodi,
Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa.
We are talking off now itaendelea!
Paskali
Update
Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.
Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.
Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.
Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.
Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.
Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.
Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kwa route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.
Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, halafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?.
Paskali
Muendelezo
Swali la Uzalendo: What is The Magic of The Same Route? Precision Air Full Flight, ATCL Half Empty
Mkileta siasa ktk hili, mwishowe ni kuleta figisu kwa sekta binafsi.www.jamiiforums.com
Hiyo Precision ikiwa tupuBei zao ndio inawaponza. Mwanza kipindi cha Fastjet ilikuwa hadi 60K. Ila sasa hivi inafika hadi laki 4 one way. Kwenda tu.
Dawa ni waifanyie Precision Air figisu kama za Fastjet kisha wabaki wenyewe. Vile vile vitaenda tupu maana ya gharama. Tusishangae wakaanzisha Seat Levy hapo pia.
Serikali haijawahi kufanya biashara bandugu
Kaka Paskali.Continuation...
The Story Behind.
Siku ya Ijumaa niliongea na mdau wangu muhimu aitwae Abdul Malik Mollel mwenye Global Education Link GEL, wakala Mkuu wa vyuo vya nje Tanzania. Alikuwa na shughuli yake ya kifamilia itakayo fanyika Jumamosi, Mt. Meru Hotel.
Nikaamua kumjoin, kitu cha kwanza ni usafiri hivyo nikatembelea bookings za ATCL na Precision Air ku book a return ticket.
Nikakuta Precision Air wana offer fulani, nika book my return ticket with Precision Air, flight ya saa 9:00, kufika saa 10:00, shughuli ni saa 12:00 jioni. Reporting time ni saa 7.
Kwa vile ni Jumamosi, sio siku ya kazi, nikajua hakuna foleni, hivyo nikaamsha saa 6:00. Huwezi amini nikakutana na foleni ya ajabu njiani. Reporting time ikanikutia njiani.
Kufika Airport ni saa 8:30, check in window inafungwa 40 min before take off!, bembeleza, bembeleza na wewe!, no way!.
Wakaniambia their next flight ni saa 19:30hrs usiku kufika saa 21:hrs, nitakuta shughuli imekwisha. Hivyo nikaamua kucheki ATCL, nikakuta, wana flight saa 18:00,hrs kufika 19:00hrs. Hivyo nikaamua ku board ATCL kwenda lakini nitarudi na ile booking yangu ya Precision Air.
Kweli saa 18:00hrs tukaruka na ATCL, ndege ya Bombardier Q400, ndege ilikuwa half full or half empty!. Bei zao ni nzuri, na sasa wanatoa bites na drinks. Kitendo cha our national flag carrier, kidenge chenyewe ni Bombardier to fly half empty, kea route ya JRO kwa watu wenye pesa!, ile midege ya Airbus na Dreamliner itajaa kweli au zinaozea kwenye parking?. What is wrong hadi ndege zetu hazijai?!.
Sasa leo narudi na Precision Air, ndege yake ya ATR from JRO to Dar, it's full!. Flight time ya ATCL na Precision is almost the same, kwanini ndege yetu ya umma iruke half empty, alafu a private flight, Precision Air, ijae!. What is the Magic behind?.
P
Hivi hadi sasa ATCL ina ruti gani ya uhakika NJE YA NCHI..? au tunamwogopa mkulima na wenzie..??Na bado zinaongezwa nyingine tatu na moja ya mizigo.
Haka kajamaa sidhani kama katakuja kupata uteyuzi! Yaani kameanza tena kuponda hadharani? Sijui kwa vile kameona deal la kujipendekeza limebuma?Mkuu Paskali, watawala kwa jinsi wanavyopenda ujiko nakushauri ungetumia maneno "half full". Hii itawapendeza zaidi, kwa kuwa utawaonyesha kuna kitu fulani kimefanyika, kuliko maneno uliyoyatumia ktk "heading" yako yaani "half empty" kwa kuwa watapata hisia mbaya za kuwa umeweka hadharani ombwe lao ktk uendeshaji wa biashara hii..
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Wanaovaa masweta ya Ufipa je?Siyo kuipenda ni kujipendekeza, wanaovaa hiyo minguo ya ccm usidhani wana mapenzi na ccm bali kujipendekeza tu maisha yaendelee.
Umeelewa ulichoandika?Mayala aina ya posting yako wanaita ni ya tukio na hitimisho. Kwa watu wanaojua aviation industry ambayo Mayala kaonyesha haijui watakubaliaba na mimi kuwa conclusion ya Mayala ni inconclusive. Huyu Mayala hajui hata kama ndege ya ATC kuja Dar ilikuwa na ujazo gani siku hiyo maana analinganisha na ndege ya kwenda kilimanjaro. Je kama kulikuwa na tukio Dar au tukio limekwisga Arusha hivyo kuzalisha abiria wengi kwa njia ya kurudi Dar? With due respect kaandika ili aandike na sio kama mwandushi. Of course unaona hata majibu anayopata ni hayo hayo ya matukio. Siasa! Angetuletea trend ya njia hiyo kwa siku ya kwenda kwa Airlines zote mbili na kurudi kwa zote mbili tungekuwa na njia sahihi ya kujadili. Kwa kifupi kakurupuka na sioni kama ni issue ya kujadili kimkakati ukiacha mbali waosubiri kujibu kwa hisia za kisiasa bila uelewa kama yeye Mayala. Nasubiri hoja yako nisaidie kutoa mawazo sio siasa za ccm na chadema.
Hiyo midege mikubwa inaenda Mwanza pekeeHivi hadi sasa ATCL ina ruti gani ya uhakika NJE YA NCHI..? au tunamwogopa mkulima na wenzie..??
Umenielewa nilichojibu?Umeelewa ulichoandika?