Swali la Wanaume Tu: Wanaume Mkifumaniwa huwa mnamalizanaje na wapenzi wenu?

Nampiga biti hili
"pumbavuu hivi we mwanamke nimekukosea nn...yaani mpaka unafikia hatua ya kuniendea kwa waganga!!! sasa kwa taarifa yako chupi yako hiyo na mabegi yako yote sepa nayo..kawaroge hao hao..."

(Kisha naingia zangu chimbani kujifukiza)
Hao watoto mliozaa na Huyo unaemwita mchawi utawalea wewe??
 
Swali ndo Hilo jamaa:

Jamani kama sio mwanaume, usikuje, tuwaache wanaume marijali tu wajibu hili swali
🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶

View attachment 1449461
Mwambie surpriseeeeeee!! umenikumbusha niliwahi pata mchepuko bana tukaingia chemba ikabdibid tufunge madrisha ya mbao yale so ndani kukawa km kagiza hivi!! tukaaanza weeeee!! mpaka tukamaliza wakati wakuondoka sasa tuka vaa nguo zetu1

Kuuumbe yeye kavaa yangu na mimi nika vaa yake na kagiza kakawa kameanz kuingia but bado mapema ''' sasa yaliyo nipata huko sijwahi msimulia mtu yeyote leo ndo nimeyaweka hapa;;;;;
 
weeeeee
 
Back
Top Bottom